Ugandan News and Politics

Serious discussions on Politics and Latest news from Uganda

JF Prefixes:

Ama kweli mchele ni mmoja mengine ni mambo ya mapishi tu. Kama ilivyokuwa kwetu, mganda naye anaelekea tuliko fika: yaani a Corona free country: COVID-19: Victory in Uganda as the Country...
1 Reactions
13 Replies
2K Views
Wizara ya Afya imethibitisha visa vipya 11 baada ya kupima sampuli 2,575 na jumla ya walioambukizwa Virusi hivyo nchini humo imefikia 2,040 Aidha, nchi hiyo pia imewarudisha madereva wa malori 27...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wizara ya Afya nchini humo imesema kuna ongezeko la Wagonjwa 23 baada ya sampuli 2,219 kupimwa jana na kufanya jumla ya Wagonjwa kufikia 797. Wagonjwa wapya wote ni Waganda Katika ya Wagonjwa...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Credit: Vision Reporter The gold, according to sources, belongs to a Tanzania-based gold dealer. SMUGGLING The Police Mineral Protection Unit is reported to have intercepted 93kg of gold worth...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Chama Cha waendesha bodaboda, NFPC wameishtaki serikali ya Uganda kwa kuwa na ubaguzi kwenye kuruhusu usafiri wa umma kuendelea kufungia waendesha bodaboda kuteweza kuendelea na biashara yao Kesi...
1 Reactions
1 Replies
2K Views
Nchi ya Uganda imeingiza kiasi cha dola bilioni 1.3 kutokana na uwepo wa kampuni ya kuchakua dhahabu dhahabu ya “Africa Gold Refinery”. Kiasi hicho kinaifanya Uganda kuwa miongoni mwa nchi za...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Duh! Kumbe Watanzania walikua wamenunia na Waganda pia, hawa wenzetu diplomasia imewashinda, sasa ni mwendo wa full migogoro na majirani wote. Hii ni baada ya Tanzania kusalimu amri kwa Kenya na...
3 Reactions
19 Replies
2K Views
Benki ya Dunia (WB) imepitisha bajeti ya Dola za Marekani Milioni 300 ili kusaidia Uganda kukabiliana na janga la #CoronaVirus. Taatifa ya WB imesema fedha hizo zitatumika kuongeza uwezo wa...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Wizara ya Afya imethibitisha visa vipya 19 vya CoronaVirus baada ya kupima sampuli 2,170 na maambukizi ya nchi hiyo yamefikia 889. Katika visa vilivyotangazwa leo, 11 walisafiri kutoka...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Ikumbukwe hapa kuwa ni Rais Magufuli pekee barani Afrika aliyekataa kuwafungia wananchi ndani yaani lockdown licha ya shinikizo kubwa kutoka kwa Chadema na ACT wazalendo. Rais Museveni wa Uganda...
4 Reactions
48 Replies
5K Views
Mwanamke Mmoja na mpwa wake wamefikishwa Mahakamani nchini Uganda Wakituhumiwa kuingia nyumbani kwa Mwanaume na kujificha juu ya dari kisha kumrecord Video wakati akijamiiana na baadaye wakamtaka...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Wizara ya Afya imethibitisha ongezeko la visa vipya 9 vya COVID19 na jumla ya maambukizi nchini humo hivi sasa ni 741 Wagonjwa wapya wote ni Waganda, 4 ni madereva wa malori waliotokea Kenya (2)...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Tume ya uchaguzi Uganda yazuia kampeini za mikusanyiko badala yake wagombea wajinadi kwa kutumia mitandao ya kijamii na TV. === TUME ya Uchaguzi ya Uganda imepiga marufuku mikusanyiko ya kampeni...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Wafiadini wa Uganda Nchi ya Uganda iliwahi kupatwa na dhuluma dhidi ya dini, hasa Ukristo, hususan madhehebu ya Anglikana na Kanisa Katoliki. Waliouawa katika mazingira ya namna hiyo, wanaitwa...
1 Reactions
7 Replies
5K Views
Viongozi wa upinzani Uganda Kizza Besigye na Robert Kyagulanyi maarufu Bobi Wine wameunda muungano wa upinzani. Robert Kyagulanyi wa vugu vugu la People Power kwa pamoja na Dkt. Kizza Besigye...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Rais wa Uganda, Yoweri Museveni amewaagiza mawaziri wote kupima COVID-19 kabla ya kuhudhuria kikao cha baraza la mawaziri kila Jumatatu. --- “My test results turned out negative on Saturday...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Wizara ya Afya imethibitisha visa vipya vya #COVID19 na maambukizi yamefikia 705 huku idadi ya waliopona ikiwa 299 Katika visa hivyo, watano aliokuwa karibu na wagonjwa ambao tayari...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Rais Museveni amesema baadhi ya majibu ya vipimo vya COVID-19 yalisemwa watu wanaumwa ingawa hawakuwa na ugonjwa huo. Rais amesema makosa hayo yametokana na uzembe katika maabara ya Chuo Kikuu cha...
3 Reactions
35 Replies
4K Views
Wizara ya Afya imethibitisha Wagonjwa wapya 8 baada ya sampuli 2,423 kupimwa Juni 09, 2020 na kufanya jumla ya Visa nchini humo kufikia 665. Wagonjwa wote wapya ni Waganda Kati ya Wagonjwa, wanne...
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…