Ugandan News and Politics

Serious discussions on Politics and Latest news from Uganda

JF Prefixes:

Mamlaka nchini Uganda imesema watu 18 wamethibitishwa kufariki na wengine 100 kujeruhiwa baada ya mvua kubwa kunyesha na kusababisha mafuriko wakati wa usiku kwenye wilaya mbili mashariki mwa...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Viongozi mbalimbali duniani wamemuonya Rais wa Uganda Yoweri Kaguta Museveni juu ya unyanyasaji wa serikali yake kwa mpinzani kijana anaependwa na Waganda na mbunge wa jimbo la kyadondo...
1 Reactions
3 Replies
2K Views
JESHI la Polisi limemweka katika kizuizi cha nyumbani mwanamuziki na Mbunge wa Kyadondo Mashariki, Robert Kyagulanyi, maarufu kama Bobi Wine. Jeshi lilichukua hatua hiyo saa kadhaa baada ya...
1 Reactions
1 Replies
2K Views
Leo nimeona jinsi Bob Wine allivyokamtwa nimemkumbuka sana huyu Besigye ambaye alionekana kuwa machachari kwenye siasa za Uganda. Kama kweli ana nia thabiti ya kumng’oa M7 basi aungane na huyu...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Ugandan police detained pop star-turned-MP Bobi Wine on Monday after shutting down one of his concerts and firing tear gas at his fans, the singer's wife and supporters said. "He has been...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Mahakama kuu nchini Uganda imeidhinisha mabadiliko ya katiba yaliyoondoa kizingiti cha umri kwa wagombea wa urais nchini humo. Katika kikao kilichochukua takribani saa 10, majaji wameamua kwamba...
2 Reactions
2 Replies
1K Views
OTAFIIRE MESSAGE TO BOBI WINE LEAVES THE NATION IN SHOCK Minister of constitution affair Major General Tahinda Otafiire has stated that army will not allow Kyadondo East member of parliament...
3 Reactions
15 Replies
2K Views
Serikali nchini Uganda kupitia Wizara ya Utalii nchini humo imetangaza rasmi kuwa itawatumia wanawake wenye maumbo mazuri katika kuvutia watalii nchini humo. Hayo yametangazwa Juzi Februari 5...
1 Reactions
26 Replies
10K Views
Serikali ya Uganda imesema marubani watakao ajiriwa ktk shirika la ndege la Uganda watakuwa wakiweka kibindoni mshahara wa kiasi mil 42 Ush na wasaidizi wao (first officer) watakuwa wakilipwa 38...
0 Reactions
15 Replies
3K Views
Wakaazi wa kijiji cha Nakapyata, wilayani Buyende nchini Uganda wamefanya sherehe ambapo watoto wawili walio kati ya umri wa miaka tisa na sita waliozwa katika utamaduni wa kushangaza. Kulingana...
2 Reactions
6 Replies
3K Views
Yes wadau habari za jioni, Hii issue naona bado inaendelea maana PK juzi alikuwa ktk mkutano flani iv bado mzee akaonyesha uwepo wa tatizo na analaumu uongozi wa juu wa UGANDA hasa RAISI lkn pia...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Shirika la chakula duniani, WFP limesitisha shughuli ya kugawanya chakula cha misaada kwa wakimbizi nchini Uganda. Hii ni baada ya madai kuibuka kuwa watu wawili wamefariki na wengine zaidi ya...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Majaji hao wameamua kusitisha huduma kwenye vituo vya kimahakama 20 kwa maelezo kuwa serikali inapuuza madai yao Wanadai malipo ya malupulupu, fedha za uendeshaji wa Mahakama na kuongezewa...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Sioni sababu ya Waganda kutubania ndugu zenu, hatujashiriki haya mashindano since 1980, tuoneeni huruma basi na sisi jamani, khaa, msitukazie jirani zetu.
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Even if the Cranes have already qualified, I know that they still have a game to play against Tanzania. Please make sure you do not lose that game. Congratulations once again.- Yoweri Museveni.
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Aman iwe kwenu wakuu Ni tukio ambalo limetokea Uganda Majambazi walivamia benki na kuivunja lakin cha ajabu badala majambazi hao waibe pesa wao walifika wakawabaka wafanyakazi kisha wakasepa...
4 Reactions
35 Replies
7K Views
“ Some people think that being in government for a long time is a bad thing. But the more you stay, the more you learn. I am now an expert in governance “. Shikamoo Rais Mzee Yoweri Amos Kaguta...
2 Reactions
8 Replies
2K Views
Mwanamke wa miaka 80 amesema lengo lake ni kuja kusomea taaluma ya Ualimu Amesema khwa baada ya kuteseka na hali ya kukosa elimu ameamua kuchukua hatua na kujiandikisha shule Mzee huyo anasema...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Chama cha NRM kimempitisha tena mzee Mseven mwenye miaka 74 kugombea tena pale mwaka 2021, Hatua hiyo imekosolewa vikali na baadhi ya Wapinzani, Source DW ---- Uganda's ruling party has...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…