Wana JF Habari za mapumziko ya sikukuu ya X-mas.
Leo nina jambo nataka uliza. Nimepata fununu kuwa katika kipindi cha hivi karibuni biashara ya mayai ya Kanga imekuwa nzuri sana kwani yai...
Habari za muda huu wakuu.
Naomba msaada wa kujua wanakupatikana Ng'ombe bora wa maziwa. Zaidi kwa mamahitaji ya ng'ombe mwenye mimba ambae hatachukua muda mrefu kuzaa.
Nitaomba kujua
1. Aina na...
Habari wana jf, naomba mwenye ufaham wa namna ya kusindika nyanya kuwa tomato souce na pilipili kuwa chillsouce, pia vifaa kama mashine na vichanganywa pia gharama zake, nataka nii-ingize ktk...
Hawa croiler tunaambiwa wanakaribiana na kuku wa kienyeji tofauti na broiler ambao ni pure kuku wa kisasa.
Ukifuatilia utagundua tofauti yao inatokana na jinsi wanavyozalishwa(cross breeding) ila...
Habari wanajamvi,
Naulizia ni dawa gani naweza kutumia baadaya kupruni miti ya matunda kupaka au kuspray sehemu niliyoikata lengo likiwa ni kuzuia wadudu au magonjwa yanayoweza kupitia sehemu...
Huu ni ugonjwa gani..kuku anakua kazubaa na akisinzia kuna mda kichwa kinageuka kama hivo..hizo dalili amekaa nazo kwa siku 2-3 hivi
Kinyesi chake ni cha njano chenye maji mengi picha ipo hapo...
Iliobaki ni kudanganyana na kuibiana yaani hakuna faida hata ya kuwa na waziri wa kilimo,wa nini? hana jipya wala uwezo wa kutufanyia lolote, kama ni mbio tumeshapitwa na tumeshachoka utampitaje...
Wajumbe natumaini hamjambo.
Naomba kwa yeyote anayejua namna ya kupata mbegu nzuri ya migomba kwa maeneo ya karibu ndani ya jiji hili la DAR
Mahitaji yangu sio makubwa kama 100...
Wadau ni kwamba vijana tuchangamke utajiri upo lakini unahitaji mipango. Binamu yangu wiki iliyopita mwezi huu Desemba 2020 ameuza miti yake ya mitiki ambayo aliipanda sio kwa lengo la biashara na...
Habari zenu wadau wa kilimo biashara.
Tafadhali rejea kichwa cha habari hapo juu. Mimi ni mdau wa kilimo cha mahindi na naomba kujua namna ya kupata maghala ya kuhifadhia mahindi kuanzia tani...
Wadau kwema
Katika pita pita zangu nimekuta mahala makala Mkuu wa Wilaya wa Kongwa Dkt. Serera na KM Kilimo Wakiwa wanafanya ukaguzi kwenye mashamba ya Korosho Vijiji vya Mkutani na Msunjilile...
Habari wakuu?. Hope tunajiandaa vema na sikukuu ya pasaka pia hongereni kwa mapumziko mareeeefu!.
OK nirudi kwenye kitu kilichonileta hapa kwenu nyie wadau na wataalam wa fani mbalimbali mliopo...
Wadau kama kichwa kinavyojieleza hapo juu, nahitaji shamba la kukodi, kwa mikoa inayopakana na Dar.
Shamba lisipungue Ekari tano; liwe karibu na chanzo cha kudumu cha maji, ( maji yawe...
Kama kichwa kinavyojieleza hapo juu nataka kwenda kuwekeza kwenye kilimo cha mahindi na mpunga huko Msowero.
Swali langu je, nitapata mazao ya kutosha kwa eneo hilo yaani hali ya hewa na rutuba...
Habari zenu humu ndani.
Kutokana na changamoto za ufugaji wa hawa bata wadogo na matokeo ya vifo vya mara kwa mara, kuna kitu nahitaji kufahamu.
Je ni muda gani ambao hawa vifaranga wa bata...
Habari zenu wana JF.
Naomba msaada kwa yeyote anayefahamu kama kuna mbegu za muda mfupi za haya matunda ya stafeli na fenesi.
Pia naomba kujua matunda haya huchukua muda gani tangu kuoteshwa...
Mnyauko Fusari kwenye zao la nyanya.
Mnyauko Fusari (Fusarium Wilt) ni ugonjwa kwenye zao la nyanya, ugonjwa huu pia unaweza kushambulia mazao mengine kama viazi, pilipili, mbilingani, kunde...