PALIZI YA MAHINDI KWA KUTUMIA DAWA.
Dawa zinazotumika kabla ya mahindi na magugu kuota.
· Katika hatua hii, dawa inayotumika ni aina ya metelaclor+Atrazine.
· Tumia kabla...
Habari za jioni , poleni na mahangaiko ya kutafuta riziki
Kama kichwa Cha habari juu kinavyojieleza hapo juu. Mimi binafsi nilikuwa na Wazo la kuanza kufuga kuku hawa wamayai kwa ajili ya...
Wakuu niko babati nahitaji kuanzisha shamba langu la nyanya .
Naomba kujua mbegu gani bora kwa kilimo cha biashara.
Pia vitu gani vya msingi natakiwa kuvizingatia.
Hapa nazungumzia kilimo biashara, sio kilimo cha kutegemea mvua, ukimwambia mtu nataka niende nikalime kati ya watu 10, 9 watakukatisha tamaa, juu ya hasara waliowahi kuzipata kwenye kilimo...
Kama kichwa cha Posti kinavyojieleza, ninaishi Dar es Salaam jiji la joto jingi baridi nadra labda tu ikitokea malaika wa baridi amefurahi kama ilivyotokea mwaka mmoja kati ya 90 ambapo watu...
Habari ya asubuhi wakuu,kwa mwenye uzoefu nimelima shamba ekali 3 za hatua 70*70
Nililima mapema sana mwezi wa 10 sasa majani yameota mengi sana kabla sijapanda mbegu kiasi kwamba nikipanda...
Nisiwachoshe bure nitaandika kifupi sana. Kuna tangazo limepata airtime kubwa kwenye ITV kuhusu Vanilla International inayo promote kilimo cha vanilla wilayani Njombe. Bottom line ni bei ya soko...
Kwa wakulima wenzangu msimu wa maembe umewadia changamoto kwa sasa ni soko linapatikanaje.
Kwa yoyote mwenye kujua soko la uhakika tafadhari naomba tujulishane au kama unahitaji embe kwa bei ya...
Ndugu wanajamvi naona kilio kwa wakulima wa nyanya na nyanya chungu, very soon naanza kutoa mzigo wa pilipili shambani maeneo ya kilosa, vipi kwa upande wa pilipili sokoni imesimamaje.
Wadau...
Ningeomba kwa watu wanaojua kuhusu kilimo cha miti ya mbao changamoto, faida, upandaji na utunzaji wake na maeneo gani unatakiwa uoteshe hiyo miti kwa hapa Tanzania.
Nitashukuru kwa mawazo wakuu
Tumefanya mdahalo wa kuelimisha na kuhamasisha jamii kuhusu kilimo cha umwagiliaji kama njia ya kujikwamua kiuchumi. Akina mama walioshiriki walitoa ushuhuda wa jinsi kilimo hiki kimewasaidia...
Kama kichwa kinavojidadavua hapo juu, mimi ni kijana wa makamo naishi Dare es Salaam,
Nafanya kazi kwenye government company hapahapa mjini kwa muda kidogo najihusisha na kilimo cha bustani...
JF wasaalam 🙏
Kama unataka mali utaipata shambani.
Nianze kuwaomba vijana na sio kuwashauri maana kama kushauriwa mmeshauriwa sana hadi basi lakini hambadiliki.
Mimi nami ni kijana mwenye miaka...
Kama una ishi miji mikubwa kama Dar, Mwanza, Arusha, Dodoma, Morogoro, Mbeya, Moshi na kadhalika basi wekeza kwenye kufuga kuku wa Kisasa wa Mayai na kuku wa Nyama yaani Broiler.
Mijini hakuna...
Salaam wana Jambi,kama kawaida wakati umewadia wa kuingia mashamban.
Naomba kuuliza ni mbolea gani inafaa kuweka kwenye shamba la kahawa inayoanza kuzaa matunda? Maana ningekua nikiekezwa umuhimu...
Wiki za hivi karibuni bei ya nyanya ipo chini sana, mfano Dar es Salaam juzi napita sokoni wanauza sado ya nyanya kwa elfu 1.
Hii haina faida kabisa kwa wakulima ukizingatia mahitaji ya kulima na...