Habari wapendwa.
Naomba mchango wenu, kwa wale waungwana na wenye uelewa jinsi ya maisha yalivyo hivi sasa.
Ni kijana nilie jiajiri kwenye fani ya ufugaji wa kuku wa kisasa na kienyeji, nina...
Habari za muda huu, poleni na majukumu
Wadau ninaomba mnishauri, Mimi ni mfanyakazi katika kampuni ya watu binafsi, huwa ninakua free kila siku kuanzia saa kumi jioni, wkend huwa siendi kazini...
Napenda Kutumia Fursa Hii Kuwajuza Wale Wanaotaka "kujaribu" Ujasiriamali Kwamba Hiyo Ni Moja Kati Ya Wazazi Wa Matatizo Na Changamoto Lukuki! Ukitaka Kufanya Ujasiriamali Ufanye Tu Kwa Moyo...
Ajira sio salama tena kama ilivyokuwa zamani. Kwa sasa maisha yamekuwa ghali huku kipato cha ajira kikiwa hakitoshelezi. Hii inawafanya waajiriwa wengi kufikiria kuingia kwenye biashara.
Lakini...
Jamani waungwana naomba kuuliza je, mayai ya kisasa naweza mpa kuku wa kienyeji alalie nipate vifaranga...??? Au mpaka kutotolesha kwa mashine...??? Au haiwezekani kabisa...???? Na kama...
Habarini wanajamvi,natambua kuwa wapo watu wengi wanahela zao lakini hawana uhakika wawekeze kwenye kitu gani, Kama tunavyojua kwa dar es salaam Vyombo vya barabarani Kama pikipiki,Bajaji,Gari...
Habari za Leo Wakuu,
Husika na Somo Tajwa Hapo Juu, Nna Biashara yangu Ina Run ipo maeneo ya Tandika Magorofani Karibu na Chuo cha Bandari pamoja na Chuo cha Utalii pembeni Mwa Hospital mpya...
Habari Wakuu,naomba Wale Wakulima Wa Nyanya Tukutane Whatsap 0762398199 tubadilishane mawazo, kupeana uzoefu wa masoko, magonjwa, changamoto na faida za nyanya.
Wazoefu, naomba mnisaidia jinsi ya kumkabidh mtu boda yako. Kuhusu mashahd, na namna ya kuhakksha boda yako inakua salam na huingii hasara endapo jamaa atapotea nayo
Unakaribishwa kuhudhuria semina kubwa na ya aina yake inayofanyika leo pale MUCCASA MAFIATI MBEYA MJINI.
KARIBU UPATE MAARIFA KATIKA NYANJA TATU AFYA, UJASIRIAMALI NA MAISHA YENYE FURAHA.
HAINA...
Habari zenu wadau.
Natumai mu-wazima kabisa na mnaendelea vyema kabisa na ujenzi wa taifa letu pendwa la Tanzania.
Kama mada husika inavyojieleza hapo juu, nahitaji msaada wenu wadau katika hii...
Nimeishi Ulaya yapata miaka 9 kwa sasa, nimefanya kazi mbalimbali mpaka mashambani kufuga na kulima, mkulima ulaya nika unavyomsikia baresa mengi na matajiri wengine bongo, asikudanganye mtu...