Hivi ajira mpya za TRA mwaka huu zitatoka kweli …!! maana mpaka sasa kuna baadhi ya waliopata fursa za kuajiriwa na TRA mwaka wa Jana (2023) bado hawajui ni ofisi ya wapi atapangiwa.
Wenye siri...
Habari zenu wapambanaji
Leo niko mbele yenu kutaka ushauri wa kimawazo kutoka kwenu ndugu zangu. Niko kwenye mpango wa kuingia kwenye kilimo kwa kumanisha hasa. Nina bajeti ya kiasi cha Tsh. 5M...
Habari wakuu, mimi naishi mkoani (kanda ya ziwa). Wiki ijayo ninakwenda Dar kwa ajili ya shughuli zangu binafsi. Katika huo muda nitakaokuwepo, nitakuwa na muda wa free hivyo natamani kupata...
Naibu Waziri wa Kilimo, David Silinde (Mb), amevitaka Vyama vya Ushirika vijijini kuendeleea kuomba uwakala wa kusambaza mbolea katika maeneo ili kuweza kuwafikia wakulima kwa wakati.
Amesema...
Wadau, kuna mfugaji wa kuku hapa Dar ananiambia kila mzunguko wa kuku 1000, anapata faida ya Tsh Laki 7. Hapo soko likiwa zuri sana. Jamani hicho kipato ukiangalia mtaji wa Banda nk. Je kuna njia...
Tanzania tuitakayo itajengwa na mimi,wewe na yule.
Habari wanajukwaa, napenda kuchukua nafasi hii adhimu kuwasilisha wazo langu kama raia mwema na mwenye mapenzi kwa taifa langu huku nikiwa na...
Kuwa Tajiri kwa Mtaji wa Laki 3 tu, Kupitia Ufugaji wa Kuku wa Kienyeji
LEO TUANGALIE MCHANGANUO WA TSHS 300,000/= (LAKI TATU) KWA KUANZISHA MRADI WA UFUGAJI KUKU WA KIENYEJI.
Hapa tuta hitaji...
Serikali ya Zambia inasema imefikia makubaliano na Tanzania Ili kuweza kuuziwa mahindi metric Tani 650,000 kukabiliana na upungufu wa mahindi kulikosababishwa na Ukame.
---
Zambia plans to import...
Hi
Naomba serikali kuvunja mfumo wa kuuza mazao katika vyama vya msingi kwani vimekua vikitunyima uhuru katika mazao yetu.
Baadhi ya Vyama hivyo vimekua vikichelewesha Malipo kwa wakulima...
Utangulizi
Kilimo hai, kinachojulikana pia kama kilimo cha kiasili, ni mbinu ya kilimo inayolenga kuzalisha mazao kwa njia inayozingatia mazingira na afya ya binadamu. Kilibongo Organic Farm ni...
Kwa anae Lima viazi vitamu naombeni elimu.
Mbegu Bora ya kiazi kitamu ni ipi?
Inatunzwaje kuanzia kupanda kuweka mbolea mpka kuvuna kwake.
Je viazi vitamu uvunaji wake ukoje ili kitoke kiazi...
Kwa wale wenye hamu ya ufugaji Bata wa kienyeji au wakuitwa Bata wachafu vitu muhimu vya kuzingatia ili uweze kuwa mfugaji mkubwa na mwenye uwezo wa kuvuna pesa nyingi.
Vifuatavyo vitu muhimu Kwa...
WAZIRI MHAGAMA - SERIKALI KUFUNGUA SHAMBA LA MIWA, MUHUKURU
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulika na Sera, Bunge na Uratibu Mhe. Jenista Mhagama (MB) wa Peramiho amesema Serikali...
Vifuatavyo ni vitu vya kuzingatia Kwa mtu yeyote anae taka kulima kilimo biashara.
1. Una ardhi yenye ukubwa na yenye rutuba nzuri
2. Upo tayari kufanya kilimo kutoka moyoni mwako yani uvunguni...
Kilimo ni uti wa mgongo wa nchi yetu ya Tanzania. Kilimo kinahakikisha upatikanaji wa chakula nchini na pia tunaweza kukuza uchumi wa taifa kupitia kilimo. Zifuatazo ni njia za kukuza uchumi wa...
Wanajamii habari zenu wote.
Polen wadau kwa Mihangaiko za hapa na pale, Ndugu zangu najua huku kuna wakulima wazuri japo wapo pia paper farmers lakini najua mkulima wakweli akitoa ushauri huwa...
SAMAHANI NAOMBA KUJUA BBT(building better tomorrow tanzania) ina ukweli wa kumkwamua mwana nchi wa haliyachini ? Na je inamasharti gani na vigezogani ili kusajiliwa,kupatamafunzo ya vitendo&kupata...
Habari wadau,
Natarajia kulima mahindi katavi mpanda kama ekari 300 kwa wazoefu naweza pata boom sprayer inayoendeshwa na trekta kwa kukodi. Na gharama zake zipoje
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.