Ugandan News and Politics

Serious discussions on Politics and Latest news from Uganda

JF Prefixes:

Kodi hii kwa watumiaji wa mitandao ya kijamii ilitambulishwa mwezi Julai mwaka jana imetajwa kupunguza watumiaji wa mitandao ya kijamii nchini humo. Kwa mujibu wa Mamlaka ya Mawasiliano nchini...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
To hear that someone has been sentenced to death is disturbing, so naturally one wonders what goes on in the mind of the person who actually executes the death sentence. To answer this question...
3 Reactions
57 Replies
27K Views
Nchini Uganda imeripotiwa kuwa Mganga wa Jadi Bw. Akuze Damiano amemshtaki Spika wa Bunge Bi. Rebecca akishinikiza kulipwa fedha zake zaidi ya shilingi mil.200 za Uganda anazomdai, Akuze amedai...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Rais Museveni amesema kucheza Kamari kumewafanya vijana waache kufanya kazi kwa bidii Ameagiza kusitishwa kutolewa vibali kwa kampuni mpya zinazoendesha michezo ya kamari au vibali vipya kwa...
0 Reactions
120 Replies
20K Views
Ziara za Lisu hazina tofauti na Ziara za Bob Wine Nje ya Nchi zao Nilitaka watanzania na Lisu wajifunze kwa Bob Wine ..tusije weka matumaini yasiyokuwepo Muulize Maalim Seif
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Askofu wa kanisa katoliki Uganda amewataka waumini kukatwa fungu la kumi kabla kulipwa mishahara. Alilalamika kuwa wengi wa waumini hawalipi fungu la kumi kanisani Sawa na serikali ambayo...
3 Reactions
56 Replies
9K Views
Hivi ziara na interview za Bob Wine huko ughaibuni zimeishia wapi na zimewasaidia vp waganda? Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Raia wa Uganda, Noordin Kasoma abuni Baiskeli kwa kutumia mmea wa muanzi. Anatumia baskeli za chuma zilizochakaa na kubadili sehemu kubwa kwa kuweka mianzi Baiskeli hizo zimejizolea umaarufu...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Serikali ya Uganda kupitia Wizara ya Utamaduni na Sanaa imetangaza sheria mpya zenye lengo la kuwabana wasanii, ili kulinda maadili na sanaa kwa ujumla. Sheria hizo ambazo zimetangazwa wiki...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Hiki kimbunga kimetokea Kabale Uganda katika ziwa Bunyonyi. Hili ziwa lina kina cha 7km, linasemekana kuwa la 5 kwa urefu wa kina duniani. Ila ni ziwa hatari sana maana watu wengi hupotea...
1 Reactions
5 Replies
4K Views
BAADA ya Tanzania, Kenya na Rwanda kuendelea kujiimarisha katika sekta ya usa ri wa anga, Uganda nayo iko mbioni kupokea ndege yake ya abiria, ikiwa ni hatua ya awali ya kufufua Shirika la Ndege...
0 Reactions
20 Replies
5K Views
Mchezesha Muziki Nchini Uganda amepatwa na mauti baada ya kuvamiwa na kundi la vijana waliompiga kwa kosa la kuweka wimbo ambao hawakuupenda walipokuwa wanacheza muziki kwenye ukumbi mmoja uliopo...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Police in Gomba District, Uganda, have arrested a 19-year-old man for allegedly abusing President Yoweri Museveni. They identified the suspect as Joseph Kasumba, a resident of Kanoni Town and the...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Askofu Michael Lubowa amewaonya vijana wanaomkosoa Rais Museveni kupitia mitandao ya kijamii Amesema kuwa kutikana na upole, na kuwa na moyo wa kusamehe, Rais Museveni hawajibu bali yeye...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
31 December 2018 Kampala, Uganda NEW YEAR MESSAGE: President Yoweri Museveni makes annual address Source : NTV Uganda NEW YEAR MESSAGE 2019 Countrymen and Countrywomen, Greetings to all of you...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Mtafiti mwandamizi mwenye utata katika Taasisi ya Utafiti wa Jamii ya Chuo Kikuu cha Makerere nchini Uganda, Dk Stella Nyanzi ametimuliwa chuoni hapo kufuatia mabadiliko yaliyowasomba pia...
0 Reactions
8 Replies
4K Views
Kufuatia mbinyo mkali wa wapinzani mataifa makubwa nchini uganda kumemfanya rais Museni kukubali kukaa meza moja na wapinzani kuamua jinsi ya kuitawala Uganda.
7 Reactions
44 Replies
5K Views
The Ugandan government has named 35 secondary schools countrywide where the Chinese language will be taught starting next year. Esther Mbayo, the Presidency minister, said the decision to teach...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Rais Yoweri Museveni wa Uganda katika kikao alichofanya na viongozi wa vyama vya siasa nchini humo amefunguka na kusema kuwa hana mpango wa kuachia madaraka hivi karibuni na wala wanasiasa...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Back
Top Bottom