Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
HABARI PRINTER YANGU AINA ILIYOTAJWA HAPO JUU UKIIWASHA DISPLAY HAIWAKI NANI ANAWEZA KUNISAIDIA
0 Reactions
0 Replies
569 Views
Dah simu yangu imekuwa slow sana mpaka muda mwingine natamani kuivunja xoz ukifungua mafaili inaload mda mrefu sana Muda mwingine mpaka uizime mwanga wa screen af uwashe ndo ifanye kazi japo...
1 Reactions
11 Replies
5K Views
1. Habari za humu jf. Nani anambie vizuri kabisa kuhusu maana ya android version na software na nn kazi zake ktk divice husika? 2.kitu gani kinapelekea simu kupata moto(kuchemka)wakati data...
1 Reactions
3 Replies
952 Views
Wadau napata hili tatizo kila nikiunganisha simu na Pc... Nimejaribu simu tofauti tofauti pia cable tofauti napata matokeo Yale yale... Huu ni mfano Wa maandishi inayotoa
0 Reactions
14 Replies
6K Views
Salamu wana wa jamvi hili. Aise naomba msaada jinsi ya kupata tena local channels kwenye decoder ya Mediacom. Nilikuwa nazipata vizuri ila Leo naona zote zinazingua. Shukrani. -Jodeo-
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Wakuu Naomba suggestion y games tu enjoy wote kila nazo jaribu zina stuck Asante
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Wadau naomba msaada kwa wajuzi, nifanye ili niwe naangalia ligi ya uingereza kupitia simu ya mkononi. Nimejaribu kila njia sijafanikiwa, sasa wajuzi hebu nipeni elimu maana mie husafiri sana...
2 Reactions
1 Replies
1K Views
Mambo vp wanajamvi...kuna jamaa angu kanipa haka kazawadi ka BEIN DECODER so nimejaribu mbinu zote za kumpata fundi wa kufunga imeshindikana...kama kuna mtu anafahamu ama yupo hapa tafadhali...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Wakuu nina monitor ya nchi kama 14 hivi nataka niiconnect na deki au king'amuzi niangalie burudani kupitia hiyo monitor iwe sasa kama tv hivi 1) Je inawezekana? 2) Kama inawezekana niwe na kitu...
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Habarini JF Experts. Cache ni nini? Maana kwenye App nyingi naona hili neno,lina maana gani kwenye Apps?
0 Reactions
24 Replies
5K Views
Heshima wakuu, naomba mwenye kujua namna ninavyoweza kupata game la draft kwenye pc anisaidie ujanja, maana nimejaribu ku-google lakini sijapata.
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Kila nikiingiza tu flash yangu kwenye computer naandikiwa "you neeed to format the disk in drive F before use it. Do you want to format." nikikubali inaleta tena message " the disk is write...
0 Reactions
15 Replies
4K Views
habari ya boxing day wakuu? Nimeleta uzi kwenu ili tujadili na kutoa mawazo yetu ambayo yatatusaidia kuondokana na unyonge uliopo katika sector ya IT. Kumekuwa na maneno mengi sana kuhusu nani...
0 Reactions
12 Replies
1K Views
Kwanza angalia hii snap Hapa ni combine speed ya Airtel, Voda na Tigo Sasa Introduce you the revolutionary software "Connectify Dispatch" Hii kitu ndo inafanya hio magic na pia kwa kitu...
22 Reactions
74 Replies
9K Views
Unampa asilimia ngapi mdogo wangu kwa blogspot hii Gospel King
0 Reactions
1 Replies
873 Views
Wanabodi. Naomba msaada jinsi ya kuunganisha kifurushi cha DSTV cha juu kuliko kile cha Mwanzo bila kupiga Huduma kwa wateja. Mfano, Mwanzo ulilipia kifurushi cha Compact Tsh 82,500 kikaisha muda...
0 Reactions
0 Replies
4K Views
Wadau hii app inatoa tafsiri sahihi !
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Nina ka tecno h5 kangu nakatumia kusikiliza mziki mana kanakaa na chaji,ila tatizo mziki hauishi kanajizima jamani,shida ni nini??? Nishascan sd card lakin tatizo bado lipo[emoji30].... cc...
0 Reactions
17 Replies
996 Views
Wanajamvi habar ya leo! Naomben msaada wa namna ya kufunga/kuondoa account yangu ya Facebook ikiwa nimesahau password yake, nasiitumii ila NAONA inatumika na mtu anapost PC zake kama vile yake ila...
0 Reactions
13 Replies
8K Views
Kama heading hapojuu naomba kufahamishwa jinsi ya kutengeza email address ya mfano wa 124ali@muuzamchicha.co.tz /124ali@muuzaduka.com Natanguliza shukrani.
1 Reactions
29 Replies
25K Views
Back
Top Bottom