Nataka namna ya ku fungua pass code ya screen ya iPhone.
Nataka nifanye hivyo bila kupoteza data. Zamani ilikuwa rahisi kufungua kwani aliweka date of birth naona imebadilishwa sasa screen lock...
Facebook wataanza kuonyesha videos za show mbalimbali za watumiaji wake kama Youtube na vituo vya runinga. Wataweka tab maalum kwa ajili ya videos. Watumiaji wataweza kutoa maoni chini ya video na...
Kampuni ya Vifaa vya Umeme ya Toshiba imetangaza kupata hasara ya Dola Bilioni 8.8 katika kipindi kilichoishia mwezi Machi mwaka huu.
- Yatakiwa kuuza kifaa chake cha kutunzia kumbukumbu cha...
Kuna jia mbali mbalibsana zinazotolewa lakini zingine zinakuwa ndefu kiasi cha kushindwa kuzimudu na watu wengine kuishia kuzima akauti zao.
Kufuta akaunti yako ya facebook kunaweza chukua siku 90...
Poleni na kazi wadau,simu yangu haitowi mlio wakati nikipigiwa,hata video zote pamoja na miziki pia hazitowi sauti.Hii ilitokea majuzi asubuhi nasikiliza kipindi cha BBC,ndo sauti ikakata...
Kama kichwa cha habari kinavyosema
Nina simu Tecno C9 lakini hivi karibuni imekuwa ikinisumbua hasa kwenye mfumo wa Bluetooth na hotspot nikiwasha baada ya sekunde kadhaa inazima hivyo hivyo na...
Naombeni msaada wakuu jinsi gani nitaspeed up ota upgrade, Najaribu kufanya system update tokea Jana lakini bado nimekwama kwenye 28 percent
Sent using Jamii Forums mobile app
Heri ya sikukuu ya nane nane wakuu. Naomba leo tuzungumzie juu ya changamoto ya upatikanaji wa taarifa kwa watu wanaotaka kupata nyumba. Kupitia mijadala yetu tunaweza kupendekeza na njia...
Habari wana_jf
Ni Mara nyingi nimesikia taarifa Na kuona pia baadhi ya watanzania wakibuni vitu mbalimbali kwa UPEKEE wa hali ya juu...mfano
>>m_tz aliyebuni ndege inayotumia mafuta ya taa...
Naombeni mwenye kujua anisaidie application ambayo naweza kuitumia kusajili namba za voda. Nahitaji nijiajiri kupitia kusajili line.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wakuu
Natumia HP elite book 6930p inayotumia windows 8.1
Hivi karibuni nimekuwa nasikia kelele za feni iliyopo upande wa kushoto sawa au karibu na power button. Na kuna wakati nikichomoa ac power...
Guys nina sever yangu barand new HP ina ram 40gb, Hdd !tb na quad processor. na nina PC kadhaa za thin client aina ya HP atom spec: intergrated( HDD 2Gb, 1Gb RAM). Ninachohitaji hee sever...
Hali zenu wanajf.......memory card angu sijui ina matatizo gani nikidownload vitu inanambia internal storage isn't enough nikiangalia GB za memory card zipo nyingi tuu nimejaribu kueka anti virus...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.