Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Wakuu, kuna yeyote anayefahamu fb autoposter nzuri kwa matumizi? Natanguliza shukrani
0 Reactions
2 Replies
941 Views
Kosa ambalo watu wengi huwa tunalifanya katika topic ya Computer Virus ni kujumuisha Worm au trojan kama Virus,Haya maneno huwa yanatumika sana midomoni mwetu kana kwamba yote ni kitu kimoko,Sio...
2 Reactions
2 Replies
2K Views
Maendeleo makubwa katika kuhifadhi nishati ya jua itapelekea watanzania wengi kutotegemea umeme wa TANESCo. Teknologia ya kuhifadhi nishati jua kwenye battery imeimarika kikwazo ni bei ambayo...
0 Reactions
20 Replies
2K Views
Simu yenyewe ni condor C6 , ni simu nzuri sana na kwa bahati mbaya ilianguka na display imekufa , wadau kwa hapa dar naweza pata wapi display ya simu hii au simu yenyewe naweza kuipata maeneo gani...
0 Reactions
6 Replies
911 Views
nasikia benk ya stanbic wanatoa mkopo wa iphone je ni kweli au uongo?
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Am proud to Announce an alpha version of Kasuku. Download setup and Install it. Tell us what is missing or what should be changed here. Enjoy "Sweet Kasuku Sound!" :)
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Wakuu habari zenu.. Ubisoft mwishoni wa mwez huu wa pili wametoa game ya Far cry primal ni game moja nzuri sana ya Action ingia youtube uione.. Game ina ukubwa kama wa 11Gb mi ndo imebaki...
1 Reactions
16 Replies
2K Views
Kampuni inayoshika rekodi gsmarena.com kipengele cha simu kukaa na chaji zaidi,yaani endurance rating, ya Gionee,inatarajia kuachia simu nyingine itakayoshika rekodi tena ya endurance rating,simu...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Guys naombeni msaada wa kupata drivers ya modem yangu ya vodafone k3772-z. Ni mali ya ZTE cooperation
0 Reactions
1 Replies
791 Views
Wapendwa naomba kupata app ambayo itaniwezesha ku root simu tajwa hapo juu bila kutumia computer, hapo awali nilikuwa na tecno phantom plus nikairoot kwa kutumia kingroot lkn nilipojaribu kwa simu...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Wanajamii naomba msaada, Simu yangu iPhone 4 niliagiziwa na kaka yangu kutoka Japan shida yake ukiweka line haisomi mtandao inaomba pin code kwa yeyote anae faham anisaidie nitachangia gharama...
0 Reactions
1 Replies
777 Views
Simu yangu iPhone 4 kutoka japani haisomi network na inaomba pin code naomba msaada
0 Reactions
2 Replies
615 Views
Ndugu zangu naomba ushauri wa matibabu .Nilikuwa naumwa Typhoid nikatumia vidonge 84 Kwa wiki 2.Wakati naendelea Na matibabu nilianza kusikia maumivu ya kichwa upande wa kushoto Na kulia Na nyuma...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Wamenambia niupdate payment method yangu kisha nichague banner linalofaa kwenye blog yang .naombeni msaada hapo kwenye kuchagua banner.
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Wanafizikia nielezeni, Hii kitu nimeshaiona mara nyingi na bila shaka baadhi yenu pia. Unanunua pasi mpya ya umeme dukani na waya(cable) yake imenyooka vizuri kabisa ila baada ya muda waya huo...
1 Reactions
42 Replies
10K Views
Poleni na hongera kwa majukum ya Leo Ninaomba msaada wakuu Kuna app ambayo inaweza kusev charge kwenye simu maana hii kwangu ni shida Nina simu aina ya w40 tecno chaji inanisumbua sana
0 Reactions
4 Replies
2K Views
baada ya bloggers wengi kukata tamaa baada ya google kufunga adsense za blogs sasa nikaumiza kichwa nikaja na hii hapa mbinu ya kutumia youtube ads kwa kuziembed kwenye blog yako then unaifinya...
3 Reactions
1 Replies
2K Views
Naomba msaada, nawezaje kupata Application ya PC Windows yenye uwezo wa kutengeneza matokeo ya wanafunzi (form 1 hadi 6), na pia kama inauwezo wakutoa report forms? Vile vile nahitaji application...
0 Reactions
12 Replies
3K Views
Nisaidieni nipate kuona majina ya wanachuo zaidi 20000 waliopewa mkopo 2016/2017 Nimeshindwa kuangalia mtandaoni
1 Reactions
2 Replies
905 Views
njia bora ya malipo ni ipi kati ya hizi, Global digitalpay perfect money moneybpokers paypal payza. msaada tafadhali
0 Reactions
1 Replies
930 Views
Back
Top Bottom