Habari za muda huu naomba msaada ni tiba gani inafaa kwa kuku wanaofunga macho na kutoa uchafu km maji ya sabuni ya kipande ilio lowekwa. (Ulenda ulenda).
Na huu ugonjwa unatokana na nini pia...
Habari wadau!! Kuna ukweli gani kuhusu utagaji wa hawa kuku chotara aina ya SASSO na Kuroiler!
Inavyosemekana kuwa wanachelewa sana kutaga na hawatagi mayai mengi, kama ukitaka kufuga hawa...
Habari wanajamvi,
Kuna jambo nimeona la kushangaza kidogo katika maonyesho haya ya sabasaba katika banda la Wizara ya Kilimo na Uvuvi, kuna sanamu ya huyu samaki anayeitwa coelacanth au silikanti...
Naomba mtaalam wa kilimo Cha pesheni anae fahamu vitu vifuatavyo.
Anaejua mbegu nzuri na bora sokoni?
Anaejua vipimo Vya kilimo Kwa mche na mche
Anaejua muda wa kukomaa tunda hilo na njia za...
Msimu wa Kupanda Miche ya Matunda Umefika!
Farm Side Company Ltd, tunakuletea miche bora ya matunda kwa muda mfupi! Tunatoa:
✅ Embe (Tommy Artikin, Kent, Red Indian, Apple Mango, Dodo, Alphonso...
Wakuu kheri ya mwaka mpya kwenu nyote, natumai mko poa. Hongereni pia kwa mapambano ya kilimo.
Wakuu nahitaji muongozo kadhaa kuhusu kilimo Cha mahindi. Nahitaji kwenda kufanya kilimo cha mahindi...
Habarini za mwaka mpya wana Jf!
Baada ya muda mrefu kuto post makala humu (nimekuwa busy kwenye media zingine kama instagram, utube,whatsap,telegram..),acha leo nichangie kidogo maana nimeona...
Nimefanikiwa kupata ardhi yenye ukubwa wa ekari 200. Ni eneo ambalo bado ni pori. Huenda halijawahi kulimwa tokea liwepo, pengine.
Kwa kuwa ni eneo kubwa, ninakusudia kulifanyia kazi taratibu...
Ndugu zangu habari za Leo!Ningependa kuwaauliza kuhusu biashara ta RED MERCURY(ZEBAKI NYEKUNDU).
Nimepata taarifa kuwa hii kitu inatafutwa miaka nenda miaka rudi je ni kweli kitu kama hiii...
Salaams Wapendwa wangu,,....!!
Poleni kwa majukum na mikiki mikiki ya hapa na pale katika jitihada za kutafuta rizki,,...!!
Sina mengi ila nahitaji ushauri wenu wenye busara,,....!!
Mimi...
Habari zenu wana JF! Namshukuru Mungu kwa kunipa nasafasi hii ya kuongezeana maarifa na ujuzi ya kulijenga taifa letu.
Bila kupoteza muda naomba niende kwenye mada.
Mimi ni mwanafunzi lakini pia...
1. Majogoo ya Mbegu.
2. Vifaranga wa Mwezi mmoja.
3. Vifaraga wa wiki tatu.
4. Vifaranga wa wiki mbili.
5. Vifaranga wa siku moja wanapatikana kwa order.
Kuku wote wamechanjwa na bei...
Habari wakuu,
Nahitaji majogoo wa kisasa ili wapande kuku wa kienyeji kupata vifaranga chotara. Kwa mwenye nao hasa maeneo ya Mwanza anijulishe tafadhali ili niweze kununua kutoka kwake.
Wana janvi kichwa cha habari kinajieleza naombeni ushauri nina pesa hiyo,nipo kijijini nifanye biashara gani jamani, ninakuku hamsini sasa nilikuwa nataka ninunue incubator ili niee nanunua mayai...
Eneo la Posta Mpya ni kioo cha Jiji letu la Dar es salaam.Eneo hilo limegeuzwa eneo la biashara za Kijasilimali za kuuza Chapati maandazi supu mahindi ya kuchoma mitumba n.k.Nilitegemea wakati Wa...