Habari wadau wa Kilimo ,naomba tusaidiane kuhusu kupata masoko ya UHAKIKA ya Korosho mbichi grade A mzigo upo wa Kutosha tokea Mtwara-Tandahimba
Utapendeza zaidi kupata masoko Kanda ya Ziwa...
Hello farmers,
Nimesikia pale Kiluvya kuna kituo cha maziwa, ningependa anayepafahamu ashee ni maeneo gani na mmiliki ni nani.
Nataka kuanza kufuga kwa ajili ya maziwa kwa hiyo nataman...
Serikali inaagiza sukari nje karibu kila mwaka wakati Tanzania inaweza kuwa inaongoza kwa uzalishaji wa muwa unaoachwa ufie shambani kwa maslahi ya wachache.
Mwaka 2022 nimechoma zaidi ya tani...
Habari za majukumu wanajamvi,
Nahitaji kujua njia bora na salama za kutumia ili kuku wa nyama waweze kuwa na uzito mkubwa kuanzia kilo mbili kwa muda wa mwezi mmoja.
Natanguliza shukrani.
MAGONJWA YA KUKU NA TIBA ZAKE
UTANGULIZI
Kuku kama wanyama wengine hushambuliwa na magonjwa mbalimbali ambayo mengine yanatibika kwa dawa na mengine hayana tiba bali kuku hupewa chanjo maalumu...
Jamani Wana JM.na wakulima woote.
Mm kijana mwenzenu nauza mbolea ya kuku, IPO NYINGI sana Yani NYINGI sana.
Ɓei yake ni 1000 lakini ukija na kiroba chako napunguza bei. Napatikana mbezi Luis...
Wasalaam..
Heri ya pasaka kwa wakristo na waislam tuendelee na al-futar ili mradi kila mmoja afanye kinachomfaa na kumpasa..
Leo nimeamka na mood ya kuendeleza mpango wangu wa mwaka (kilimo) na...
Habari wakulima kwa Mujibu wa Utabari wa Mamlaka ya hali ya hewa wametoa Taarifa kwamba ile mikoa inayopata msimu wa Mvua mara mbili kwa mwaka mvua zinatarajia kuanza wiki ya nne ya mwezi October...
Habari wadau wote wa JF. Binafsi Niko kwenye maandalizi ya KILIMO Cha UYOGA. Hivyo nataka nianze kidogo kwa ajili ya familia. Nimesoma na kuangalia kwa umakini kabisa, Nataka nianze kwanza kwa...
Habarini Wapambanaji
Naomba kuuliza wafugaji wa mbuzi wa nyama kibiashara unalipa kweli au ni watu wanafuga kimazoea?
Naombeni majibu in calculation wise maana huyu ndugu yangu kanishika tufuge...
Kwa nini ni muhimu kupogolea miti ya matunda:
1. Kuboresha ukuaji na uzalishaji:
Kupogolea huwezesha mti kuelekeza nishati yake kwenye sehemu zenye afya na kuimarisha ukuaji wa matawi na matunda...
Tunauza ng'ombe bora wa maziwa aina ya aryshire, freisian, jersey. Na crossbreed zake
Bei zake ni rafiki kulingana na ubora wake
Tunao ndama, nusu mitamba,mitamba, wanaokamuliwa, wenye mimba...
Nina miti ya parachichi iliyo ota katika shimo Moja na imekua na muda mrefu sana bila kutoa matunda imerefuka tu na kua nyembamba kiasi
Je, nifanyajee?
KILIMO BORA CHA MPUNGA:
A: kuandaa shamba
shamba lilimwe vizur na kusawazishwa liwe level (Hallow)
Piga dawa ya magugu kabla ya kupanda Kama Bafoseti
weka mifereji ya Maji vizuvizur
Andaa...
Poleni na majukumu wakuu.
Niende kwenye mada,hivi dakitari wa wanyama (vet) Muislam ana ruhusiwa kutibu nguruwe?
Kama hapana, je pale vyuo vya kilimo huwa naona wakifuga wanyama tofauti tofauti...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.