Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Simu inasumbua chaji sasa sijui niweke betri ingine ama vipi? Yani nachaji usku mzima inajaa lakini ku browrse hata nusu saa haifiki limeisha daaah naikumbuka i phone5s yangu niliyoiuza ..wadau...
0 Reactions
9 Replies
649 Views
Computer & Mobiles Technicial Solutions COMPUTER UPGRADE, REPAIR AND SOFTWARE INSTALLATION (MAC&WINDOWS)e.g Installing Windows XP, Windows 7, Windows 8, Windows 8.1 and Windows 10(Pro, Home...
0 Reactions
0 Replies
682 Views
Hivi inawezekana Kuzuia mtu asiitembelee blog yangu Bure??.... Namaanisha, watu waitembelee kwa malipo?
1 Reactions
6 Replies
732 Views
Serikali ya Marekani kupitia idara ya usafirishaji [Department of Trapotation {DOT}] Ikishirikiana Federal Aviation Administration (FAA) imepiga marufuku kwa simu za Galaxy Note 7 zitakua siyo...
0 Reactions
1 Replies
791 Views
Habari rafiki , naamini umzima afya na unaendelea na harakati za kuboresha maisha yako. Karibu tena katika makala hii. Kila siku ndege zinazidi kuongezwa ukubwa kulingana na mahitaji ya binadamu...
0 Reactions
6 Replies
4K Views
Habari wanateknolojia, kama tujuavyo uwepo wa hub na innovation centers katika nchi au sehemu huchangia kwa kiasi kikubwa kusukuma kasi ya ugunduzi na uongezaji ufanisi wa vifaa na mifumo ya...
1 Reactions
12 Replies
3K Views
Kwa anaefahamu tafadhar......nahitaji kujua bei kinanda cha chini (low quality) kwa ajili ya kujifunzia.....
0 Reactions
4 Replies
10K Views
habari wakuu unaweza pakua idm latest hapa pamoja na patch yake:https://www.mediafire.com/?7b16wgzxnnahguq
1 Reactions
9 Replies
1K Views
hi wanajamvi yani simu ina memory storage kubwa lakn nikidownload app kutoka play store inakataa inaniambia view memory storage....kuna tatizo gan labda wakuu?
1 Reactions
9 Replies
834 Views
Huu mtandao nadhani hawajielewi. Ni kawaida sana kukuta mtandao umekata bila taarifa yoyote. Nimekuwa nina experience mbaya nikiwa Dar, Mbeya na Arusha. Leo nimekuja Mbeya, hakuna network...
0 Reactions
0 Replies
924 Views
Tecno j7 ina virus wengi. Nimejaribu kuwaondoa kwa kutumia apps ya 360 security lakini bado vipo. Nikifungua browser kwa mfano mozila au opera mini inanuambia you have 4 virus... Au kama hivi...
0 Reactions
17 Replies
3K Views
Habari!wakuu naomaba msaada jinsi ya kunlock moderm ya zte k3772z iweze zama lainia zote.nawasilisha
1 Reactions
11 Replies
3K Views
Wakuu naomba mnisaidia, nikifungua mtandao wowote,hata facebook etc picha na hata maneno yanaonekana kama yamevutwa na hayaonekani kabisa. Ninatumia komputer, sijajua ka ni virusi au ni nini...
0 Reactions
2 Replies
880 Views
wakuu hvi microphone zina range bei gani nataka ndogo tu ya kutumia wakati wa sherehe
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Wakuu nawezaje kudownload media za ustream kwa simu online?
0 Reactions
0 Replies
707 Views
Wakuu kwanza poleni na majukumu ya kujenga taifa lenye viwanda. nianomba mwenye link nzuri ya window activator yoyote anisaidie hasa kama una KMSAOUT LITE nimesumbuka kutafuta namna ya kui...
0 Reactions
23 Replies
40K Views
MAMLAKA ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) imepiga marufuku uingizaji na usambazaji wa simu za mkononi za Smartphone Samsung Galaxy note 7 kwa kuwa zina matatizo ya betri. TCRA pia imewataka wananchi...
0 Reactions
2 Replies
750 Views
Wakuu naomba msaada kujua wapi naweza kupata battery ya Dell e latitude 6430.Dell 97Wh extended rechargeable Li-ion Battery
0 Reactions
1 Replies
648 Views
Habarin wakuu..Ni app gan yakuapload picha whatsapp bila ku crop, ambayo haita igawanya picha maratatu mfano;
0 Reactions
5 Replies
855 Views
Back
Top Bottom