Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Jaman naombeni msaada jinsi ya kuiondoa mistari iliyojitokeza ktk screen ya pc baada ya kukandamizwa kwa bahati mbaya. Kama kuna mtaalam anaejua jinsi ya kutatua hili tatizo msaada pliz
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Sina uhakika kama hili ni jukwaa lake. Hii antena iliyo kushoto hapo kwenye taa kazi yake ni nini?
0 Reactions
34 Replies
4K Views
kichwa cha hbr kinajieleza
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Wakuu naomba kufahamu simu yangu memory card ni 8gb na imebakiza space gb 6.49 na internal storage ni 16gb na imebaki space 9.80gb kwenye ram ni 1gb Ila space inakuwa 350mb-270mb na apps zote...
0 Reactions
1 Replies
699 Views
Mwenye link anisaidie
0 Reactions
29 Replies
7K Views
Natumia simu ya tecno mwanzo nilikuwa natengeneza wifi-hotspot na connect na pc ila karibuni haifanyi kazi japo inaconnect na bar zinasoma vizuri sijui shida itakuwa ni nini wadau kwa sasa natumia...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Heshima kwenu wakuu Laptop yangu aina ya Dell Latitude D420 haiwaki, nikiiwasha inaishia kuwasha ivi vitaa vya caps lock, Bluetooth na vinaonesha mwanga kwa sekunde kadhaa alafu vinazima na ndo...
0 Reactions
10 Replies
3K Views
1. Hacking can be called the art of breaking into system for good purposes or bad purposes 2.hacking may range from breaking phones,pc,servers,electronic devices,credit cards and many more...
3 Reactions
4 Replies
951 Views
Msaada wa kuunlock huawei modem model:E3372h-510 Imei:866658020469621 ilikuwa hilink nimejaribu iflash imekuja kwenye dashboard ila bado inanitaka niweke unlock code
0 Reactions
0 Replies
987 Views
Salaam Natumai mmeamka salama ila moja kwa moja katika point ni kwamba natumia android flani hivi ila kuanzia Jana nimepata tatizo la kushindwa kudownload chochote kupitia browser, naletewa...
0 Reactions
6 Replies
850 Views
Jaman kwangu channel ya Sport 24 imepotea kabisa, nimebadili freq lakini haingii kabisa, natumia dish ft 6
0 Reactions
2 Replies
788 Views
Heshima kwenu wakuu Nina simu yangu aina ya Tecno M3 Sasa takribani siku kadhaa sasa kila nikiiwasha inaishia kuandika tecno tu basi haiendelei zaidi ya hapo nikizima haizimi hadi nitoe betri ila...
0 Reactions
13 Replies
1K Views
naomba kufaham namna ya kuzuia mawasiliano na mtu kupitia imo yani asiweze kunipigia wala kunitumia msg.
0 Reactions
1 Replies
655 Views
Wanajamvi mimi mgeni ktk ulimwengu wenu wa digital..ila naombeni ujanja wa kuweza kuinstall windows kutoka ktk flash au hdd... niko na mini laptop na sina externel dvd rom...natanguliza shukrani
0 Reactions
19 Replies
17K Views
Naomba msaada ni printer gani ni nzuri ambayo nitaitumia kwa ku 1:printing 2: Kusafishia passport size 3: Kutoa copy zaidi ya 100 per day
0 Reactions
13 Replies
30K Views
Habari wakuu naomba mnijuze kama kuna web browser iliyo na speed na yenye extension nyingi kushinda google chrome nataka nijaribu browser mpya maana hii chrome nimetumia miaka mingi sasa japo iko...
0 Reactions
70 Replies
7K Views
Jamani habar humu ndani...natafuta housing ya laptop aina ya fujitsu lifebook S6520...mwenye nayo ani pm tafadhali
0 Reactions
0 Replies
681 Views
Habar za hap wapendwa...naomben msaada wenu jf Nina cm ya tecno W3 imegoma kutuma na kupokea WhatsApp msg ,nikitaka kutuma inasema connect to the internet wakat data ziko on...nimejaribu ku...
0 Reactions
6 Replies
873 Views
Back
Top Bottom