Nataka niingize kiasi tajwa kwenye kilimo Cha mazao ya muda mfupi,siku 90-180 mavuno,lengo ni kupata 30,000,000 ili nifanye mambo fulani,Ni zao lipi linaweza kunifikisha kwenye kwenye lengo...
*ryzer agro products*
*ni wazalishaji wa miche aina zote za matunda,maua pamoja na miti ya mbao na urembo...*
Karibu sana kwetu ujipatie miche ya matunda ya muda mfupi.Tuna miche ifuatayo:-
Nazi...
Habari wadau, naomba kuuliza kwa wanajua mtu akihitaji shamba la miti ya mbao lililolimwa tayari lenye miaka kuanzia miwili au mitatu anaweza akapata kwa shilingi ngapi?
Habari zenu wakuu, natafuta mtu ambae anatoka kigoma ujiji, niko na kitu fulani nataki anisaidie nae, nataka aende hapo ofisi za kigoma ujiji au kaa kuna mtu anajua nae hapo ofisi za kigoma ujiji...
Wakuu habari. Kuna yeyote anajua wapi naweza kupata mugwort. Au duka linalouza mimea asili, sio dawa asili no. Mimea kama karafuu, mugwort, mdalasini, mbegu etc. Naomba msaada
Habarini wana jukwaa.
Wanajukwaa naombeni msaada, mimi natafuta mbegu bora ya mpunga (iliyonzuri kibiashara).
Naomba mnisaidie kujua ni kampuni lipi linazalisha, libapatina wapi na mawasiliano...
Wakuu nahitaji kununua hao viumbe mdau kwa mwenye aina za hao viumbe ila iwe pure breed fulani isiwe crossed! kama ni royal palm wawe hivo kama ni heritage turkeys wawe hivo kama bronze giant...
Kuku wangu, wanakoroma banda zima sasa, (Layers-Bovan Brown)
Utagaji umeshuka sana, kuliko maelezo,
Nshatumia Erovet-20 (Enrofloxacin) Siku tano mfululizo, lakini bado hali ni tete, wanakoroma...
Salam kwenu wakuu.
Mimi ni mfugaji/mkulima ambaye nimepitia changamoto nikakwama kimtaji. Naomba kama kuna mdau humu ambae anaweza kunisaidia jinsi ya kupata mkopo au udhamini ili nibust ufugaji...
Wakuu habarini ningependa kuuliza waliopo Iringa na wanaoijua Iringa, vifaa vya hygrometer kwaajili ya kupima unyevu kwenye incubator vinapatikana sehemu gani hapa Iringa mjini? Mimi ni mgeni wa...
Hbr wakuu
Naomba kufahamishwa kama Kuna katazo lolote au kibali chochote kumiliki hii mashine kama tool katika farmkit. Kuna shamba kubwa nahitaji kusafisha lote na kwa haraka huu mtambo naona...
Habari, naomba kwa wazoefu ni ukubwa kiasi gani kitahitajika kwa ujenzi wa banda la kuku wa mayai wa kisasa 500, pia ningependa kujua vitu muhimu vya kuzingatia wakati wa ujenzi wa banda hilo na...
Habari
Sisi tunapima udongo kwa ajili ya kilimo cha kisasa unafaa kwa kilimo na uchimbaji wa visima kuanmgalia kama katika eneio lako kuna maji au hakuna. Unapima udongo ili kujua kama...
Habari
Mbegu za Hybrid za Nyanya na Watermelon zinapatikana:
1. Julia Tomato Hybrid - Mbegu 1000 Tsh. 135000 na inatoa tani 122 kwa eka
2. Bob Watermlon Hybrid Tsh. 125000 na inatoa miche 2500...
Mwani ni majani yanayoota kwenye uso wa maji chumvi (baharini)
Mwani kilimo chake si kigumu Kwani mkulima atahitaji tu kujua namna ya kuweka mwani kwenye maji na kisha kuuhudumia
Zao la mwani...
Amani ya mola iwe juu yenu wote,
Nimeamua kujikita katika uandaaji na utunzaji wa miche ya mazao mbalimbali ya mboga mboga maarufu kama kilimo cha bustani.Mfano wa mazao hayo ni kama vile...
Eneo linauzwa Lina ukubwa wa ekari 3, ukihtaji zaidi waweza ongezewa, eneo lipo wilayan Sengerema kando kando ya ziwa , ni Mita 150 toka ziwani, eneo lipo umbali wa km 60 toka katikati ya mji wa...
Heshima mbele wakuu, nimekuwa na wazo kuhusu jinsi ya kujikwamua kiuchumi kwa vijana hapa nchini kwetu katika nyanja za biashara hasa kuhusu kufanya biashara kama wabia, yaani vijana kama 50 ambao...