nINA SHAMBA TANGA handeni nataka kulima mahindi ni heka 30, nataka kuanza kwa kulima heka kumi, shamba linatakiwa liandaliwe sio pori ila kuna majani makubwa sana yameota na mengine yana mizizi...
Habari zenu wanajamii,
Kama kuna mtu anafahamu juu ya ufugaji wa ng'ombe wa maziwa naomba tushee utaalam ili nijue faida ya biashara hiyona hasara ya na vitu vinavyotakiwa kuanzia wanapopatikana...
Kama kichwa kinavyojieleza!!
Ninaomba anayeifahamu maabara ya kupima magonjwa mbalimbali ya wanyama kwa jijini Mbeya ninaomba mnijuze tafadhali!
Nina viumbe hapa wameletewa madawa Mara nyingi...
Chama cha wafugaji kibiashara(Tanzania commercial cattle society) kimeandaa maonesho makubwa ya mifugo na mnada yatakayoanza tarehe 14-16 juni 2024.
Yatafanyika katika shamba la Mbogo ranches...
Wakuu habari,
Naomba kufahamu au kama kuna mtu anahusika na biashara ya viungo(spices) bei za jumla kwa dar au mikoani.
viungo vinavyo takiwa ni; corriander(giligiliani), black pepper(pilipili...
Habari wadau wa JF
Mwezi wa 2 mwanzoni nilianza kufuga kuku wa kienyeji pure.
Nikanunua Jogoo 2
Mitetea 14.
Mitete 2 walipata shida kidogo nikawala nikabakia nao 12.
Mwezi wa 3 mwanzoni...
UTANGULIZI
Matikiti maji hulimwa kama zao la biashara katika sehemu nyingi duniani zenye hali ya hewa ya joto la wastani, zao hili huwapatia watu kipato.
Matikiti maji ni mojawapo ya jamii za...
Habari wanaJF wakulima,
Hii ni mada mahususi itakayotoa elimu na maarifa kuhusu kilimo cha mazao ya mbogamboga na matunda kwa ujumla.
Watu wengi wanatamani sana kulima ila wanakosa maarifa...
WAKULIMA WA KAHAWA KAGERA NI SHANGWE TUPU, BEI YA KAHAWA IMEPANDA: BASHUNGWA
Waziri wa Ujenzi na Mbunge wa Jimbo la Karagwe, Innocent Bashungwa ameipongeza Wizara ya Kilimo kwa kusimamia vyema...
Unadhani kutokana na kuwepo kwa changamoto ya masoko kwa bidhaa pamoja na mazao kwa wakulima Tanzania nini linaweza kuwa suluhisho ukiachana kuilaaumu serikali je unaona vijana wana nafasi gani hapa
Wengi wetu tumekuwa tukiogopa kufuga kuku sababu ya magonjwa.Ni kweli kuku wa kisasa ni rahisi kupata magonjwa.
Sababu ya ufugaji wa kuku wa kisasa unaonekana ni mgumu kutokana na maeneo na...
Wakubwa nisaidieni Je, unaweza kuwaweka kuku wa 4 wenye vifaranga kwenye chumba kimoja na watoto wao?
Maana kuku wangu wameatamia wapo wa 4 so nataka kuwatenga na hawa wengine ambao bado...
Hi friends,
Naomba mwenye elimu kuhusu ufugaji wa kuku kwa kuanza na kufuga vifaranga vidogo vidogo kabsa, naomb kujua;
1. Faida zake
2. Namna ya kuwa mama kuku au namna ya kuwalea
3. Athari zake...
Hii kozi ninaoina kama miyeyusho fulani ivi maana nikiangalia maprof, Dr na PHD zao wote wameishia kuwa waalimu tu yaani malecturer tu, hakuna aliefungua mradi wake ata wa kufuga sato...
Ndugu wadau wafugaji tunatoa huduma ya uuzaji wa ng'ombe wa maziwa wilayani Rungwe mkoani mbeya karibuni kwa ng'ombe aina hizo kwa bei nafuu saana
Tunatoa elimu na ushauri kuhusu ufugaji bora...
Habari wanafamilia wa JF, Nipo Tanga, Nina shamba lenye miundombinu yote ya Kilimo na Ufugaji, kama mabanda, zizi, nyumba ya wafanyakazi n.k. Ila bado tumaji.
Kuna maji ya bomba ila hayatoshi kwa...
Mbunge wa Jimbo la Ngara Mkoani Kagera, Mhe. Ndaisaba George Ruhoro ameiomba serikali kupitia wizara ya kilimo kunusuru zao la Mahindi ambalo bei yake inashuka siku hadi siku.
Mhe. Ndaisaba...
Natafuta masoko wanunuzi wa dagaa chakula cha kuku naulizia kama kuna anayehitaji hao dagaa tuwasiliane pia mnaweza kunisaidia na kampuni nyingine zenye uhitaji wa bidhaa hii
Asanteni sana
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.