Habari wana jamvi, kama ilivyo heading hapo juu. Natafuta mtu ambaye yupo serious, committed, experienced and devoted; aje awe manager wa shamba.
Shamba lipo Namtumbo Ruvuma.
Note:
1. Shamba...
JINSI YA KUFIKISHA VIFARANGA 1000 WA KUKU WA ASILI
Habari ndugu zangu wafugaji pole na majukumu ya kila siku katika harakatu za kutafuta mafanikio
Leo nimeona ni vema kushare na nyinyi jinsi...
Je, ni njia zipi bora za ufugaji wa kuku wa kienyeji ambazo basi zitanifanya niweze kunufaika na ufugaji wakuku hao, lakini pia naomba kwa mwenye uelewa na kuku hawa anieleze ni mtaji kiasi Gani...
Habari ya leo wakuu,
Ninauza dagaa kwaajili ya chakula ya kuku.
Mawasiliano: +255679903535
Napatikana Dar es Salaam
Bei:
Ndoo ndogo 15,000.
Ndoo kubwa 30,000.
Baada ya mvua za msimu huu kuwa za kusita na kupoteza mbegu kwa kupanda zaidi ya Mara mbili na kuungua na jua, huku nyanya nazo zikiwa zinachechemea, nimeamua kuanza ufugaji wa kuku chotara Aina...
Kwa mahitaji ya kuku wa kufuga na kula,kienyeji na chotara nitafute,ukihitaji vifaranga na mayai ya kutotolesha tafadhali usisite kunitafuta,karibuni sana wakuu.
Naombeni msaada kwa anayejua wapi nitapata machimbo ya chakula cha kuku chotara, kama uduvi, mahindi paraza, mashudu, pumba za mahindi nk kwa bei rahisi mkoani RUVUMA HASA KWA WILAYA YA MBINGA??
Habari ndugu,
Kwa kahama mashine bei ya mchele ikoje huko asaivi
Kama kuna ndugu anafanya biashara hapo tuwasiliane i wish kuja huko next week kuona namna mzunguko wa mchele huko ulivyo au kama...
Salaam wadau!
Nimefanikiwa kukusanya mbegu za maharagwe makubwa yanayostawi mwaka mzima na huwa yanaota kwa kuzunguka kwenye mti (kama ilivyo kwa mazao ya passion) na hutoa maharagwe mengi kila...
Habari za utaftaji ndug zangu
nipo katika maandalizi ya vitalu vya upandaji miti ya fensi kwaajil ya kuzungushia uzio shambani
Changamito ni upatikanaji wa mbegu za fensi ya michongoma au kwa...
Miti ya miembe imetoa maua mengi sana, la jabau ni kuwa maua yote yanapukutika na vijiti vilivyoyabeba maua vinadondoka. Tatizo ni nini na nini kifanyike in case miti inatoa maua mengine...
Wakuu nipeni ushauri. Wilaya gani mkoa wa Mwanza inatoa mpunga wa uhakika na maeneo mazuri kwa ajili ya kilimo cha mpunga.
Soma pia: 60% ya mazao ya Afrika ni Ngano, Mahindi na Mpunga, japo kuna...
Usifuge mbwa wa kinyonge fuga mbwa wakatili na gharama kama came corso, pitbull,dogo argentino, rottweiler ambao hata akizaa unauza bei nzuri unapata faida
Achana na mbwa koko hawa wala mavi au...
Nahitaji kupanda miche ya kahawa/buni. Naomba kufahamu mbolea za kiwandani zinayotumika kwa upandaji.
Naomba pia kufahamu kipimo kinachofaa kwa kupandia kwa kila mche/shimo moja.
Soma Pia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.