Kilimo, Ufugaji na Uvuvi

Pata Ushauri wa Jinsi ya Kujiajiri katika Kilimo, Ufugaji na Uvuvi, n.k

JF Prefixes:

Ndugu wakulima na wananchi kwa ujumla, kama una eneo dogo katika nyumba yako usiridharau linaweza kukusaidia ukaweka mimea michache ambayo itasaidia kukupatia chakula kama nyanya, vitunguu...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Wasalaam ! ! ! Niende moja kwa moja kny point Kwa yeyote anae elewa naomba kujua ili kupanda mkonge/katani huwa zipo mbegu zake kama vile mahindi ? au ni...
0 Reactions
7 Replies
4K Views
Dah, wakuu nimeamua kujiongeza kwa kufuga kanga, ni mradi mzuril lakini kwa changamoto ninayokutana nayo nimenyoosha mikono. Nilimwekea kuku wa kwanza mayai 12 ya kanga akatotoa yote lakini...
9 Reactions
30 Replies
9K Views
Ruvuma : Mahindi Pwani: ufuta Tanga: mkonge Njombe: Bangi Kagera: Ndizi Mbeya: Parachichi Kigoma: ufuta Mwanza: Pamba Kilimanjaro: Kahawa Arusha: vitunguu Morogoro: Nyanya Rukwa: maharage Tabora...
0 Reactions
13 Replies
3K Views
Habari wakulima na wafugaji, Kuna watu ambao wanataka kujiingiza kwenye kilimo cha michungwa muda ni huu wa kuandaa shamba, 1. Lima shamba 2. Ng'oa visiki 3. Fanya layout 4. Piga mashimo 5. Weka...
7 Reactions
19 Replies
13K Views
Kama unataka/Unapenda kufuga Mbwa hasa wakigeni (Wakizungu) basi huna budi kuujua ugonjwa huu na namna ya kuepuka. Kwa wale Wapenzi wa Mbwa kindaki ndaki, Wanaofuga Mbwa kwa Mapenzi au Kibiashara...
4 Reactions
6 Replies
7K Views
Habar wanajamvi, Kama kichwa kinavyojieleza hapo juu, naomba nifaamishwe wapi naweza pata mbegu ya maharage machanga maarufu kama French Beans/Green Beans, mim niko Lindi. Ahsanteni natanguliza...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Ndugu zangu, Ng'ombe wangu amezaa mwezi December, 2018. Lakini toka amezaa hali yake imekuwa sio kabisa. Anakula sana tena sana lakini anazidi kukonda kila siku na sasa amebaki mifupa tu na hali...
1 Reactions
12 Replies
3K Views
Naomba msaada kwa wataalamu wa Kilimo, huu ugonjwa wa inzi kushambulia matunda dawa yake ni nini unaitwaje? Yaani kila tunda linalotoka hushambuliwa na wadudu kama picha inavyoonesha, nimeona...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Habari wadau, kwa yeyote anayejua wasambazaji na wauzaji wa mbolea na sumu za kuulia wadudu pamoja na sumu kwa ajili ya kuua magugu shambani kwa bei ya jumla, anijuze tafadhali.
0 Reactions
0 Replies
977 Views
Hello brothers and sisters, Naomba nijuzwa ni wapi naweza pata mbegu za maboga/tetele kwa Dar, au unga wake. Na bei kwa kilo ni kiasi gani kwa anayefahamu.
0 Reactions
5 Replies
4K Views
Wakuu , Natafuta kichwa hicho kama kichwa habari nikajaribu hiyo kitu ya Japan baada ya kutumia Kubota ya China kwa miaka kumi. Vifaa vingine vipo hivyo nahitaji kichwa tu. Anayejua vinapouzwa...
0 Reactions
19 Replies
5K Views
Nitawezaje kuziba Fencewire za kwenye shamba langu ili watu wasione ndani na gharama zake zikoje?
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Kusini ili zao huitwa green gold wengi wametoka. So far kuna mpaka viwanda vya usindikaji MBozi na NJombe vimeanza kujengwa. UKipanda hass which mature at the age of 2.5 to 3 years (unaweza...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wakuu habari za pasaka. Kama kuna memebr yeyote humu amabe anatokea songea, naomba kufahamu juu ya upatikanaji wa mbolea ya samadi huko. au hata maeneo ya jirani. Kwa kifupi nategemea kuanza...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Ninafurahi sana kupokea taarifa hizi toka home vigerman shepherd 8 vimezaliwa leo nataka nivipe mafunzo ya kikamanda na ulinzi naomba tips za namna ya kuwafundisha ulinzi ikiwezekana kila mmoja...
5 Reactions
57 Replies
12K Views
Wapendwa nina maharage ambayo yamechambuliwa vizuri na kukaushwa vizuri aina ya njano, soya, meupe makubwa, meupe madogo, na mengineyo mengi naomba mnisaidie soko la kuuza maarage yangu nina tani 10
0 Reactions
3 Replies
4K Views
Ngugu wana jf nimeleta hii thread kuhusu ngombe anaye zaa mapacha: UKWELI NI KWAMBA:Endapo ng'ombe ata zaa mapacha na akawa amezaa jike na dume hio product haitaweza kuzalisha tena ila endapo...
1 Reactions
11 Replies
5K Views
Habari za mida wana JF, Kuna baadhi ya makabila wao kwao ni mwiko wanawake kuchuma mboga, kuingia bustanini, au mashambani wanapokuwa katika Ada ya mwezi(hedhi). Wengi hudai kuwa mazao...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Zifuatazo ni baadhi ya fursa zilizopo Tanzania ambazo wajasiliamali wanaweza kuzitumia kupanua biashara zao. Uzalishaji miwa Kutokana na ongezeko la watu na ukuaji wa kipato miongoni mwa...
1 Reactions
6 Replies
6K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…