Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Natafuta mtaalam wa fb anaeweza kutafuta likes kwa wingi kwenye post tuwasiliane kwa namba 0715047195/0768098900
0 Reactions
0 Replies
458 Views
Msaada natafuta fundi mzuri wa simu..simu yangu camera not working..hata ikifunguka ukiclick haipigi na ukihold inapiga upside..(picha inatoka juu chini.)nahaitoi option ya back camera only front...
0 Reactions
0 Replies
521 Views
ommytech.com inakupatia huduma ya hosting kwenye website yako pia kununua domain kwa bei rahisi kabisa kma utahitaji wasiliana nasi kwa namba zifuatazo 0752292473 karibun
1 Reactions
5 Replies
820 Views
Naomba msaada kwa mtaalamu anambie namna ya kuandika chemical equations za inorganic na organic cpds. Natanguliza Shukrani zangu za dhati kwenu
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Wakuu, propeller ads inalipa? Aliyefaidika alikuwa anapost kwa traffic ya kizungu au ya kibongo ? Malipo kwa Payoneer Prepaid Master Card ni reliable?
3 Reactions
12 Replies
3K Views
aman iwe kwenu wadau! mm ninatumia sim aina ya Inote, sasa leo hii ni siku ya tatu kila ninapohitaji kuitumia haikubali inanoletea tu massage google play service has stoped, sasa ni jins gan...
0 Reactions
0 Replies
561 Views
Mimi ni kijana napenda sana kumiliki kituo cha Televisheni kwa kuwa nina uwezo mkubwa wa utunzi na uandaaji wa vipindi. Napenda niwe na kituo cha Televisheni changu ila kutokana sina uwezo wa...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
habar zenu, pc yangu ni lenovo L412 sasa tangu juz nikiiwasha kioo kinakua cheupe lakin pc inakua inaendelea kufanya kazi maana nikichomeka monitor ya nje inaonyesha vzr, sasa nikaifungua kule...
0 Reactions
5 Replies
929 Views
msaaada computer yangu imekufa kiooo display aina ni ...hp elite book ...
0 Reactions
3 Replies
530 Views
kwa anayefahamu,ni software gani hutumika kudesign sketch s mbalimbali,eg.kama waliyotumia kusketch muonekano wa fly over,muonekano wa kigamboni.
1 Reactions
0 Replies
556 Views
Ndugu, Ni dhahiri kuwa jukwaa hili ni jukwaa la watu wenye skills mbalimbali, zikiweno skills za graphics designing, na vinginevyo vingi. Lakini leo hii nimeona watu wote wanaopenda kufanya...
0 Reactions
4 Replies
756 Views
MARAFIKI.COM ilikuwa my best chating site nlikuwa naingia uko kwa day nakukaa hours meeting new friends chatting na wa bongo wenzangu hehehe! just chating yani ilikuwa bomba sana n that was like...
0 Reactions
3 Replies
6K Views
Wakuu kwanza natanguliza salaam...naombeni msaada KEY za kuactivate Windows 8.1 pro
0 Reactions
0 Replies
548 Views
Samsung galaxy J5, naona ni simu nzuri sana, anayejua bei yake naomba anijuze ,
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Habari wadau wa Tech Naomba kupewa msaada wa technique ya kuongeza traffic katika tovuti, Nawasitani wa kutembelewa kwa siku 1K - 1.5K nataka niweze ku move kutoka hiyo stage kwenda kwenye 5k - 10...
1 Reactions
0 Replies
591 Views
Nahitaji kujua wapi naweza pata hizi vitu hapa Dar-es-Salaam.Amazon na Alibaba naona zipo nyingi tu nahisi hata bongo zitakuwepo the qn is where. Mi ni miongoni mwa watu ambao hujikuta hawahitaji...
0 Reactions
42 Replies
6K Views
Mambo zenu,naomba mnisaidie kuchagua kati ya tv hizi: SAMSUNG LG SONY HEISENCE SOLSTAR Zote ni inch 32 na price zao zinarange sawa except kwa SONY iko juu kidogo kuliko zingine hapo...
0 Reactions
26 Replies
2K Views
Nahitaji kudownload software za computers mfano Jet audio,adobe,vlc na zngine je? Nifanyeje ili niweze kudownload kma vl tunatumia PLAY store za kwenye simu? ??
0 Reactions
2 Replies
719 Views
Mmeamkaje wadau,account yangu ya insta inanigomea kufollow marafiki wapya pia kuwafollowback walionifollow mimi tatizo linafikisha mwezi sasa.Tatizo linaweza kuwa nini
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Habari wakuu, Nimeibiwa simu yangu aina ya TECNO J5 (lakini niliinstall avast anti-theft), nawezaje kuitrack simu yangu niipate? Pia simu yangu ipo rooted, je hata akiiflash naweza kuipata tu?
1 Reactions
5 Replies
3K Views
Back
Top Bottom