Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Habari wakuu nauliza kwa mtu mwenye ufahamu na hizi simu pia kuhusu bei kibongobongo imekaaje msaada wakuu
0 Reactions
3 Replies
715 Views
Wakuu hvi mzigo wangu ukifika posta ntajuaje kuwa umeshafika na nina paswa kwenda kuuchukua?, nimenunua Ebay
1 Reactions
2 Replies
944 Views
Wadau simu yangu INA hilo tatizo. Ilikuwa inachaji vizuri tu kwa chaja za kawaida ila kwa sasa inaishia asilimia 2 tu mpaka nitumie power bank. Je, nini inaweza kuwa tatizo.
0 Reactions
4 Replies
856 Views
Technology never stops being astonishing in every way possible. Most of the devices in this list look like they’ve just came out of a Sci-Fi movie, but maybe really soon they will be being used by...
0 Reactions
2 Replies
729 Views
Habari wanandugu pande zote za ulimwengu naombeni msaada wenu hapa siku tano zilizopita nime install UBUNTU kwenye laptop yangu lakini kutokana na kutokujua ninachokifanya ilipelekea kufuta vitu...
0 Reactions
27 Replies
3K Views
Phones are now a big part of us. They are like our hands and arms. We all love 'em right? We get most of our jobs done, do things we couldn't imagine doing before. Well, here are 22 things you may...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Naomben Masada nn solution kama cm ikiwa inaganda sana au kwa lugha nyingine tunaweza sema ina stakii na inakuwa slow sna kweny kifungua Apps,, msaada jaman nn nifanye kuondokana na hlo tatizo
0 Reactions
7 Replies
6K Views
naomba mwenye kufaham program nzuri ya kuconvert video zenye mb kubwa kwa kuzipunguza eg mb 50 angalau ziwe chini ya 10 na pia kutoka video kwenda audio
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Jamani samahanini, Wale wenye mautundu ya line, Line yangu aina ya Tigo ilianza kutotoa delivery report nikituma sms nikabadili program lakini bado tatizo halikuisha mwishoni mwa wiki ilopita...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Habari za mda wanajanvi Natafuta soft inayoweza kushusha ukubwa wa picha hadi kufikia 4kb.
2 Reactions
0 Replies
542 Views
Habari Wana JF, Nahitaji mtu wa kunitengenezea blog nzuri, mwenye kutaka hii kazi please anipm. Naomba watakaonipm wawe detailed vilevile wanipe link nione blog ambazo wamezitengeneza. Na please...
0 Reactions
26 Replies
2K Views
Zifuatazo ni code za kujiunga na vifurushi vyetu vya VODACOM kwa haraka. Hii ni njia ndefu.Mpaka kukupata kwa Cheka bundles. *149*01#. •Ili ujiunge na kifurushi cha Cheka cha shilingi miatano...
2 Reactions
10 Replies
62K Views
Wadau nimenunua simu tajwa hapo Juu lkn kupiga video call nimeshindwa Naomba maelekezo kwa anayefahamu.
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Mimi nimtumiaji wa ving'amuzi vya easy tv kwa muda mrefu na ni vingamuzi vizuri saaana na channel za local zipo[Tz]zote. Kinacho niudhi kwa sasa ni hawa wamiliki hawatafuti mawakala wa kuuza...
2 Reactions
42 Replies
12K Views
Simu za nokia za windows ukilinganisha na za android zipi bora?
0 Reactions
0 Replies
510 Views
Hey beloved, Naulizia namna ya kuapata app yenye liturigia ya nyimbo za kikisto haswa kwa wale wanosali KKKT. Nimekwenda play store lakini sipati hiyo kabisa Many thanks in advance
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Download app ya Mobdro kuweza kuangalia Channel mbalimbali kwenye simu yako, ziwe za michezo kama ESPN,sky sports, euro sports...za miziki kama kiss Tv UK, 4 music..za habari, documentaries na...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Amani iwe pamoja nanyi, Ningependa kufahamu wale wataalam wa kuflash cm kwa kutumia computer hua wanafanyaje ama wanatumia software gani kufanikisha shughuli ile? Tafadhali kwa anaefahamu...
0 Reactions
0 Replies
772 Views
Mwenye link ya whatsapp plus anisaidie maan nimejaribu kudownload nashindwa kweny cm yangu
1 Reactions
2 Replies
794 Views
Samahani wakuu kwa kuwasumbua ila nina shida kidogo naombeni msaada wenu au mawazo yenu kwa mtu yeyote ambaye ana ujuzi juu ya jinsi ya kununua application za android kutoka kwenye google play...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Back
Top Bottom