Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Naomba kujua ni browser gan ya android inayoweza kubadili proxy na kuweka unayotaka wewe. App kama mozila zimekataa kweny android lakn kweny windows iko option ya kubadili proxy
1 Reactions
25 Replies
3K Views
MANY USE THESE ABBREVIATIONS WITHOUT KNOWING THEIR MEANING 1.) *GOOGLE* - Global Organization Of Oriented Group Language Of Earth. 2.) *YAHOO* - Yet Another Hierarchical Officious Oracle. 3.)...
2 Reactions
0 Replies
516 Views
Naomba msaada wadau, nina chip yangu ya halotel sikuitumia kwa muda mrefu, jana nimeiweka nikaunga bando lakini nikiwasha Cellular data haisomi na haiwezi ku connect internet. Nimejaribu kwa...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Habari zenu wadau!? naombe kw mwny utaalam wa hizi smartfone anisaidie n cm gan nzr ku2mia kw sasa na bei yake kw dar ikoje saiv!
1 Reactions
8 Replies
2K Views
Nimeambiwa kinaitwa sexual .... data ikiwa on inadownload vitu vya hovyo na vingi sana kila wakati, kuna mda mpaka inajizima na kujiwasha. Kwa jinsi ilivyo siwezi hata kumpa mtu kwa dakika moja...
0 Reactions
14 Replies
1K Views
Habari zenu wandugu, Nina simu yangu aina ya TECNO H6 nilii-upgrade kutoka kit kat mpaka lollipop 5.1.1 tatizo lililopo hii OS haisomi laini yyote mwenye maujanja aokoe hili jahazi!
0 Reactions
2 Replies
480 Views
Kama ujapata kujua bas nakujuza kuwa kama ww n mtumiaji wa Tecno C8 u can now upgrade from Lolipop to Marshmallow kama nilivyo Fanya hapa...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Ya kwanza ni picha iliyochorwa kwa mkono kwenye karatasi, hii ni njia nzuri kwa wale wasiokuwa na drawing pad. Na ya pili ni final out iliyofanyiwa full editing kwenye Photoshop Nakaribisha...
1 Reactions
13 Replies
5K Views
Habari zenu wakuu,naomba ufafanuzi kuhusu mahusiano ya data usage statistic na speed ya internet maana mara nyingi simu yangu inaniletea "data usage warning" sasa sijui ina madhara gani mpaka...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
wakuu nikienda OS kuna folder la window sasa naona laptop yangu haina kabisa space yani apo os ni GB 29 huku window folder likila 20Gb unaona nabakiwa na GB 9 tu sioni local C au D PC yenyewe ni...
0 Reactions
4 Replies
718 Views
Kampuni ya Samsung imetangaza kwamba itazifanya simu zote za Note 7 ziache kufanya kazi wakati hazijachomekwa kwenye charger. Watafanya hivyo kwa kutoa software update amabayo itaji download...
0 Reactions
0 Replies
562 Views
Hivi ni technolojia gani inatumika kuunlock simu na kompyuter?
0 Reactions
0 Replies
371 Views
kuna mdau anauliza wapi anaweza pata modem yenye uwezo wa 4G au Min Router na bei zake ili ajue NB kwenye bei apo ya dukani ni kiasi gani na mkononi kwa mtu ni kiasi gani?
0 Reactions
0 Replies
704 Views
CHIEF MKWAWA na wengineo naomba mnisaidie katika hili, natumia Microsoft Lumia 430 Dual Phone. Simu yangu baadhi ya website nikifungua nashindwa ku-scroll down and up. Sielewi tatizo ni nini...
1 Reactions
28 Replies
3K Views
Nimeanza kujifunza game development na hii ni game yangu ya kwanza. Tafadhali ipakue play store na unipe maoni Endless Speed Racing 2D - Android Apps on Google Play
4 Reactions
8 Replies
1K Views
Naomben msaada nimehangaika kuroot techno N2 kwa appsroot nyingi imegoma , ni android 6.0 Ambaye anajua njia nzuri hasa ikiwa bila kutumia Pc anisaidie
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Salaam jf. Kama header inavyojinadi. Nilitaka kujua bei ya Wireless Camera a.k.a ip cam kwa hapa tz ikiwemo na installation au bila install. Je! Naweza tumia smartphone kama ip camera.?
0 Reactions
14 Replies
3K Views
Mimi natumia simu, tecno y 4 ambayo ni laini, mbili, kwa laini zote . Changamoto ambayo inanisumbua Leo nimenunua laini ya univesties student, wamenisajilia vizuri tu na inapiga kazi upande laini...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Anayefahamu bei ya vifaa hv dukani naomba anijulishe tafadhari nahitaji kununua
0 Reactions
0 Replies
419 Views
Habar zenu wakuu…! Mi nimgeni kwny hili jukwaa, so naomba mnikaribishe! Nilinunua kompyuta mpakato wiki tatu zilizopita ikiwa ni second hand. Ni "hp ProBook 4446s". Tatizo lnalonisumbua ni 1...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Back
Top Bottom