Ugandan News and Politics

Serious discussions on Politics and Latest news from Uganda

JF Prefixes:

Kama mada tajwa hapo juu inavojieleza, Ndugu zangu wa uganda naomba mwenye uelewa na Organization structure/chart ya Uganda Wildlife Authority anisaidie,Nimejaribu kuisearch google and other sites...
1 Reactions
2 Replies
461 Views
Watu tisa wamefariki dunia, wengine kadhaa kujeruhiwa katika mkanyagano uliotokea jana usiku nje ya Mall ya Freedom City mjini Kampala wakati wa kukaribisha mwaka mpya.
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Huu ni uhuni! Ninachokiona hapa ni Mhe Yoweri Museven kutumia mbinu zingine za kimedani kujaribu "KUJIPINDUA" ili aweke mtu sahihi wa kumrithi. Mwisho wa hii movie ninadhani atakakuja kusema...
2 Reactions
14 Replies
2K Views
Polisi nchini Uganda wanachunguza tukio la mwanamke mmoja mwenye umri wa miaka 59, Rosette Najuma ambaye ameaga dunia siku ya Jumatano Februari 8 wakati akifanyiwa maombiKanisa la Christian Life...
1 Reactions
1 Replies
574 Views
Baada ya Kanisa kuu ya Uingereza kutambua na kushiriki na watu wanao shiriki ndoa ya jinsia moja, kiongozi mkuu wakanisa ya Anglican ya Uganda ametanganza rasimi kuanza mchakato wakujitenga na...
8 Reactions
23 Replies
1K Views
Wakati Wanafunzi zaidi ya 13,000 wakitarajia kuanza Sherehe za Siku 5 za Mahafali leo Februari 13, 2023, Uongozi wa Chuo umepiga marufuku wahudhuriaji kuchukua picha za na Mnato na Mjongeo kwenye...
0 Reactions
2 Replies
989 Views
Rais Yoweri Museveni ameonya wanaotaka kufanya kampeni zozote zinazounga mkono Haki za Wapenzi wa jinsia moja nchini mwake ambako vitendo hivyo tayari vimeharamishwa Kisheria. Museveni ameita...
2 Reactions
4 Replies
2K Views
This is becaming too much, you need to do something
0 Reactions
2 Replies
360 Views
VITA HII ILITOKEA KWANZIA TAREHE 5-10 MWEZI WA 6 MWAKA 2000,ENEO LA KISANGANI,NCHINI CONGO.. IMEITWA VITA YA SIKU SITA KWASABABU ILIDUMU KWA SIKU SITA NA PIA IMEFANANA TAREHE NA VITA YA SIKU...
2 Reactions
45 Replies
12K Views
Abiria wanaosafiri kwenda nchi za nje kupitia Uwanja wa Ndege wa Entebbe nchini Uganda wamelalamika vitendo vya wafanyakazi wa Uhamiaji kuwalazimisha watoe hela (chochote kitu) pale wakiwa...
0 Reactions
4 Replies
834 Views
KWA miaka mingi, wavumbuzi walitafuta chanzo cha Mto Nile, ambao hupinda-pinda sehemu kubwa ya Afrika na kumimina maji yake katika Bahari ya Mediterania. Hatimaye, wavumbuzi fulani waliangazia...
1 Reactions
8 Replies
1K Views
Mtoto wa Museveni General Muhoozi simeone Twit yake leo akionyesha anaunga mkono m23 kwa kusema wanatafuta haki yao. Watu wengi wameshambulia lakini kuna wengine wamemuunga mkono.
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Hii ni kwa kipande cha SGR kitakachounga hadi Kenya.... After eight years of non-execution, the Uganda government has terminated the contract of China Harbour Engineering Company (CHEC) to build...
0 Reactions
0 Replies
773 Views
Baada ya miaka 8 ya kushindwa utekelezaji, Serikali ya Uganda imesitisha mkataba wa Kampuni ya China Harbour Engineering Company (CHEC) ya kujenga awamu ya kwanza ya reli ya kisasa (SGR), njia ya...
0 Reactions
0 Replies
656 Views
Takriban watu 16 wamefariki na wengine 21 kujeruhiwa baada ya basi lililokuwa likielekea Gulu kugonga na Trela la Lori katika kituo cha biashara cha Adebe huko Kamdini kando ya barabara kuu ya...
0 Reactions
0 Replies
801 Views
Watu sita wamefariki papohapo baada ya Basi la Kenya la Kampuni ya Oxygen kugongana na Basi la Rwanda la Kampuni ya Volcano katika Kijiji cha Rwahi kinachounganisha Wilaya za Ntungamo na Rukiga...
0 Reactions
2 Replies
587 Views
Heri ya Christmas wadau. Rais wa Uganda Yoweri Kaguta Museveni amepiga marufuku Kuuza Madini ghafi yanayotoka Uganda akisema hataki kuwa sehemu ya Wasaliti wa Afrika.. Museveni amesema kuuza...
9 Reactions
37 Replies
3K Views
Rais wa Uganda, Yoweri Museveni amesema amepiga marufuku madini ghafi ya Uganda kusafirishwa nje ya nchi kwasababu hataki kuwa sehemu ya wasaliti wa Uganda na Afrika kwa ujumla kwa kutumika...
0 Reactions
0 Replies
444 Views
Wataalam wa Afya wanasema hali hiyo ya kukosa wagonjwa wapta tangu Novemba 2022 imewafanya kushindwa kutoa chanjo aina tatu za majaribio zilizotua nchini humo hivi karibuni. Maambukizi ya ugonjwa...
0 Reactions
2 Replies
540 Views
Kiongozi huyo amechukua uamuzi huo kwa maelezo kuwa Nchi yake imefanikiwa kwa kiasi kikubwa kuudhibiti Ugonjwa huo ulioambukiza watu 142 na vifo 55. Museveni amesema "Kwa sasa, hakuna Maambukizi...
0 Reactions
0 Replies
597 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…