Kusini mwaka wetu wa kuchekelea ndo huu biashara zitasimama bei ya kilo ya korosho ni 4000 ndo habari ya dunia kwa sasa.
Achana na wamakonde kuwanywesha soda mbuzi..huko Mbinga nako kahawa safi...
1. Afya ya udongo ni nini?
Afya ya udongo ni uwezo wa udongo kukidhi mahitaji ya ukuaji na uzalishaji wa mimea kama vile: virutubisho, maji, hewa pamoja na uwezo wa udongo kushikilia mmea
2.0...
TUNAUZA MASHINE YA KUCHIMBA MASHIMO KWAJILI YA KUPANDA MAZAO MBALIMBALI KAMA MITI, MIGOMBA NK
Bei ni 650,000Tsh
Call/Text/WhatsApp: +255 714 636 375
joackcompany @mifugo_tz @kilimo_tz...
Nina ngombe wa maziwa anasumbuliwa sana na reccurent mastitis. anakamuliwa kama lita 15 a day! tatizo ni nini na tiba yake ni nini?
Nilimfanyia drycow therapy, lakini baada ya kuzaa tu, mastitis...
Nawasalimu wote wana jukwaa,
Moja kwa moja kwenye hoja. Nakusudia kuanzisha ufugaji wa Ng’ombe, Mbuzi na Kuku.
Naomba kwa wenye uzoefu mnipe maoni yenu, hususani juu ya:
1. Mikoa sahihi kwa...
Wakuu habari
Aliwahi kulima kilimo Cha bamia , naomba uzoefu
1. Mbegu nzuri yenye kukua Kwa haraka
2. Mbolea gani nzuri na dawa za kuulia wadudu
3. Upande wa sokoni
4.Kwa heka moja naweza...
Dawa za kinga na chanjo nazijua, chakula ni uhakika kwakua kuna mashine ya kukoboa na kusaga unga wa mahindi. Eneo lipo la kutosha na maji ya kumwaga.
Mtaji ni kuku 15 niliowakuta hapahapa kwa...
Habarini wana jamvi wote. Natumai wote tupo poa, tunajenga taifa. Naomba niende kwenye maada moja kwa moja.
Mimi ni mkulima wa mazao ya muda mrefu na mfupi. Sasa mwaka jana nilifanikiwa kulima...
Salaam wanajamvi,mm nauliza dawa nzuri yakuua nyasi kwenye shamba la kahawa bila kuathiri Miche ya kahawa.naomba kwa walionauzoefu au utaalam juu ya hili suala wanisaidie.nawasilisha
Watanzania tuchangamkie fursa.
Malawi na Zambia zimeruhusu toka mwaka juzi na mwaka jana, kilimo cha bangi Kwa matumizi ya viwandani.
Bangi hiyo unalima Kwa kupewa kibali maalumu na serikali...
Habari wakuu,
Nataraji mko wazima licha ya majukumu mengi ya ujenzi wa taifa. Zote tumeshudia bei ya juu sana ya mafuta ya kula, Na kwa wale hawajui mafuta ya kula inatokana na hizi bidhaa...
Wakuu
Kama ilivo ada na utamaduni wetu Toa kitu upate kitu.
Siku ya nane nane mwanza niliona nguruwe wazuri Large white na wengine wa kisasa ila sikupata wazo la kuchukua no .
So kama kuna mtu...
Habari zenu wakuu.
Natak nifanya kilimo Biashara lakini nahitaji eneo kubwa Sana. Je, mnanishauri nianzie wapi kwa wazoefu au wenye uelewa.
Nahitaji ekari Zaidi ya 50.
Mm nimfugaji wa kuku na Bata ila napata changamoto ya kunguru kula vifaranga na mayai bandani wakimuona kuku katoka kutaga wao wanaingia yani ni mwendo wa kuviziana tu niwahi mm Yai au kunguru...
Habari wana Jamii
Nahitaji msaada nataka kusafirisha viazi mbatata kwenda nje ya nchi ila ni dnani ya afrika mashariki, naomba msaada wa kujuzwa utaratibu. Usafiri ninaotaka kutumia ni ndege...
Wakuu baada ya kutafakari mda mrefu Mara baada ya kufiwa na makuku yangu matetea 10 licha ya kuwapa madawa nimepata wazo la mbuzi.... Vipi wazoefu wa mfugo huu
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.