Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Whatsapp wametoa version mpya na wanataka ni-update. Lakini nikienda google play, inasema device yangu haiendani na hiyo new version. Nafanyaje sasa? Natumia samsung tablet note.
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Nimeona apple hawana mchezo, sasa kwenye simu zao wanatumia System on Chip Apple A10 ambayo ni nzuri sana kwa gaming (hexa-core GPU). Snapdragon 820 wataweza moto? Hizi A10 ni latest zimekuja na...
0 Reactions
16 Replies
3K Views
Jamani watalam naombeni msaada wa serial keys za Microsoft Office 2010.
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Movie zlzo tafcriwa kiswahl ntadownload wap kwa Android phone yangu nsaidien wadau
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Wadau nahitaji msaada jinsi ya ku-adjust mwanga wa pc (dell latitude 620 natumia window 7)....nimejaribu Fn + arrow keys na pia settings za rangi lkn hakun mabdliko
0 Reactions
10 Replies
6K Views
Nimekuwa nikitumia Smart kwa siku kama 3 sasa na kuna tatizo kubwa nimekutana nalo, inaelekea IP za mtandao huu zinatumika sana kutuma SPAM na kuendesha botnets, hii inapelekea kampuni ya...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Mimi ni upcoming photographer hivyo bas nahitaji ninunue camera ...nahitaji used canon nina laki saba nanusu tafathali kama unamjua mtu anaetaka kuuza naomba unitaarifu
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Husika na kichwa cha habari hapo juu.njoo inbox kwa mawasiliano zaidi
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Kampuni ya simu ya Blackberry itasitisha kutengeza simu aina ya smartphone baada ya miaka 14 katika bishara hiyo ,kampuni hiyo imetangaza. Ikiwa wakati mmoja kiongozi katika soko la mauzo ya...
3 Reactions
3 Replies
2K Views
Bei tsh.120,000/= maelewano yapo 0712 264469/0624000172 Dar es salaam
0 Reactions
0 Replies
539 Views
Nimechoka kila siku kuingia gharama sababu ya wizo wa halotel, nikijiunga na kifurushi na MB 600 nikifungua youtube au kudownload na magropu machache ya whatsapp kifurushi kinaisha. Sasa najiuliza...
1 Reactions
12 Replies
1K Views
Habari wakuu simu yangu imegoma kuxoma card leader na flash kwa kutumia otg cable,kabla ya kugoma hapo mwanzo ilikuwa inasoma bila shida tatizo linaweza kuwa nini
1 Reactions
1 Replies
584 Views
wadau habarini za jioni wandugu naombeini msaada wenu Natumia laptop aina ya HP pavilion core i5 2.4GHZ processor intel HD graphic tatitzo la mashine yangu siku hizi inapata sana moto wadau...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
PC yangu imezima ghafla wakati nikiwa naitumia. Tokea hapo imegoma kuwaka, ila mara moja moja inathubutu kuwaka kwenye safe mode tu.
0 Reactions
5 Replies
676 Views
Habari za muda huu! Jamani ninahitaji msaada wenu ili niweze kuondoa hii kero niliyonayo kwenye hii music player (boom player) kila nikiplay audio inaselect picha yeyote automatic kutoka kwenye...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Wana jamvi, mtu yeyote anayefaham application nzur ya kuzuia cm zisiingie naomba anijuze, nimejaribu call blacklist zote imeshindikana, nikaweka cm security nayo imeshindikana ivyo yeyote mwenye...
0 Reactions
37 Replies
3K Views
Nahitaji Mwenye Hicho Kioo Cha Samsung TV 32" model IPO hapo kwenye pic Contact 0767-929289
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wadau kwenye jukwaa hili natafuta component tajwa. Ni kwa ajili ya drain pump ya Indesit wixl 143s washing machine. Nipo Arusha mjini, nimetafuta kwenye maduka ya electronics bila mafanikio.
0 Reactions
0 Replies
560 Views
Wataalamu wa soka kwa kutumia Simu za android IPI ni app nzuri ambayo haigandigandi kati ya hizo nilizoziwakilisha kwenu yaani,mobikora,mobdro na kodi au kama kuna nyingine zaidi ya hizo.
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Back
Top Bottom