Ndugu wana jf habari zenu, kichwacha habari chahusika naomba mnisaidie nataka kununua simu sumsung galax s6 ya 2015 au sony experia z5 min, ipi ni bora katika matumizi hasa kwenye ram, utunzaji wa...
Wakuu nina simu aina ya Sony Xperia Lt 30p tatizo lake ukiitoa kwenye chaji inazima, na ukiiweka kwenye chaji inaonyesha imejaa kwa 100%. Na ukiitoa kwenye chaji kabla hujaizima ikizima yenyewe...
Habari zenu wadau, nilikuwa naitaji kufanya dual boot kwa kuistall android OS alongside window, Hivyo mwenye iso file ya Adroid au download link naomba anitumie.
Nimepita kwenye maeneo ya YouTube nikakutana kuwa huko Mto Ruvu ameonekana ng'ombe wa buluu. Kweli kwenye footage ni wa buluu lakini sijapokea moja kwa moja kuwa hiyo rangi ni asilia mpaka mwenye...
Simu yangu inatatizo la kujzma the inawaka inaonyesha logo then inaganda inazma tena and the issue goes on repeatedly mpaka nifanye hard reset nimepeleka kwa fundi akainstall new rom but the...
Wakuu niliweka phone security kwenye ka simu kangu katochi Nokia 105 sasa nimesahau password na inaomba password. Msaada jinc ya kuifungua nakapenda sana ka simu kangu. Cc Chief-Mkwawa
Sent...
Habari ndugu zangu, naamin humu kuna wataalamu wengi wa mambo ya websites kuliko mimi
Nimetengeneza hii website yangu ( www.climaxresorts.com) kwa ajiri ya mteja wangu , ninaomba kupata ushauri...
Habari za mchana wanajukwaa.
Tafadhali naomba msaada wa kuset printer aina ya Canon 2545 imagerunner
Nimefanya network tayari, printer na other devices kama computer zinaonana na nikiping...
Jaman ambaye anasoftware ya kuaunlock modem ya airtell huawei e 173 anisaidie jamani
Finally Huawei E173 za Airtel zinaweza kuwa unlocked, Njia ni kama ya E153 Aliyoweka e2themiza sema kuna...
Habari zenu wadau? Naitwa dixon. Nina app yangu nataman sana kuiweka playstore lakn sababu ya garama nimeshndwa. Kw kuwa playstore ukisha lipia mara moja unaweza weka app nyng uwezavo nami naomba...
Hii inanisikitisha sanaaaaa, kwa website kongwe ya kitaifa yenye kutoa taarifa za kitaifa kuwekwa link ya Video za Mapenzi tena mchana kweupeee.
Hawa ma IT wao pesa yao ya mshahara wangenipa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.