Kilimo, Ufugaji na Uvuvi

Pata Ushauri wa Jinsi ya Kujiajiri katika Kilimo, Ufugaji na Uvuvi, n.k

JF Prefixes:

Kuna kilio cha wananchi ambao wamelima miwa yao na wameshindwa pa kuuza kwa sababu viwanda navyo vina sukari na wameshindwa wamuuzie nani. Serikali tumeiweka sisi wananchi madarakani ili...
0 Reactions
5 Replies
433 Views
Nina mtaji wa shilingi laki mbili lakini nimeona biashara itakayoniingizia hela nzuri na kuchukua muda wangu kiasi nikiwa najipanga ni kilimo. Je kilimo gani ni kizuri hata nikiwa na heka moja...
0 Reactions
11 Replies
779 Views
Ni kweli serikali inataka kupiga hatua Kwa wananchi wake? Kama ni kweli ushauri wangu Kwa serikali yangu ijitazame katika mambo haya ya yafuatayo. Mbolea Kwa mkulima:ni wakati Sasa wa sekta ya...
2 Reactions
4 Replies
410 Views
Hivi naomba kujua na kufahamu madawa ya kwenye mazao na kilimo na mifugo huwa majaribio yake wanayafanyiaga wapi? Kuna maduka mengi yanauza madawa ya mifugo pamoja na madawa ila haya madawa mengi...
3 Reactions
8 Replies
572 Views
Kumekuwa na kasumba juu ya swala Zima la ufugaji wa kuku wa kienyeji kuonekana kama ni swala lisilowezekana yaani kufuga kuku wa kienyeji mpaka kufikia idadi kubwa yani 1000, 2000 au hata 3000...
29 Reactions
150 Replies
18K Views
Wanajamvi Kuna jambo lisilofaa kuhusu ruzuku ya mbolea za tumbaku kwa msimu ulioisha. Serikali kupitia tangazo la TFRA la tarehe 29/12/2023 ilitoa mwongozo wa bei kwa mbolea za msimu huu kuwa ni...
1 Reactions
4 Replies
568 Views
Wakuu natumai mu-wazima wa afya, Natafuta Caterpillar la kuvunja shamba. Shamba lipo mkoa Pwani (km 160 kutoka Dar). Ningependa kujua gharama ya kukodisha, kusafirisha na kama Kuna gharama zingine
1 Reactions
29 Replies
2K Views
Habari za uzima Wana jf🙏 Kwa heshima kubwa Sana nimekuja kwenu hapa. Pamoja na kwamba hapa Kuna utani na mizaha ya hapa na pale Naomba tuiweke kando Tujadiri hili. Mimi ni mfugaji mzoefu na...
8 Reactions
70 Replies
4K Views
Habari Bado napambana Na harakati za mpunga kwa sasa shamba langu La mpunga ushavuka Siku 50 ila nimechunguza ndani ya ndiwa zangu panya wameanza kukata ingawa maji yamejaa sasa wasije wakanipa...
1 Reactions
11 Replies
503 Views
Habari, Nipo Dar, nina shamba hekari 30 lipo Morogoro… Nahitaji Bwana shamba awe ananipa muongozo na elimu juu ya kilimo ili niweze kuwekeza. Ahsanten..
2 Reactions
6 Replies
511 Views
In this insightful article, we’ll find which countries waste the most food and the implications this practice brings along. If you want to skip our overview of the environmental and economic...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Shtukeni wakuu. Mimi nawasanua tu na gharama za kulima heka 1 ni mil 1 tu kila kitu.
2 Reactions
20 Replies
2K Views
Habari Wakuu!!!! Tunahutaji wakulima wanaouza zao la Vanilla. Tunahitaji ziwe zimekaushwa. Ziwe Grade One kuanzia sentimita 13 na kuendelea. Kama Una Grade nyengine njoo na bei tutalinganisha...
1 Reactions
7 Replies
515 Views
Kwa nini ni muhimu kupogolea miti ya matunda: 1. Kuboresha ukuaji na uzalishaji: Kupogolea huwezesha mti kuelekeza nishati yake kwenye sehemu zenye afya na kuimarisha ukuaji wa matawi na matunda...
4 Reactions
11 Replies
607 Views
Salamu kwenu wakuu. Nipo kwenye plan ya kulima mahindi sumbawanga kwa msimu ujao. Kwanini iwe SUMBAWANGA? Nimeichagua SUMBAWANGA kwa kuwa inasifika kwa kuwa mahindi na maharagi hayamtupi kabisa...
4 Reactions
9 Replies
2K Views
Huu ulimwengu, game ni tight sana hasa upande wa kutafuta pesa, kuna saving zangu kama million 3 nimeamua kurisk shambani sina matarajio makubwa lakini najua itakua ni sehemu ya kujifunza. Hii...
6 Reactions
32 Replies
2K Views
Wadau, Nauliza kama nikilima mtamwa mweupe naweza kupata soko? Je, wapi ni wanunuzi wakuu?
1 Reactions
3 Replies
451 Views
Sio kwa ubaya na wala sipo hapa kusema anachokifanya ndugu mwalimu ni kitu kibaya lakini nataka niwakikishie hii sio njia sahihi ya kujifunza biashara ya nafaka.Hapa mtaishia kujifunza baishara na...
1 Reactions
1 Replies
598 Views
Wale wanaohitaji kuzielewa power tiller karibuni. Uzi huu utatumika kujibu maswali na majibu ya wadau ambao wamekua wakiniuliza mara kwa mara. Kuna aina kuu mbili za power tiller yaani Long hand...
7 Reactions
74 Replies
24K Views
Habari wana jamvi, natumai mko salama kabisa. Naomba niende kwenye mada moja kwa moja. Vifaranga wanahitaji uangalizi mkubwa sana hasa katika hatua za mwanzo za ukuaji wao, na moja ya njia...
4 Reactions
37 Replies
4K Views
Back
Top Bottom