mdogo wangu kachaguliwa SUA diploma in seed technology baada ya kumaliza form four na kupata two akaomba akapata hiyo anaeijua kiundani Kwa WiGo mpana naomba msaada? na Inatofauti ipi na crop science?
Habari zenu. Je, kuna mtu amewahi kujikuta katika nafasi ya kuwa na soko la kimataifa la mazao lakini akakosa mtaji wa kuwezesha mikataba ya kibiashara? Tafadhali shiriki uzoefu wako katika...
Kama kichwa cha habari kinavyosomeka hapo juu. Naomba mzoefu wa kilimo cha Kakao kwa mkoa wa Tanga au Morogoro ani pm tuwasiliane. Nahitaji kupata uzoefu na kujifunza zaidi kwa MTU anayefanya...
Wakuu salaam.
Niko hapa mkoa wa Geita nilikuwa nashida ya kupata ng'ombe wa maziwa ambao wanaweza kutoa angalu Lita 20 kwa siku.
Mwenye uelewa sehem napo weza pata hawa ng'ombe! Msaada wakuu...
Habari zenu ndugu zangu wajf leo nimeamua kuanzisha hii thread inayohusu ufugaji wa ng'ombe wa kisasa /maziwa kwa minajiri ya kujaribu kusolve changamoto mbalimbali zinazowakumba wafugaji wa...
Hello wakulungwa
Naombeni abcde..z kuhusu kuku wa mayai aina ya layers
Nataka kufuga kuku 1000 layers
Kampuni Interchic.
Hadi waanze kutaga maximum nitakua nimetumia kiasi gani kwenye chakula n...
Kwema wakuu kuna shamba linauzwa, lipo moshi karibu na nyumba ya Mungu, linafaa kulima vitu mbali mbali. Lina ukubwa wa hekari 24, bei ni 80m.
Karibu Dm
Wasalamu wadau,
Ninajiandaa kwa kilimo cha alizeti. Naomba kwa anayefahamu mbegu nzuri, inayotoa alizeti na mafuta mengi anijuze.
Asanteni na Mungu awabariki
Habarini wadau wa JF, nimeamua kuanzisha uzi huu kwasababu nimetafuta data zote kuhusu Ngamia nimekosa. Nataka nifuge Ngamia, mmoja au wawili wananitosha.
Je, nina wapata wapi? Bei ya ngamia...
Habari za mapumziko!
Inasikitisha sana kuona sekta muhimu za kuleta maendeleo hazipewi kipaumbele Kwa maana ya kupewa rasilimali pesa kulingana na bajeti zilizopitishwa na Bunge, sekta muhimu...
Sijui soko la Sasa la pilipili like ila ningependa kujua ili nilinganishe na wakati huo pilipili ikishakuwa tayari
Hivyo naombeni kujuzwa soko lake likoje yaani pilipili inauzwaje kuanzia kipimo...
VYOMBO VYA CHAKULA KWAJILI YA KUKU CHICKEN FEEDER NDOGO ZA KILO MBILI
TUNAUZA VIFAA VYA UFUGAJI KWA BEI NAFUU JUMLA NA REJAREJA
Hizi ni bei zetu za vyombo kuanzia pc 10
1. Small Chicken...
MBUNGE CHEREHANI: WAKULIMA WA TUMBAKU USHETU WAMEZALISHA BILIONI 67
Jumla ya Shilingi bilioni 67 zimezalishwa na wakulima wa Tumbaku katika Halmashauri ya Manispaa ya Ushetu kutoka katika bero...
Waziri wa Kilimo Hussein Bashe amempongeza Mbunge wa jimbo la Ushetu Mhe Emmanuel Cherehani kwa kuendelea kuonyesha uzalendo katika kuendeleza sekta ya Kilimo.
Waziri Bashe ameeleza hayo wakati...
Habari wakuu,Kwa mtu anayehitaji huduma ya mashamba ya kununua,viwanja kwa ajili ya makazi,ufugaji,kilimo, unapata maeneo,umeme upo.hekari moja inaanzia milioni 15 na viwanja kuanzia laki 8 mpaka...
Majina ya Samaki , Maelezo na Picha (SAMAKIPEDIA)
Blobfish
Blobfish ni samaki anayetajwa kwamba ni kiumbe mwenye sura mbaya na muonekano usio vutia kuliko kiumbe chochote.
Blobfish Ni samaki...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.