Habar wana teknohama, naomba mwenye ujuzi au ufahamu kuhusu app ambayo naweza kuinstall kwenye simu nikatumia kama modem kwenye computer ukiachana na mambo ya tethering na hot-spot ya simu, asante.
Wadau,
Nimefungua blog hivi punde, sasa kumekuwa na kitu hiki cha ku-host blog domain ili kuwa katika mfumo wa world wide web, sasa bado sijajua nini faida zake na gharama zake.
Nawasilisha
Wakuu, nataka ni upgrade hiii simu iende kwenye better version.
Hizi ni sifa zake hapa chini, je inawezekana , njia gani rahisi bila kuleta madhara kwa device
Nashindwa kuziona videos ktk app ya JamiiForums.nikiiplay inakaa muda kidogo kisha yaniletea ujumbe huu
Naomba msaada kwa wanaojua,mwanzo ilikuwa vizuri sasa sielewei ninini kilichokorofisha!
Best apps for rooted mobile , this is something
which We Dreamy Tricks is going to share
with you Today. So, We are sharing the
collection of best android apps, which is
most downloaded last year...
Wakuu simu imedondoka na kioo kimepasuka, inawaka kama kawaida lakini siwezi screen yake haipo active hivyo siwezi kufanya chochote iwe ni kupiga simu, kupokea, kusoma WhatsApp etc.
Mwenye nacho...
Kuna kazi ya IT Officer II imetangazwa na Iringa Urban Water Supply and Sanitation Authority..wakati napitia responsibility nikakutana na hii sentensi..."To research, plan and develop computer...
Nina samsung Note 4 lakini bahati mbaya haikubali kuconnect na Pc kupitia Usb....hata haisomi zaidi ya kuonesha tuu kuwa inacharge hata Usb yake niliyo nunua pamoja na simi nayo haikubali...
Nahitaji msaada wenu (sina ujuzi wowote wa mambo ya CAMERA).
Nahitaji kukununua kamera kwa ajili ya kazi ningependa kupewa aina ya kamera ambayo ni nzuri katika picha za mnato na ikibidi hata...
Habari zenu wadau.
Nilikuwa nauliza je inawezekana kuhack wifi(wireless fidelity) ambayo ipo umbali wa 500M.
Maana hapa ninapoishi nipo karibu na hotel ambayo inahiyo huduma sasa nataka niwe...
Kwa hali ilivyo sasa Kuna kila sababu ya kutafuta mbinu za kuwa anonymous ili kuwa salama. Najua inaweza kuwa ghali lakin zipo taarifa ambazo mwenyenazo anaweza kukubali kutumia gharama yeyote ili...
Nobel PrizeWinners (2016): Hakuna mweusi!
Bob Dylan
Literature
Duncan Haldane
Physics
J. Michael Kosterlitz
Physics
David J. Thouless
Physics
Juan Manuel Santos
Peace Prize
Fraser Stoddart...
Nina computer yangu Aina ya Dell, sasa cha kushangaza nikiwasha Utakuta monitor inatoa tu mwanga wa njano halafu haiwash screen na kwa wakat huo CPU inanguruma sana, naomben msaada wenu sijajua...
Ndugu wanajamvi naomba msaada ya kuunganisha cm na pc kwa kutumia Bluetooth ili niweze kucheza audio wirelessly pc yangu ni hp 250 g5 na phone ni samsung galaxy j7.
#freemaxencemelo
Habari JF....
Hivi kuna app au any other way ya kujua kua simu imetumika mda gani??? E.g mwaka au miezi flani.
Kwa mfano mtu anakwambia hii simu nimetumia wiki mbili tu,si...
Habari za leo wana jamvi, jamani nina tatizo naombeni msaada wenu. Nina external storage ya WD, ambayo haisomi tena nikiconnect kwenye computer, kuna data zangu zimo humo ndani, nisaidieni kama...
Nimejaribu kudownload apps mbali mbali lakini zote zimeshndwa,nataka lile file la GALLERY nililock kwakuwa kuna watu ukiwaazima simu hupenda kwenda kutazama mapicha na video sasa mie sitaki
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.