Kilimo, Ufugaji na Uvuvi

Pata Ushauri wa Jinsi ya Kujiajiri katika Kilimo, Ufugaji na Uvuvi, n.k

JF Prefixes:

Wakuu salaam, Moja kwa moja kwenye topic. JE wewe una ndoto za ufugaji na hauna Banda? Je, wewe ni mfanyakazi unayefanya kazi Moshi mjini au vijijini na hauna sehemu ya kufugia? Kodisha mabanda...
2 Reactions
26 Replies
2K Views
Wakuu Habari? Katika Harakati za Kuongeza kipato Huu ni mwaka wa pili sasa Nimeingia kwenye kilimo Cha mahindi huku Ukanda wa Kusini mwa Tanzania. Lakini Kuna Jambo Naliona Zao hili lina...
3 Reactions
41 Replies
11K Views
Mbolea gani nzuri ya kukuzia niweke kwenye mpunga Wangu mpaka Sasa tangu kupandwa una Siku 45 itafaa kuleta matokeo chanya ya mavuno mazuri shambani wakulima wazoefu wa kutumia mbolea naomba muongozo
1 Reactions
2 Replies
796 Views
Hivi nguruwe anaweza akapitiliza siku zake za kuzaa na husababishwa na nini?
1 Reactions
3 Replies
568 Views
Habari wa kulima wenzangu ambao umewahi kutumia mbolea aina ya SUPER GROW, Naomba ufafanuzi, Ubora Wake, changamoto zake je imeleta matokeo chanya shambani kwako Kwa zao Gani Na sasa upatikanaji...
1 Reactions
27 Replies
1K Views
Zao la mchikichi, dhahabu mpya shambani Note ; uzi developed Kihiga uwanja mpya wa maboresho, mbegu za kisasa hadi magerezani TANZANIA inatumia mabilioni ya fedha kila mwaka takribani bilioni 600...
4 Reactions
35 Replies
16K Views
Poleni sana wakulima wa Tanzania na michaka michaka ya kilimo na kupambana kujitafuta chakula Cha familia na pesa za kumaliza matatizo ya siku. Kwa hawa Maafisa Ugani tunaoambiwa huwa wanapewa...
2 Reactions
16 Replies
646 Views
Tanzania uyoga unao limwa sana ni Oyster huu ni rahisi sana kuulima na unaweza limwa mazingira mengi kwenye baridi na kwenye joto. pia bei yake sokoni sio kivile sana kwa sababu ya wingi na pia...
1 Reactions
1 Replies
397 Views
Ndg wanaforum nmiona nlilete kwenu swala linalohusu mkulima kutozwa ushuru wa mazao hata ikiwa gunia moja wakat anapita geti la ushuru atokapo shamba kwenda kuhfadhi mazao yake, Ni Jambo lilonitia...
0 Reactions
3 Replies
351 Views
Habar wadau Nahitaji kujua ni kiasi gani cha hela nitatumia kama gharama za kuwalea na kuwatunza vifaranga 1000 wa kuku wa mayai mpaka kufikia hatua ya kutaga mayai.
4 Reactions
54 Replies
8K Views
Habari zenu wana-JF, Kama heading invyosema. Tanzania kwasasa tunaongoza East Africa (EAC) kwa kilimo cha mahindi. Nakumbuka kipindi cha nyuma miaka ya 2010 kurudi nyuma Tanzania haikuwa na uwezo...
5 Reactions
19 Replies
4K Views
Habari zenu. Naulizia kwa anayejua, ni Miche gani unaweza panda kama una eneo lako kwa ajili ya kama uzio au Fensi ambayo ndani ya wiki kadhaa inakuwa ishakuwa Fensi kamili? Ukiacha michongoma...
1 Reactions
1 Replies
539 Views
Vijana wengi tz tunajitafuta huku tukiwa hatujui ni lini tutajipata kuwa na maisha Bora ya Leo n kesho za watoto wetu. Viko vitu Kwa vijana wengi huvifanya kama njia za kuona watafanikiwa zaidi...
6 Reactions
20 Replies
890 Views
Kwa ushauri,elimu, kutembelewa mashambani,kufundisha vikundi vya wakulima au Mameneja mashamba na Miche ya matunda,viungo,tiba na miti, Wasiliana nasi, Shamba initiatives Enterprises (T) Ltd...
0 Reactions
0 Replies
424 Views
Hodi wenyeji! Habari zenu waungwana. Nina wazo la kuwa mjasiria mali ili niachane kabisa na mambo ya kutegemea mshahara wa mwisho wa mwezi. Tatizo ninalokumbana nalo ni ukosefu wa skills juu ya...
0 Reactions
42 Replies
12K Views
Mm mi kijana miaka 30. Nimesomea kilimo na nimkulima pia. Naomba kama kuna mtu ana mashamba hususan ukanda wa pwani kwa ajili aya kilimo na ufugaji, tufanye partnership kwenye uzalishaji wa mazao...
0 Reactions
13 Replies
824 Views
Jana nilishuhudia kwa mara ya kwanza Giant Bamboo, aisee zile Bamboo sio za kawaida ni kubwa mno na very heavy, nilikuwa naziona tu kwenye picha,ila jana ndio nikaziona kwa macho sio za kawaida...
7 Reactions
15 Replies
664 Views
Pwani, Bagamoyo na Morogoro wapi naweza ng’ombe wa maziwa wakuuza? Wengi naona ni janda za juu na kaskazini. Nipe location au contacts kwa anaejua please!
0 Reactions
13 Replies
1K Views
Ndg mwenye uelewa wa bei za pamba kutoka mwaka 1993 hadi 2023 naomba msaada tafadhari
1 Reactions
0 Replies
165 Views
Wakuu habari za muda huu. Mimi ni mkazi wa Kahama, Shinyanga, napenda sana nifanye kilimo cha vitunguu maji hasa ktk mikoa ya Singida na Manyara Tafadhari sana kwa mkazi wa Singida na Manyara...
5 Reactions
77 Replies
7K Views
Back
Top Bottom