Kilimo ni UTI wa mgongo
Kilimo ni maisha
Kilimo ni utajiri
Kilimo ni chakula.
Kilimo ni pesa na utajiri.
Kilimo kina faida Pana na kina maelezo mapana ukielezea kiundani ndani.
Leo tutatazama...
Naishi Dar nilienda kutembea mkoani Tabora. Nikavutiwa na Kilimo Cha Tumbaku. Nimelima heka 6 ambapo natarajia kupata kilo 600 kwa Kila heka Moja.
Nitauza kg 1 $ 4.00, 3.5 nk
Matumizi
Heka 1...
Wanajamvi Aslam,
Hama baada ya salamu ndugu zangu Ile safari yangu ya kwenda mji wa Mpanda kuona fursa za kilimo imetimia.
Nilipata nafasi ya kutembelea baadhi ya vijiji tofauti tofauti Kwaajili...
Natamani sana kuingia kwenye kilimo cha zao Kati ya haya.
1.Bamia
2.Hoho
3.Biringanya.
Nahitaji nianze kwa mtaji mdogo sana.
Hivyo naombeni msaada wa zao moja kati ya hayo juu, ambalo linatumia...
Jumapili njema.
Huu uzi umelenga kutoa fursa kwa wafugaji kuhusu ufugaji wa vunjajungu (PRAYING MANTIS) na masoko yake. Pia unajumuisha ufugaji wa wadudu wengine ambao pia hutumika kulisha...
Wakuu, tupeane maujuzi ya kuongeza idadi ya wateja wa hizi bidhaa.
Kuna siku namliza gunia la 25kg(magimbi) na siku nyingine znatoka fungu mbili tu daaah
Hii ni kwangu tu au na nyie...
Nimekuwa nikifanya utafiti binafsi kwa kulima aina mbalimbali za mbegu za mahindi na kugundua yafuatayo.
1. ChapaTembo 719
Hii ni mbegu inayochukua muda mrefu kukomaa. Hukomaa baada ya miezi 4...
Taarifa hii ni kutoka Azam TV siku ya jumapili.
Chuo Cha SUA wameweza kuanzisha teknolojia ya mimea inayopandwa shambani na kuweza kuzalisha nyama inayoweza kuliwa na mwanadamu, mhariri wa...
Wakulima wachache wa vijijini watamudu bei ya shilingi 15 elfu kwa mfiuko wa kilo mbili! Hakuna, watatumia mbegu zao ambazo hazina tija na ni za muda mrefu kuweza kuvuna na mvua hizi fupi!
Soma...
Ndugu zangu habari zenu jamani, mimi kijana Nina miaka 23 naishi Morogoro. Katika harakati za kuhangaikia maisha nimekuja kugundua kijana kama mimi ili niweze kufanikiwa kwa haraka zaidi kilimo ni...
Habari wana Jf!
Naombeni anaejua namna ya kutengeneza chakula cha kuku broilers na layers. Hasa zile formulas zinazotumika viwandani kwenye makampuni kama silverlands n.k
Karibu nikuuzie kuku wa kimalawi 20 wanamiezi 2 na wiki 2 chanjo wamepata kila kuku m1 elfu 15 ni wakubwa nipo tabata mawenzi kwa mawasiliano zaidi nipigie no 0718343299
Habari zenu wakuu,
Jamani mwenye connection ya mashamba anisaidie, nataka kama heka kumi kwa ajili ya kulima mkonge, maeneo ya Tanga au Morogoro,
Yanayouzwa kwa bei rafiki
Asante
Leo mchana katika pita pita nilikuta watu katika mtaa mmoja wanabishana kuhusiana namna ambavyo samaki hupata watoto au vifaranga kama watu wengine wanavyodai. Katika mjadala huo kulikuwa na...
Naona bora niingie shamba tu akili yangu ilipofikia.
Nataka kuingia kwenye kilimo cha maharagwe Arusha. Je, ni njia zipi zitahitajika kupitia kilimo hiki? Faida, hasara! Angalizi. Mahitaji, Eneo...
Ukuaji wa uchumi wa nchi ni pamoja na matumizi ya teknolojia mbalimbali ili kuongeza uzalishaji na kuinua uchumi wa nchi na maendeleo kwa ujumla.
Katika Sekta ya uvuvi, kilimo cha samaki...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.