Ugandan News and Politics

Serious discussions on Politics and Latest news from Uganda

JF Prefixes:

Why Watanzania na Wakenya wanajiona kama ndio wanarun East Africa??m They rarely scarcely talk about us. Its like we don't exist. I feel shamed. Halafu wakija Uganda wanajiona kama wajanja sana...
0 Reactions
30 Replies
6K Views
Rais wa Uganda amekaribisha mpango mpya wa maendeleo wa China katika bara la Afrika ambapo Uganda ni miongoni mwa nchi zilizopangwa kunufaika nao Rais huyo, ambaye alikutana na ujumbe wa China...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Hello Banzukulu, I salute you in the greatest spirit of news alert for transition and dispensesion ni regional politics. Taarifa za kustaafu ama kuomba ruhusa ama kibali cha kustaafu utumishi wa...
1 Reactions
21 Replies
2K Views
Picha: Richard Michael Nataka Mahakama ya Kupambana na Ufisadi Kampala, Uganda imemhukumu Richard Michael Nataka, aliyekuwa katibu mkuu wa Chama cha Msalaba Mwekundu Uganda (URCS) kifungo cha...
1 Reactions
3 Replies
884 Views
Uganda imepanga kuwatoza faini watu wote wanaokataa kuchanjwa dhidi ya COVID 19 na wale watakaoshindwa kulipa faini hiyo wanaweza kupelekwa jela chini ya sheria mpya ya afya ya umma ambayo wabunge...
1 Reactions
4 Replies
912 Views
Katika hali isiyo ya kawaida, hakuna mtu anayeweza kufanya kitendo cha kijasiri kama hiki kwa kutetea haki na uhuru wake wa kuchukua habari. PHOTO: Askali akimsukuma Lawrence ambaye ni mwandishi...
6 Reactions
18 Replies
2K Views
SUNDAY APRIL 21 2019 Illegal. Police officers and crime preventers from Kamengo Police Station clear marijuana plantations at Kampiringisa Central Forest Reserve in Mpigi District in 2017. PHOTO...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
01 February 2022 Kampala, Uganda Uganda gov't weighs the risk of closing 17 projects A list has emerged of seventeen risky externally financed projects, worth over one-point-two billion...
0 Reactions
0 Replies
998 Views
Nichukue fursa hii kulipongeza jeshi letu tukufu la JWTZ kwa kazi njema waliyoifanya mwaka 1978/79 na kuwarejeshea Wananchi wa Uganda uhuru wao. Jenerali Iddi Amini alipindua serikali na kuingia...
1 Reactions
9 Replies
1K Views
The Uganda Kabaale Industrial Park The KIP is a petro-based industrial park to be developed on 29.57 Km2 of land, in Kabaale, Buseruka Sub-county, Hoima District. UNOC to hold 51% shareholding...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Shuguli zote za kiuchumi zimefunguliwa tena nchini Uganda leo Jumatatu baada ya kufungwa kwa baadhi ya biashara kwa karibu miaka miwili. Baa, vilabu vya usiku, kumbi za michezo na maeneo mengine...
1 Reactions
1 Replies
951 Views
Lord's Resistance Army: Bandits or Military? After more than three decades of carrying out atrocities against civilians, the Lord's Resistance Army, of Ugandan origin, will be able to hand over...
1 Reactions
0 Replies
986 Views
Uganda inakabiliwa na uhaba mkubwa wa mafuta ya petroli kutokana na msongamano mkubwa wa magari ya kusafirisha bidhaa hiyo kwenye mipaka ya Busia na Malaba, mashariki mwa nchi hiyo. Msururu wa...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Nashindwa kujizuia hili jamaa kuliita Dume na Mwamba wa Afrika Tuliambiwa kuwa Idi Amini alikuwa dicteta wa hatari, anakula watu, anakula damu za watu na mambo mengi yanayofanana na hayo...
2 Reactions
8 Replies
3K Views
Ripoti ya Mamlaka ya Mipango ya Taifa Nchini humo imeonesha Wanafunzi Milioni 4.5 kati ya Milioni 15 hawataweza kurudi Shule kwa sababu mbalimbali Uganda imefungua Shule hivi karibuni baada ya...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Uganda itaharibu dozi zaidi ya dozi 400,000 za COVID-19 ambazo zimeisha muda wake wa matumizi kutokana na kasi ndogo ya utoaji chanjo nchini humo Waziri wa Afya wa Uganda, Jane Ruth Aceng amesema...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Uganda ipo katika Giza nene la siasa. Kinachoendelea Uganda kinamtisha Rwanda japo kinacho endelea Uganda kitazuwa Jambo nchi majirani. Pray for East Africa.
4 Reactions
14 Replies
2K Views
Mwandishi wa Uganda anayetuhumiwa kutuma taarifa za kashfa kuhusu rais na mtoto wake wa kiume kwenye mtandao wa Twitter amefunguliwa mashtaka mahakamani, wiki kadhaa baada ya kukamatwa. Kakwenza...
0 Reactions
1 Replies
974 Views
Shule nchini Uganda zilifungwa tangu Machi 2020 ili kudhibiti usambaaji wa COVID19 na zimefunguliwa rasmi na kuwaruhusu wanafunzi kuendelea na masomo Baadhi ya wanafunzi waliendelea kusoma kwa...
0 Reactions
1 Replies
913 Views
Kwa huzuni kubwa Serikali ya Uganda imeshindwa kulipa deni kiasi cha dola kilioni 207 na kupelekea kutaifishwa uwanja wao wa ndege walioweka bondi. Iwanja wa Entebe sio mali ya Ugamda tena...
4 Reactions
181 Replies
18K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…