Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Habari zenu.naomba kuelekezwa namna ya ku unlock hii simu kwa anayefahamu
1 Reactions
3 Replies
900 Views
App za kwenye simu huwa nzuri na hupendwa na watu kama ukipata wazo zuri la kuweka katika hiyonapp. Sasabasi mimi nimepata wazo na kwa mujibu wa mawazo yangu na watu wangu wa karibu...
0 Reactions
9 Replies
10K Views
app
Naomb Masada jaman anaejua kutimia app ya snartube kudownload videp pm YouTube
0 Reactions
0 Replies
755 Views
Nilinunua friji yangu aina ya candy kubwa mtumba nikaiwasha kwa 3 month bila tatizo shida niliyoiona ni thermostat ilikuwa hijizimi na kuwaka kama nyngn, tatizo limejitokeza baada ya kuizima...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wakuuu na wataalam humu ndani poleni na majukumu....jamani nisaidieni,haka ka simu kangu nimekaflashi mwenyewe lakini touch screen haifanyi kazi vizuri,yani uki touch sehemu unapohitaji yenyewe...
0 Reactions
3 Replies
666 Views
Salaam wadau, Sasa bana, kuna mtu nataka nimuaibishe kwa uongo na uzushi wake. Hivyo ninahitaji msaada kidogo. Msaada wenyewe ni jinsi ya ku recover baadhi ya picha nilizopiga na simu yangu...
0 Reactions
41 Replies
2K Views
Habari za Leo wana JF Naomba msaada wa kiufundi wa king,amzi cha startimes Asubuhi kilikuwa kinaonesha Muda huu hakioneshi Kimeandika MANENO haya Attention E07:channel list emply...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
mwongozo huu ni jinsi ya kuondoa matangazo kwenye app. vilevile unajumlisha kutumia inapp purchases bure, kuondoa google license na kuzuia app kutumia internet background kwa zile app unazohisi...
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Morning wadau, natafuta Ic ya sound ya Lenovo. Ic number CX20752 , nipo Arusha
0 Reactions
2 Replies
805 Views
1. stethoscope 2. BP machine 3. themometer 4. patella hummer Hivyo vifaa inatakiwa niende navyo chuo maana vime ambatanishwa katika form, sasa sijajua vinauzwa sh. ngapi pia vinakopatikana...
0 Reactions
25 Replies
8K Views
Heshima zenu wakuu komputa yangu na simu yangu imevamiwa na kirusi cha ajabu nikichomeka memory card mafaili yote yanageuzwa na kuwa ma folder mengi zaidi ya mia yenye jina la...
1 Reactions
21 Replies
5K Views
Mi naomba msaada wa kutoa Matangazo kwenye app niliyo install kwenye simu yangu natumia tecno c9 yaani mfano nimedownload AVG AntiVirus basi unakuta kunapicha za video wadada wanchezea simu...
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Kwa hapa Dar es Salaam, nahitaji mtaalam wa kukopi video kutoka kwenye mikanda [VHS] kwenda kwenye CD
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Simu lenovo s90 inazingua ingia internet ata uki iweka ktk 3G network bado yenyew INA soma E network naomben msaada sana
0 Reactions
4 Replies
592 Views
Baada ya kickass kufungiwa nini imekuwa mbadala wake ...mimi ni kama naumwa week ya pili sasa sina hamu ya kitu chochote. na kazini nako nimeom ruhusa maana sina hata raha ya kufanya kazi baada ya...
3 Reactions
32 Replies
7K Views
IMEI: 866 168 023 535 238 model: e303h-1
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Wakuu ilikua mwaka Jana mwezi December ndipo nilijiunga na Halotel na kuanza kutumia Huduma ya internet yenye kasi kubwa lakini baada ya takriban miezi 11 sasa nimeona iko slow kwa Mimi ambaye...
7 Reactions
159 Replies
14K Views
Husika na kichwa cha habari hapo juu...wandugu nataka kufuta fb account ....vp mwaweza nisaidia njia gani za kufuata ili kufuta...fb account ili mradi isionekane kweny ulimwengu wa...
0 Reactions
16 Replies
4K Views
Habari zenu wakuu, Nahitaji msaada wenu juu ya simu iyo tajwa hapo juu, imeanza tatizo la kujizima na kujiwasha pindi ninapotaka kupokea simu iliyopigwa, na pia wakati flani namba zinajionyesha...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza,ninatafuta Facebook Ads Coupon
1 Reactions
0 Replies
525 Views
Back
Top Bottom