MWONGOZO AMBAO UTAKUAMBIA KUWA KUKU WAKO NI WAGONJWA
Kutokana na ufinyu wa elimu ya mifugo hasahasa (kuku) kwa wafugaji na hivyo kupelekea mfugaji kupata hasara. Leo ningependa tuangazie dalili...
Wanabodi ni matumaini yangu kuwa mnaendele vizuri na kumalizia weekend.
Niende moja kwa moja kwenye point, Vijana wengi tumekuwa wajasiria mali hasa kwenye ufugaji wa kuku,lakini changamoto kubwa...
Habari wadau.
Natafta mshauri mwelekezi wa uvuvi wa bahari kuu. Awe na ujuzi wa kutosha, weledi na muwajibikaji. Uzoefu wa angalau miezi 6 sita katika tasnia ya uvuvi.
Malipo ni makubaliano...
Habarini wandugu mie ni mwajiriwa katika taasisi ya kifedha hapa mjini Shinyanga, niko na mwenzangu tumefikiria kuanzia biashara ya matofari kwani ujenzi huku ndio wimbo wa kila mmoja.
Nahitaji...
Katika mizunguko yangu ya kazi nilitoka Morogoro nikaenda Mbeya kufanya shughuli zangu za kilimo hasa umwagiliaji, basi nikiwa Mbeya pale kwa kuwa mimi ni mdadisi nitampigia jamaa yangu mmoja...
KICHAA CHA MBWA.
Kichaa cha mbwa (Rabies) ni ugonjwa unaowapata wanyama wote wanyonyeshao (Mbwa, Paka, Binadamu, Ng’ombe nk)
Ugonjwa huu unasababishwa na kirusi (Rabies Virus)
Virusi hawa...
Mimi ni mfugaji katika kutafuta njia za kupunguza gharama za chakula cha mifugo ndipo nilipokutana na maelezo kuhusu Azolla kwamba imewasaidia wafugaji wengi kupunguza gharama za chakula cha...
Niko kwenye majaribio ya kilimo cha papai,aina ya malkia F1, nilinunua packet moja ya mbegu, ambayo ina mbegu 80, hatua ya kwanza niliziloweka kwenye chombo chenye maji safi kwa muda wa suku 5 na...
Mimi ni mjasiriamali wa biashara ndogo(small scale) nataka ku transform to large scale businesses.kwaiyo nimeplan kuanzisha kiwanda kidogo cha kuzalisha unga wa sembe na ngano au pure drinking...
Ulimaji wa mbogamboga hususani figiri ni shughuli nzuri hufanywa na baadhi ya watu wanao jikita katika kujipatia kipato. sasa leo nami nimependa kukupa somo mpendwa wangu kuhusu hiki kilimo...
SERIKALI YAZIPA KANDARASI YA THAMANI YA 2.9BN KAMPUNI ZA VIJANA KUTEKELEZA MAFUNZO YA KILIMO CHA KITALU NYUMBA
NA.MWANDISHI WETU
Serikali kupitia Wizara ya Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu...
Uzi huu ni special kwa ajili ya kujadili mambo mbali mbali yanayohusu maadhimisho ya siku ya wakulima ali maarufu kama 88 , ambapo msimu huu huambatana na Maonyesho ya teknolojia za kilimo...
Habari wanajamvi?
Mimi ni Raia mpya jamvini na nimelazimika kuja huku ili nipate msaada wa ushauri juu ya changamoto niliyonayo.Nianze kwa kueleza nimekuwa kwenye ajira kwa vipindi vinne tofauti...