Kilimo, Ufugaji na Uvuvi

Pata Ushauri wa Jinsi ya Kujiajiri katika Kilimo, Ufugaji na Uvuvi, n.k
Kampuni yetu ya KINASORU EAST AFRICA (T) LTD iliitwa kwa ajili ya kumshauri mheshimiwa mmoja ambaye alikuwa na wazo la kufuga kuku wa asili walioboreshwa kama sehemu ya kazi yake ya ziada. Alitaka...
4 Reactions
55 Replies
24K Views
Habari zenu wandugu? Naomba kufahamishwa athari za kumwagilia mimea shambani wakati jua limeshakua kali, lets say kuanzia jua la saa tano na kuendelea. Au ni kwanini watu wanasema 'jua limeshakua...
1 Reactions
44 Replies
13K Views
Ndugu marafiki, mie ninafuga kuku wa nyama kloiler lakini chakula shida siunajua mahindi yamepanda n.k. Sasa nimesikia hydroponics zinapunguza gharama za chakula cha kuku kwa asilimia 50%. Je...
1 Reactions
17 Replies
7K Views
Yamekuwapo malalamiko kutoka kwa baadhi ya wakulima wa pamba kulalamika kuwa viua dudu vya pamba tulivyopewa na serikali msimu huu haviui wadudu. Malalamiko haya hayana ukweli wowote. Ukweli ni...
0 Reactions
0 Replies
938 Views
Habari zenu wana jamiiforum, nahitaji mawasiliano hususani sanduku la posta na email ya kampuni ya kilimo ya Sumry Rukwa.
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Habar wana Jamvi nakuja tena Leo niombe tujadili kuhusu kilimo cha Umwagiliaji kwa njia zote Mifereji(furrow), basin irrigation (majaluba), drip irrigation, sprinkler irrigation Na nyinginezo...
0 Reactions
10 Replies
5K Views
Wanajukwaa habarini. Kipindi hiki cha kuelekea mwezi wa nne na tano natarajia kulima shamba langu kwa matarajio ya kulima kwa umwagiliaji. Nimefanya utafiti wa eneo husika, mazao niliyoyataja hapo...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wakuu amani kwenu, hii ni technology mpya ya kilimo (walau machoni pangu). Naomba kama kuna mdau yeyote mwenye ufahamu wa aina hii ya kilimo anifahamishe. Nahitaji kuwekeza kwenye aina hii ya...
1 Reactions
5 Replies
4K Views
Habari wana jamvi Nauliza vyuo gani bora kwa kozi za kilimo kwa mwanafunzi anayetaka kusoma certificate ya general agriculture? Pia namna gani rahisi ya kupata ufadhili wa serikali ukiangalia kwa...
0 Reactions
8 Replies
4K Views
Wakuu husika na kichwa cha habari hapo juu. Kwa yeyote mwenye ufahamu wa Kuku, naomba kujuzwa eneo zuri, ambalo lina ni wazi sana halina msongamano wa watu kwa ufugaji wa kuku kwa mikoa ya dar na...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Habari zenu, Naomba kuuliza ni wapi kwa hapa Dar naweza kupata Hydroponic fodder kwa anayefahamu au kama kuna mtu yoyote anahusika na hiyo issue naomba anicheck. 0712354526 Nipo Kimara Stopover
1 Reactions
7 Replies
3K Views
Habari zenu wajasiriamali na wahangaikaji wenzangu nakuiteni kwa ajili ya kubadilishana uzoefu katika utumiaji wa mashine za utotoleshaji vifaranga kwa matokeo mazuri nini na kipi mtumiaji wa...
1 Reactions
1 Replies
3K Views
Jinsi ya kutengeneza Incubator Isiyotumia Umeme. Clay incubator 1.Tafuta chumba kisafi sehemu ya kona ya chumba. 2.tengeneza Frame ya Incubator pande mbili. 3.Tengeneza Tray itayobeba mayai tumia...
4 Reactions
35 Replies
21K Views
BROILER PARENTS STOCK Mpaka sasa Ulimwenguni kote kuna kampuni 3 pekee zinazo zalisha parents stock wa Broiler hizi kampuni zina breeds tofauto tofauti za Broiler. 1. Aviagen Hawa wanazalisha...
5 Reactions
6 Replies
3K Views
1. Miaka ya 1995 baadhi ya watu walianza kusema kuwa hizi hybrid seeds zinashambuliwa sana na magonja kuliko mbegu za asili. 2. Miaka ya hivi karibuni wadudu wanaoshambulia mazao wamekuwa tishio...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
MDUDU KANTANGAZE ( Tuta absoluta) AZIDI KUUA KILIMO CHA NYANYA TANZANIA. Leo nimeona habari iliyotolewa na ITV kuhusu zaidi za ekari mianane za Nyanya katika kijiji cha Ngarenanyuki wilaya ya...
4 Reactions
1 Replies
3K Views
Habari Wakuu, Naomba wadau/wajumbe waliopo katika mikoa au sehemu mbalimbali ya Tanzania mtusaidie kujua bei ya mahindi kwa ndoo ya lita 20. Angalizo: Ni yale mahindi yanayotoa unga mwingi.
2 Reactions
99 Replies
29K Views
Hello wadau na wakuu wa forum hii adimu ya JF! mimi ni kijana wa umri wa miaka 26, naishi mwanza mjini kabisa. nimekuja mbele zenu hapa mnipatie msaada wa vifaa mbalimbali ili niweze kuingia...
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Wakuu Salaam. Hongereni kwa shughuli mbalimbali za ujenzi wa maisha binafsi na taifa kwa ujumla. Naomba msaada wa mawazo. Ninafuga kuku wa mayai ya kisasa na machotara. Sasa for the past two...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Habari wazalendo wa nchi hii yaani wakulima, Niona nifungue uzi huu kwa wale wakulima wa mazao ya muda mfupi, ili tufahamishane hali ya soko bei kupanda na kushuka, lakini pia tupeane taarifa ya...
1 Reactions
0 Replies
3K Views
Back
Top Bottom