Napenda kujua namna ambayo mtu anaweza kutumia ili kudhibiti uharibikaji wa mayai pindi kuku anapokuwa anaatamia.
Pia kama kuku anataga mayai mengi kuliko yale anayoweza kuatamia ni mbinu gani...
FAHAMU AINA ZA KUKU NA FAIDA ZAKE
Kuna aina mbalimbali za kuku ambazo mfugaji anaweza kufuga na kila aina inategemeana na malengo ya mtu husika anayetaka kufanya shughuli hii ya ufugaji, hivyo...
Kama habari inavyoeleza hapo juu,
Mimi ni mkulima mzuri wa nyanya, nimelima zao hili kwa zaidi ya miaka kadhaa kutokana na changamoto za hapa na pale zilinifanya kuwa mzoefu na mtaalamu sana wa...
Wadau kama kichwa cha topic kinavyosema, shauku kubwa la mim kuja hapa ni kutaka kupeana uzoefu wa kilimo cha vitunguu maji kw misimu ya hiv karbun kutokana na nyuz zlzomo jukwaani kuwa za miaka...
NYANYA ni zao linalopendwa kutumiwa, kunogesha chakula, chakula kilichowekwa NYANYA huwa na radha nzuri inayomvutia mlaji.
Wakulima wengi hutamani kulima zao hili wengi huandika FAIDA na kusahau...
Wakuu nimeamini sisi wakulima wadogo wadogo hatutokaa tupate utajiri kupitia kilimo kamwe,
Nimeshangaa bei za mahindi kwa huku Handeni mpaka sahivi eti gunia ni 35000 ukizingatia mahindi ya mwaka...
Wengi tumesikia watu wakisema au kutaja Gundi ya Nyuki, ambayo kwa ufugaji wa Kisasa imeanza kuvunwa Kama zao la Nyuki pia tofauti na Asali.
Ili kutambua gundi hii hupatikanaje tunapaswa kujua...
Habari wadau;
Leo naomba nidokeze namna ya kugawa Mzinga wenye nyuki ili kujaza mizinga yako mipya isiyo nyuki kwa njia ya haraka badala ya kutumia njia ya awali ya kuwatega na kungoja waingie...
Nchini Tanzania ni kama maeneo mbalimbali barani Afrika, kumekuwa na ufugaji wa nyuki kwa ajili ya uvunaji wa mazao yake ili kujipatia fedha lakini bahati mbaya kumekuwa na uvunaji wa mazao...
Kumekuwa na maswali mengi kutoka kwa watumiaji asali ambao wengi wamekua wakiuliza kutaka kujua kama asali iliyoganda ni nzuri au imechakachuliwa. Wengine wamekua wakiamini asali iliyoganda...
Ndugu mwana JF! Kwa wenye uzoefu na matrekta, unahisi trekta gani limeonesha usanifu shambani(ulaji mzuri wa mafuta>upatikanaji wa vipuli>kudumu kwa chombo husika) katika ardhi ya Tanzania!?
Kama kuna wanaopenda kufuga wanyama hasa Mbuzi (wa maziwa, nyama) njooni tuunganishe nguvu tufanye mambo. Inawezekana kabisa tukafuga kwa mafanikio sana. Kila kitu kipo ndani ya uwezo wetu. I...
Wakuu kisima changu kimejaa vyura kibao. Sasa nimewaza badala ya kujaza vyura si bora nifugie samaki.
Maana kama vyura anaweza ishi samaki pia anaishi. Nataka nitafute niweke Kambale maana ndo...
Wakuu salaam.
Niende moja kwa moja kwenye mada. Iko hivi am about 36 now na kila nikiwaza after 20 years nitakuwa na maisha gani kwa maana kiuchumi, sipati jibu sahihi. Pia kila nikiwaza hivi...
Wadau mbalimbali wa kilimo na ufugaji, ninaomba muongozo wa namna bora ya kutumia Samadi ya asili shambani. Kwa kuanzia, nilitaka kufahamu, Samadi ipi ya asili inafaa shambani kwa kilimo cha mboga...
Habari wanajamvi.
Nimekuwa nikikabiliana na woodworms (wood borers) kwenye miti na mbao hasa ni wale long-horn beetles wadudu wanao kula mbao kwa muda mrefu kwa kutumia aina tofauti todfauti ya...