Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Nauliza mwenye uelewa jamani, nimesikia kuna uwezekano wa kuunganisha screen ya computer na king'amuzi nikaangalia TV kama kuna muelewa naomba anijuze cha kufanya, natanguliza shukrani.
0 Reactions
2 Replies
3K Views
For Education Purpose. Zima King'amuzi. Bonyeza OK botton katika King'amuzi Kisha washaa kwa kutumia remote. subiri iwake.... kisha zima kwa power botton iliyopo katika king'amuzi. baada ya kuzima...
10 Reactions
67 Replies
18K Views
nna tecno H5 ninapo mpigia mtu ina sachi ussd code running....lakini sim inaita na tunasikilizana ili baada ya maaongezi sim yaikatiki sababu bado ina sachi ussd code msaada kwa anaejua tafadhali
0 Reactions
5 Replies
767 Views
Nahitaji simu yenye kuanzia 16 gb na yenye camera nzuri yani high quality ya ukweli. Iwe laini mbili lakini sio tecno. Naombeni mnishauri aina gani ndo itanifaa kutokana na specs zangu hapo. Pia...
1 Reactions
122 Replies
11K Views
Kama kichwa kinavosadifu,naitaji kujua kati ya Techo Boom 5 na Tecno C5 ipi ni nzuri zaidi? NB: Kama zina ubora sawa toa vigezo,pia kama hauzijui vizuri usichangie chochote.
0 Reactions
12 Replies
3K Views
Jaman machine ya kutengenezea passport n tsh ngap
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Habari wanajamvi Tujikumbushe na mnijuze hivi ule ushabiki wa blackberry uliishia wapi,maana ilikuwa kila kona ni kubadilishana BBM namba,kweli ivumayo haidumu,what happen to blackberry phones...
2 Reactions
50 Replies
5K Views
wanabodi habri za wakati! Nomba mwenye uelewa na programs ambazo zinarekodi videos katika Desktop nimejaribu kutafuta GOOGLE nimepata moja inaitwa KAZAMA shida ya hii ni kwamba inarekodi ila sauti...
0 Reactions
0 Replies
419 Views
Ninajifunza kutengeneza android app natumiaandroid studio kuna app mojanimekamilisha ila nashindhwa jinsi ya kuifanya ije iwe inmstalled kwenye device za kawaida za android mwenye uelewa tafadhali...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Hizi TV zina sehemu ya kuweka card kama decoder mbalimbali.Je card zake zinapatikana wapi na ukipata card yake unaweza itumia bila decoder ama kuitumia kwa Antenna ama dish 6 inches?? Na pia...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Cm yangu ni Tecno Y6 nikiicharge ndani ya saa 1 inaisha charge alafu inachemka sana upande wa camera kwa nyuma ...yaan hata nikiiweka nisitumie charge inaisha tu...naomben msaada mwenye kujua
0 Reactions
2 Replies
542 Views
Wanajamvi naomba msaada jinsi ya kutambua picha ilipigwa lini, wapi na muda gani....asanten wadau
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Software used - Adobe Photoshop CC 2014. Idea, Reflection of face on the bullet with explosive materials inside the fence. Artist --> Trumpanamo on DeviantArt
0 Reactions
0 Replies
1K Views
habari wadau, naulizia jinsi ya ku update software ya decoder ya azam.. asubuhi ya leo nliona wamepitisha hilo tangazo kwny azam 2 ila kuna details zikanipita. so kwa yoyote mwenye ufahamu na hilo...
0 Reactions
5 Replies
18K Views
Wapendwa, salama? nina Laptop (Toshiba portege r830), ina tundu la kuweka SIM card, nimeweka na inafanya kazi(ina unganisha mtandao na intaneti napata), shida moja ni kwamba, nikitaka kuweka...
0 Reactions
15 Replies
3K Views
Wadau naombeni msaada jamani bajeti yangu ni laki nne nataka kununua lumia 640xl mpya dukani je kwa pesa hiyo naweza pata. Kama siwezi pata je simu gani amabayo naweza pata kwa bei hiyo yenye...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Habari wakuu humu ndani Hivi kalbuni nilifanya manunuzi ya domain kwenye kampuni ya pananames.com Nikafanikiwa kufanya hiyo transaction kupitia paypal lakini sasa nilipotaka kupark hiyo domain...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Habari wana jamvi mwenzenu ninapata wakati mgumu sana kuelewa tatizo la simu yangu. Picha nikipiga zinapigwa vizuri lkn baadae ukirudi kuziangalia unakuta zina marangirangi ya blue ama wanakuletea...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Kama unatafuta mafund bomba au vijana wa kuwaajiri usiteseke tupo watu wenye ujuzi kikamilifu na elimu sahihi yaani Full Technician Certificate (FTC) Kwa mawasiliano zaidi tutafute kupitia Email...
0 Reactions
0 Replies
593 Views
Tafadhari msaada wenu kwa anaye. jua jinsi ya kurudisha email iliyo futika katika trash coz wamesama inaishi ndani ya trash kwa muda wa siku 30 zen zinafutika automatically tafazari msaada wenu
0 Reactions
1 Replies
511 Views
Back
Top Bottom