Wakuu PC yangu amechezea mtoto
Sasa kila nikiweka password inagoma ila hajabadilisha password, bado password ni ileile ya mwanzo ila nikiweka inajibu hivi
The Group Client service failed the...
Wadau nina simu tajwa hapo juu ambayo ni Sony experia c6903, kila nikiweka sim card haisomi wala internet network naombeni msaada. Nimeifanyia factory reset lakini bado.
Nyumbani creative ni kampuni yenye team iliyojitosheleza katika kupokea mawazo yako ya mfumo taarifa (data system) wa kazi zako na kuziweka katika mfumo wa programu za kompyuta (software)...
WAKUU, nahitaji muongozo wa kujifunza mambo ya Networking nijue tu basics ,Kwa wale wabobezi je nianze na kipi mimi ni mgeni kabisa japo Nina ufahamu kiasi Fulani wa computer
Naomba muanze kulinda website yenu. Nimewaonesha milango kadhaa ambayo mtu anaweza itumia kuingia , inatumia teknolojia ya zamani sana hiyo version ya joomla ni ya muda sana fanyeni ku upgrade...
ICT na Teknolojia nchini Marekani imeajiri watu wengi sana na inawalipa vizuri mno kuliko sekta nyingine, hebu cheki hii Makala hapa Tehama! Jawabu lililosahaulika katika swali la ukosefu wa...
Published: 14 October 2016 ID: G00317560
Analyst(s): David W. Cearley | Mike J. Walker | Brian Burke
Order Reprints
You may request paper or digital reprints on the ensuing order form.
Summary...
Naomba msaada wa ku update GBwhatsapp nashindwa maan mda wote inaniletea Mesej upgrade Lakin nikibonyeza kuruhusu ku apgrade nashindwa naambiwa ni download kwa kutumie cloud download Niki click...
Habari za mihangaiko ya maisha wanajamii,, naombeni msaada wa application ambayo naweza nikafanikiwa kuroot tecno y2,, maana nimejaribu kingroot latest version,, kingroot,, kingroot v4.1.0...
naomba msaada wana jf. nimenunua laptop na ina bluetooth lakini cha kunishangaza ni kwamba haifanyi kazi yaan nikiitafuta kwakutumia simu yangu, bluetooth ya laptop haionekani. je, nifanyeje ili...
Habari wadau naomba msaada picha zangu nikipiga kwa simu kuzielekeza ziwe saved kwa memory card zinatoa hyo rangi kwa picha, lkn nikisave kwa phone memory zinakaa sawa tatizo ninini??? Msaada please
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.