Mamlaka nchini Uganda imesema watu 18 wamethibitishwa kufariki na wengine 100 kujeruhiwa baada ya mvua kubwa kunyesha na kusababisha mafuriko wakati wa usiku kwenye wilaya mbili mashariki mwa...
Viongozi mbalimbali duniani wamemuonya Rais wa Uganda Yoweri Kaguta Museveni juu ya unyanyasaji wa serikali yake kwa mpinzani kijana anaependwa na Waganda na mbunge wa jimbo la kyadondo...
JESHI la Polisi limemweka katika kizuizi cha nyumbani mwanamuziki na Mbunge wa Kyadondo Mashariki, Robert Kyagulanyi, maarufu kama Bobi Wine.
Jeshi lilichukua hatua hiyo saa kadhaa baada ya...
Leo nimeona jinsi Bob Wine allivyokamtwa nimemkumbuka sana huyu Besigye ambaye alionekana kuwa machachari kwenye siasa za Uganda. Kama kweli ana nia thabiti ya kumng’oa M7 basi aungane na huyu...
Ugandan police detained pop star-turned-MP Bobi Wine on Monday after shutting down one of his concerts and firing tear gas at his fans, the singer's wife and supporters said.
"He has been...
Mahakama kuu nchini Uganda imeidhinisha mabadiliko ya katiba yaliyoondoa kizingiti cha umri kwa wagombea wa urais nchini humo.
Katika kikao kilichochukua takribani saa 10, majaji wameamua kwamba...
OTAFIIRE MESSAGE TO BOBI WINE LEAVES THE NATION IN SHOCK
Minister of constitution affair Major General Tahinda Otafiire has stated that army will not allow Kyadondo East member of parliament...
Serikali nchini Uganda kupitia Wizara ya Utalii nchini humo imetangaza rasmi kuwa itawatumia wanawake wenye maumbo mazuri katika kuvutia watalii nchini humo.
Hayo yametangazwa Juzi Februari 5...
Serikali ya Uganda imesema marubani watakao ajiriwa ktk shirika la ndege la Uganda watakuwa wakiweka kibindoni mshahara wa kiasi mil 42 Ush na wasaidizi wao (first officer) watakuwa wakilipwa 38...
Wakaazi wa kijiji cha Nakapyata, wilayani Buyende nchini Uganda wamefanya sherehe ambapo watoto wawili walio kati ya umri wa miaka tisa na sita waliozwa katika utamaduni wa kushangaza.
Kulingana...
Yes wadau habari za jioni, Hii issue naona bado inaendelea maana PK juzi alikuwa ktk mkutano flani iv bado mzee akaonyesha uwepo wa tatizo na analaumu uongozi wa juu wa UGANDA hasa RAISI lkn pia...
Shirika la chakula duniani, WFP limesitisha shughuli ya kugawanya chakula cha misaada kwa wakimbizi nchini Uganda.
Hii ni baada ya madai kuibuka kuwa watu wawili wamefariki na wengine zaidi ya...
Majaji hao wameamua kusitisha huduma kwenye vituo vya kimahakama 20 kwa maelezo kuwa serikali inapuuza madai yao
Wanadai malipo ya malupulupu, fedha za uendeshaji wa Mahakama na kuongezewa...
Sioni sababu ya Waganda kutubania ndugu zenu, hatujashiriki haya mashindano since 1980, tuoneeni huruma basi na sisi jamani, khaa, msitukazie jirani zetu.
Even if the Cranes have already qualified, I know that they still have a game to play against Tanzania. Please make sure you do not lose that game. Congratulations once again.- Yoweri Museveni.
Aman iwe kwenu wakuu
Ni tukio ambalo limetokea Uganda
Majambazi walivamia benki na kuivunja lakin cha ajabu badala majambazi hao waibe pesa wao walifika wakawabaka wafanyakazi kisha wakasepa...
“ Some people think that being in government for a long time is a bad thing. But the more you stay, the more you learn. I am now an expert in governance “.
Shikamoo Rais Mzee Yoweri Amos Kaguta...
Mwanamke wa miaka 80 amesema lengo lake ni kuja kusomea taaluma ya Ualimu
Amesema khwa baada ya kuteseka na hali ya kukosa elimu ameamua kuchukua hatua na kujiandikisha shule
Mzee huyo anasema...
Chama cha NRM kimempitisha tena mzee Mseven mwenye miaka 74 kugombea tena pale mwaka 2021,
Hatua hiyo imekosolewa vikali na baadhi ya Wapinzani,
Source DW
----
Uganda's ruling party has...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.