Kilimo, Ufugaji na Uvuvi

Pata Ushauri wa Jinsi ya Kujiajiri katika Kilimo, Ufugaji na Uvuvi, n.k

JF Prefixes:

Wadau hamjamboni nyote? Ng'ombe wakubwa aina hiyo pichani sijawahi waona hapa nchini tanzania. Naona hao wanapatikana Sudan kwenye jamii ya Dinka. Wataalamu mifugo mtujuze kwanini hawapatikani...
5 Reactions
19 Replies
2K Views
Nipo mwanza naomba kufahamu wasambazaji na wauzaji wakubwa wa pilipili hoho tufanye biashara. 0755426943 Kama upo tuwasiliane mapema iwezekanavyo ndugu... (Popote ulipo)
3 Reactions
3 Replies
302 Views
Wakuu salaam Sana, Huku jf huwa hatunyimani maujanja ya maisha Ni jukwaa Lina Wana POA Sana! Nimeigia kwenye ufugaji wa nguruwe na nimeanza na wawili tu moja dume na mwingine jike ila uzao...
0 Reactions
14 Replies
3K Views
Habari wadau wa kilimo. Naomba kufahamishwa sehemu inapopatikana mbegu ya zao la Safflower au Katamu kwa jina jingine?
1 Reactions
30 Replies
3K Views
Je, Wewe unafahamu Nini kuhusu sekta ya NGOZI nchini hapa Tanzania? Na nichangamoto gani zinaifanya ishidwe kukua hapa nchini? Ukilinganisha na nchi zingine kama Ethiopia n.k?
0 Reactions
7 Replies
649 Views
Ekari tano kulima ilinigharimu laki nne, nilipata vijana wanne kwa makubaliano unawapa sehemu ya kulala, wanatembea na kapu lao ndani wana sufuria. Wanaamaka asubuhi wanakwenda kulima mpaka saa...
34 Reactions
76 Replies
10K Views
Ufugaji wa samaki kwa vizimba ni njia rahisi na yenye tija kwa wafugaji samaki kibiashara. Nitakuelezea hapa hatua na gharama zake na mambo mengine ya kuzingatia. 1.Vibali vya uendashaji wa...
4 Reactions
46 Replies
18K Views
Wanajamii naomba kuuliza, mauzo ya katani yanauzwa kwa tone au kwa kilo? Na kwa sasa hivi zao la katani linalipa? Naomba msaada wenu. ====== Inauzwa kwa tani, inafungwa katika marobota ya kilo...
6 Reactions
66 Replies
27K Views
Nina shamba la familia wilaya ya muheza, kilapura, Tanga. Ni shamba lenye ukubwa wa ekari 8. Mimi nafanya kazi Arusha, hilo ndo jambo kubwa linalonipa mashaka katika usimamizi. Japo naweza pata...
2 Reactions
15 Replies
985 Views
Mdau wa Mtandao wa X zamani Twitter, kwa jina Swed Junior, aliibua swali la kuvutia kwenye mtandao: "Kwa nini watu wanawekaga mawe juu ya matikiti wakiwa shambani?" Swali hili lilivuta hisia na...
3 Reactions
7 Replies
940 Views
wadau niko kwenu hapa najaribu kufikiri kuanza UFUGAJI Sasa nawaza kuhusu UFUGAJI WA NGURUWE au kuku SASO naombeni ushauri wenu nataka kutengeneza pesa za ada mwakani. NIKO MKOANI NA MTAJI...
3 Reactions
17 Replies
3K Views
Masoko ni nin? Masoko ni sehemu wanazouza na kununua bidhaa mbalimbali. Tunaweza kutumia njia gani nje na hizi tulizo zizoea kila siku kuimarisha soko la watu wanao uza bidhaa mbalimbali kuanzia...
0 Reactions
0 Replies
162 Views
Mpendwa mwana JF, unaweza kushangaa kusikia kuwa mbwa ni biashara nzuri kupita hata kufuga ng'ombe kibiashara na ukashangaa. Uzi huu utakuwa ni maalum katika kupeana uzoefu katika biashara hii ya...
15 Reactions
805 Replies
161K Views
Wana JF, nataka kufanya kilimo cha mapapai ila nahitaji mbegu za muda mfupi kuzaa ili nianze kuvuna mapema. Naomba msaada wa yafuatayo 1 Wapi nitapata mbegu fupi za muda mfupi kuanza kuzaa? 2...
8 Reactions
532 Replies
242K Views
Wakulima wa zao la Ngano Wilayani Makete, wameshauriwa kutumia Mashine bora za kisasa katika Uvunaji wa zao hilo, ambao umeshanza rasmi katika baadhi ya Maeneo ikiwemo kijiji Cha Mlengu kilichopo...
1 Reactions
9 Replies
467 Views
Huu ni msimu wa uuzaji mahindi na wanunuzi wakuu ni serikali, lakini ajabu nimetembela magodawni kadhaa hakuna mashine ya kupepeta taka kama hii hapa chini. Wanatumia sefa za waya ambazo kwa...
4 Reactions
10 Replies
895 Views
KILIMO CHA NYOKA Achana na Matikiti, Kuku, Vitunguu, au Mayai ya Kwale. Hili sasa ndio Suluhisho. Kilimo cha Nyoka Fikiria uwe na Cobra 10. Cobra mmoja anataga mayai 60 Kwa mwezi anatotoa...
9 Reactions
61 Replies
8K Views
Habari za Wakati wanajamii; Napenda kufahamu Namna Gypsum (Calcium Sulphate) inavyotumika kupunguza Chumvi kwenye udongo shambani.
0 Reactions
0 Replies
210 Views
Habari wakuu, nahitaji mtu anaelima au anayenunua kitunguu swaumu hii nikwaajili ya ushauri na kujifunza Zaidi Kuhusu kilimo hichi, nipigie au nitext hapa 0613389628 au Ni dm, nitakushukuru.
1 Reactions
0 Replies
252 Views
Hatua za kufuata ukitaka kulima nyanya chungu Nyanya Chungu ni zao la Kitropic linalotoa mazao yake kama matunda au kama mboga. Rangi ya matunda huwa kijani kibichi au kijani-njano, au...
15 Reactions
132 Replies
92K Views
Back
Top Bottom