Mauaji hayo yametokea katika Mji wa Mpondwe uliopo Magharibu mwa Uganda ambapo pia watu sita wametekwa nyara na wanamgambo wa vikundi vya waasi wanaodaiwa kufanya shambulizi hilo.
Shambulii hilo...
Taarifa ya WB, imesema uamuzi huo unatokana na Serikali ya Rais Yoweri Museveni kupitisha Sheria inayopingana na wanaojihusisha na Mapenzi ya Jinsia moja.
"Maono yetu ya kutokomeza umaskini...
Tarehe 02nd June 2023, maofisa wa uhamiaji wa Uganda walikamata silaha za Falme za Kiarabu (UAE) zikipelekwa Sudani kupitia Chad kulingana na makala ya WSJ (Wall Street Journal) ya leo tarehe 10th...
Kiufupi ni kwamba hii Dunia inaelekea mwisho
Wakati tunalia na IGA ya DP World tuwaangalie World Bank nao na Masharti yao kwa ndugu zetu wa Uganda
Unaweza usiwalaumu kabisa Waarabu hata kama...
Yameona mwanga na kuamua hayapo tayari kuwahishwa kwenda kule kwa mautamu ya akhera. Japo natoa wito yasiaminiwe sana kihivyo, inaweza ikawa zuga ya kupata fursa ya kuachiwa yajilipue sehemu yenye...
12 May 2021
Kampala, Uganda
Ceremonies for the 6th swearing-in of President Yoweri Museveni started early in Kololo, Kampala on Wednesday 12, May 2021
President Museveni’s full speech on his...
Kwa mujibu wa Kamishna wa Haki za Binadamu wa UN, hatua hiyo inafuatia uamuzi wa Serikali ya Rais Yoweri Museveni kutohitaji kuendelea kwa Makubaliano ya uwepo wa Ofisi hizo nchini humo.
Katika...
Serikali ya Uganda imewashauri wanaume kuacha kufanya vipimo vya vinasaba (DNA) kubaini ukweli wa uzazi, ikisema kuwa haina manufaa kwa ustawi wa nchi hiyo.
Waziri wa Afya Msingi wa nchi hiyo...
HAKIMU WA KIUME ADAIWA KUJIGEUZA BINTI, AKAMATWA AKIMFANYIA MTIHANI MPENZI WAKE
Hakimu mmoja nchini Uganda amefutwa kazi kutoka utumishi wa mahakama baada ya kukamatwa kwa kujifanya mwanamke ili...
Which nation Colonized Burkina Faso?
The historical backdrop of Burkina Faso incorporates the historical backdrop of different realms inside the country, like the Mossi realms, as well as the...
Hatimaye, zama za mbabe wa siasa za jirani zetu pale Kenya bwana Raila Odinga, dalili zote zinaashilia zi-ukingoni.
Kwa namna Rais Ruto anavyotaka kushughulika na mwamba yule, hakika, ni suala la...
Kwa mujibu wa Taasisi ya Parliament Watch ya Uganda, Maafisa hao wametajwa na Mkaguzi wa Hesabu za Serikali kuhusika na ubadhirifu huo, hivyo wanapaswa kujieleza kwa Umma juu ya sakata hilo...
Kutoka Uganda Polisi nchini humo wanamshikilia Mwanaume (23) na Mpenzi wake (35) kwa kosa la kuingia nyumba ya Jirani wakiwa wanatoka Baa usiku kisha kufanya mapenzi kwenye kitanda cha Jirani huyo...
Shirika la ndege la Uganda limeripoti kuongeza mapato kwa kuingiza zaidi ya Dola 67,137 kutokana na kusafirisha maiti za raia wa Uganda kurejea nyumbani tangu kuanza kwa safari zake takriban miaka...
Sakata la Waganda Kubambikiwa Watoto na kukimbilia Kupima DNA limechukua sura Mpya baada ya Mpinzani wa Siku nyingi wa Serikali Dr.Kiiza Besigye kukataa Kupima DNA akisema yeyote anaemuita baba...
Kampuni ya usindikaji wa maziwa ya Brookside Limited, nchini Uganda imepunguza zaidi ya asilimia 50 ya wafanyakazi wake kufuatia kushuka kwa bidhaa zinazouzwa nje. .
Katika barua iliyotumwa kwa...
Ajali ya barabarani iliyohusisha lori na daladala kwenye barabara kuu ya Kagadi-Kyenjojo katika halmashauri ya mji wa Nyanseke-Muhorro, wilayani Kagadi.
Ajali hiyo pia imewaacha wengine kadhaa...
Raisi wa Uganda Yoweri Kaguta Mseveni amedai kuwa ameridhika na ufugaji wa ng'ombe wake nyumbani na hana tamaa na madaraka.
Kiongozi huyo amesema hayo wakati akimpigia kampeni mgombea ubunge wa...
Naibu Spika wa Bunge Thomas Tayebwa ameiomba serikali kuzuia tovuti zote za ngono ambazo alisema zinawaweka watoto kwa taarifa nyingi zisizofaa.
"Watoto wetu wanakabiliwa na katuni za...
Rais wa Uganda, Yoweri Museveni amewataka wananchi wa Taifa hilo kutupilia mbali anaouita uzushi wa kuwa amefariki kutokana na Uviko-19.
Hatua hiyo inakuja baada ya siku kadhaa kupita tangu Rais...