Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Nina laptop aina ya toshiba na nilikuta window 7 mimi nikabadili kuweka xp ,sasa chaajabu kila nikijaribu naona zinajaa window tu badala ya ku delete za zamani ,zina zidi kuwa nyingi zipo mbili...
0 Reactions
3 Replies
878 Views
wadau samahanin hivi ku root cm ndo kuifanyaj cm yko? Plz msaada wa maelekezo
1 Reactions
3 Replies
715 Views
ukiachana na maswala ya mapambo kazi yake kubwa ni nini kwasababu haya madini yanauzwa bei ghali sana wakati huo kuna madini mengi yanafanana na dhahabu na almasi na hayana thamani na kuna watu...
0 Reactions
4 Replies
7K Views
Jinsi ya ku download game ktk computer bila malipo na apps mbali mbali
0 Reactions
5 Replies
747 Views
Microsoft leo wamezindua PC yao mpya ya all in one ambayo imewalenga zaidi watu wazalishaji mambo ya 3d, graphics etc. Brief specs 28-inch PixelSense touchscreen with 3:2 aspect ratio Quad-core...
12 Reactions
57 Replies
8K Views
Kuna yeyote aliyewahi kuchomoka baada ya hii stage? Kama ndio , alichomoka vipi?
0 Reactions
8 Replies
893 Views
Kwa wataalam wa masuala ya video editing kuna kazi tulishut kwa 60fps ambayo ni ntsc. Resolution ni 1920 x 1080. Sasa imeshahaririwa na kuwa exported. Nataka niihamishie kwenye pal na quality...
0 Reactions
13 Replies
850 Views
Tanzania is among the countries in Africa with the fastest economic growth recording the highest economic growth in 2013 of up to 7.3 percent, according to Africa Development Bank, with the major...
0 Reactions
0 Replies
587 Views
Kwa wapenzi wa Pc games FIFA,,naomba kujua site nzuri ya kudownload FIFA PC games,
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Juzi nilikuwa natumia laptop yangu kama kawaida baadae nikachomeka powerbank kwenye port moja ya laptop, ilizima ghafla na haiwaki tena, msaada nn tatizo
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Habari zenu wataalamu wa jukwaa hili, matumaini yangu wazi kabisa hamjambo na mnaendelea vizuri. Nimepatwa na utata kidogo kuhusiana na simu aina ya Tecno C9, hiyo ni baada ya kuchanga viela...
0 Reactions
36 Replies
7K Views
Natumia Tecno H5 nime kwenda dukani kununua betri jipya original nimelichaji kwa kuzingatia maelekezo niliyo pewa lakini linazingua utunzaji wa moto.Nikarudi dukani wakanishauri natakiwa ni restor...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Naomba kwa yeyote anayejua application ambayo itarudisha namba zilizopotea kwenye simu anisaidie.Sababu za kupotea ni kwamba leo nilienda kwa fundi simu halafu akaiflash na namba zote zikafutika.
0 Reactions
3 Replies
4K Views
Information Technology (IT) have various career paths one can choose to take. IT nowadays facilitating operations of many other sectors including banks, hospitals, etc IT Professionals needed to...
1 Reactions
0 Replies
652 Views
what causes/caused the problem? -Opensubtitles.org updated their servers ,that uncovered latent bugs in the very dumb HTTP support of the VLSub extension. NB: Advised to skip to/and use the...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
1G ni simu za kizazi cha kwanza kabisa katika teknolojia ya mawasiliano katika mfumo wa bila waya (wireless). Wakati huu ndio simu za mkononi (zikiwa kubwa kwelikweli enzi hizo) zilianza...
8 Reactions
33 Replies
10K Views
Wadau simuyangu aina ya Tecno H6 ina shida moja hivi inawaka na kuishia kuandika tu TECNO je nifanyeje
1 Reactions
21 Replies
3K Views
Kama nilivotanguliza kwenye head baada ya pitapita zangu katika forum mbalimbal hatimae nimefanikiwa kuupdate tecno c8 to android mashamallow a.k.a android 6 now naenjoy muonekano mpya kabisa ni...
2 Reactions
24 Replies
4K Views
Hivi hii huduma inaweza kufikia kikomo kwa sababu ya hizi smartphone, nauliza kama kuna mtu anajihusisha nazo anipe fununu hapa nifahamu na pia vinavyohitajika mbali na desktop computer zenyewe...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Kwema wana Jf Naomba kufahamishwa Kama kuna apps au ni kwanjia gani taweza kujua mabadiliko ya fedha za kigeni bei za kuuzwa na kuuza kila siku katika simu yangu. Naomb mnifahamishe wandugu
0 Reactions
2 Replies
723 Views
Back
Top Bottom