Wakuu,
Pamoja na ukweli kuwa kipato katika jamii kinatofautiana kutoka kwa mtu mmoja hadi mwingine, lipo jambo la kushangaa kila ninapowaona wakulima!! Haiingii akilini kuona kwamba, kuna...
Nimejaribu kupitia pitia humu kuhusu ufugaji wa hizi aina mbili za kuku nimegundua yafuatayo.
Kwa upande wa broiler nimegundua kuwa wanahitaji umakini wa hali ya juu haswa kwenye chakula...
Our country needs a viable and efficient seed sector,however building a viable seed sector presents many challenges and the situation is quite complex. After almost 50 years, Tanzania is still in...
Habari ya mchana ndugu zangu!
Ndugu wana Jf nimeona nije kwenu ili mwenye uhitaji tufanye kazi pamoja.
Ndugu wana jf nahitaji mtu yeyote mwenye kumiliki tractor ambalo ameona limeshindwa...
MDUDU KANTANGAZE ( Tuta absoluta) AZIDI KUUA KILIMO CHA NYANYA TANZANIA.
Leo nimeona habari iliyotolewa na ITV kuhusu zaidi za ekari mianane za Nyanya katika kijiji cha Ngarenanyuki wilaya ya...
Habari Wadau,
Ninataka nianze kufuga kuku wanyama(Broiler), kwa iyo nilikua nahitaji mshauri wa karibu wa kunishauri jinsi ya kuendesha ufugaji ili kuepuka hasara itakayoweza kujitokeza kwa...
Kutokana na Faida nyingi zinazopatikana katika zao la aloe vera (Alovera),
Naomba wajuzi mnijuze kuhusu kilimo chake yaani kama ukitaka kufanya zao hilo kama kilimo cha biashara,
Mnijuze haya...
Habari za jioni wakuu,
Mimi naamini katika kilimo katika kuufikia uhuru wa kipato. Nimekuwa na ndoto ya kuwa miongoni mwa wakulima mwenye mafanikio makubwa.
Changamoto pekee inayonikabili mpaka...
RATIBA NA CHANJO ZA KUZINGATIA KATIKA UFUGAJI
Vitu vya kuzingatia kabla ya kuchanja mifugo yako;
> Epuka kuchanja mnyama mgonjwa maana kufanya hivyo utachangia kumpoteza mapema
> Mnyama ambaye...
Nataka kuingia Katika biashara ya kuku WA kizungu naitaji kupata assurance ya masoko
Kwa walio dar naitaji kujua masoko ya kuku wa kizungu.
Naitaji kuanza na kuku 500.
Nitafurai nikipata...
mmea wa aloe vera umekua ukitumika kwa miaka mingi kama tiba na kinga kwa binadam na mifugo.
Hali iyo ilipelekea shirika la US National Library of
Medicine,pamoja na vet world,kufanya utafiti...
Habarini za Leo?
Samahani naomba kuuliza kwa mwenye ufahamu.Ni namna gani unaweza watenganisha kuku wa kienyeji wawili wanaotaga bandani lakini sehemu moja japokuwa tumewaandalia vyumba tofauti...
Naona kila mwaka na janga lake kwenye kilimo.Mwaka Jana mavuno yalipatikana lakini janga likawa bei kushuka mpaka kufikia gunia kuuzwa 20,000tsh.
Mwaka huu tumeshambuliwa na panya wanakula mbegu...
Habari zenu ndugu zangu...naimani mnaendelea vizuri na majukumu yenu ya kila siku.
Kwanza, naomba kufahamu namna bora, ya kuhifadhi mayai ya kuku wa kienyeji, ili yasiweze kuharibika kwa haraka...
Nimepata mtu wa kubadilishana kituo nitoke Magu, Mwanza kwenda Mkuranga. Nimepapenda kwa sababu pako karibu na kitovu cha nchi.
Mimi ni Afisa kilimo na ninapenda sana kulima kibiashara. Ukweli ni...
Ndugu wana Jf hasa jukwaa hili LA ujasiriamali na biashara.nilikuwa nauliza je ?
Je kilimo cha Azolla mbegu zake hupatikana wapi,na ukilima Soko lake likovipi.
Vipi General management yake ikoje?
Wana jamii Wana mabadiliko naombeni kujua mweny utaalamu na biashara ya tofali it means uwe na sehem, mashine na works kwa kufyatua na kuuza mtaji ni kama shiling ngap?? Thnx
Wanajamvi naombeni ushauri..,mimi ni mgeni kwenye masuala ya kilimo.Nina shamba langu la ekari 5 lipo maeneo ya BUNGU- Rufiji.Naomba kuuliza ni aina gani ya mazao ya biashara yanakubali ukanda...
Naitaji kufanya kilimo cha mboga mboga maeneo yanayozunguka Dar es salam. Sasa nataka kujua kwa wenye uzoefu mzuri mtaji wa kimo cha chini na cha kati niwe na shilingi ngapi.
Mwanzilishi wa kampuni ya Microsoft Bill Gates, amezindua kampeni ya kusaidia watu maskini zaidi barani Afrika, kusini mwa jangwa la sahara, kwa kufuga kuku.
Bilionea huyo Bill Gates anasema kuwa...