AZOLLA MKOMBOZI KWA WAJASIRIAMALI – KILIMO NA UFUGAJI
Ndugu Mjasiriamali Mfugaji / mkulima popote pale ulipo, jifunze jinsi ya kuzalisha azolla kwa chakula cha mifugo mbalimbali na matumizi...
Mbuzi wa aina ya Isiolo au Gala ni mbuzi weupe ba wenye maombo makubwa ni wazuri sana kwa ajili ya nyama na sanapatikana sana nchini Kenya.
Pia kuna Kondoo Black Head au Doper ambao asili yake ni...
Wadau,
Nipo Dar, ila nimeamua kununua mahindi mkoani Rukwa kwa minajiri ya kuyatunza na kuuza baadaye wakati wa uhitaji. Maana wakulima wengi huuza mazao yao yote na wakati wa masika huteseka kwa...
Habarini wanajukwaa natumai ni wazima wa afya tele na pia natanguliza shukrani zangu kwenu.
Nimeanzisha mradi wa ufugaji wa sungura ili niweze kukuza kipato na kupambana na changamoto za maisha...
Mkoa wa Morogoro umepatiwa bilioni 16 kwa ajili ya kuimarisha miundombinu ya umwagiliaji na ya kuhifadhi mazao. Hii itasaidia kukuza shughuli za kilimo mkoani humo na kuongeza uhakika wa...
Hebu kila mmoja atupe uzoefu wake kwenye biashara za exportation
Au useme ni sababu gani zinakufanya ushindwe kufanya exportation
Mimi nitaeleza kidogo:
Leo nimeona tujadili kidogo ni kwanini...
Ndugu zangu nashukuru sana mada mbalimbali zinazojadilikwa kuhusu kilimo. na mimi ndo naanza kujikita katika kilimo.
Nina shamba langu katika wilaya ya bagamoyo (maeneo ya barabara ya...
Habari wana JF, karibuni mjipatie zana bora za kilimo ; trekta aina ya mahindra ni trekta bora yenye usanifu mkubwa katika nchi yetu ya tanzania.
Karibuni kwa maswali na maelekezo juu ya namna ya...
Nimekuja kwenu kupata elimu kutoka kwa wazoefu,
Mimi ni mtumishi Mwalimu nipo kigoma, kwa mara ya kwanza nilipata shamba Hekari 6 kigoma, nikafikiri cha kufanya nikaona nilime migazi hekari...
Wakuu, naomba kuuliza hivi nikichukua nyanya kisha nikatoa mbegu zake nikazipanda zitaweza kunipa mazao maana huku nilipo uwezekano wa kupata mbegu ni mdogo.
Najua wapo wanaokula na wasiokula nyama ya nguruwe, lakini pia wanaokula nyama ya nguruwe wanaisifia kuwa ni tamu sana hasa iki rostiwa vizuri ichanganywe na kamchicha kwa mbali ni full burudani...
Nimefanya kilimo cha parachichi kwa miaka nane sasa, nilichokiona ni haya;
1. Kilimo kina mzunguko wake ni mdogo parachichi huzaa kidogo kidogo kadri miaka inavyoenda, unatumia million 10 unapata...
Naonaga kama hiki kilimo ni hatar kutokana na kua papai inaharibika haraka . Na pia haina matumizi mengi kama vile juice, au kuliwa mara nyingi ukilinganisha na matunda mengine
soko lake...
Kuna modal ya Min Power Tiler nimeiona ikitrend. Imeundwa kwa injini ya piki piki. Je inaweza kazi au haiwezi.
Naomba alieitumia anipe ushuhuda.
Picha kwa niaba ya TIKTOK.
Itifaki ikiwa imezingatiwa, rejea kichwa cha habari.
Ndg zangu ktk jitihada za kupambana huku shambani nakwamishwa na ukosefu wa maji.
Nimejaribu kueasiliana na wachimbaji wa visima virefu, bei...
Mfugaji wa nguruwe tazama nguruwe walivyobadilika na kuwa na afya bora ndani ya muda mfupi tu na hii ni baada ya kuwapatia Virutubisho vya MAX PIG kutoka Mifugo Plus.
Nitoe wito kwa wafugaji wote...