Wapendwa naombeni kujuzwa nahitaji kufanya biashara ya vitenge wp nitapata vitenge kwajumla bila kuchakachuliwa nina mtaji wa mil 1 nataka niwe naviuza kwenye minada, naomba kujua changamoto zaizi...
Habari za majukumu wadau wote,
Ndugu zangu nina ushawishi mkubwa sana wa kutaka kulima zao la Shayiri kibiashara, hivyo basi naomba nifahamishwe mazingira halisi ya ukuaji wa zao hilo.
Mimi...
Ninayombolea nzuri sana inayotengenezwa na wataalamu wa kilimo. Inafanya kazi zaidi ya booster. Lima mazao yoyote yale kisha tumia mbolea hii utapata faida kubwa sana.
KARIBU SANA TUJENGE UCHUMI...
Salamu iwe kwenu ndugu
Naomba kuzwa tu kwa wale ambao wanajua eneo zuri tanga la kulima mihogo ndugu zangu
Sana eneo la Tanga Jipe anayejua anijuze tafadhali
Asanteni
Heshima mbele wakuu,
Mimi na marafiki zangu wawili tunataka kuanzisha kampuni na tunataka Memorandum and articles of association,
Je, itatucost shilingi ngapi kwa wenye uzoefu au kama kuna...
Wakuu habari..
Mimi ni mjasiriamali. Ninataka nikasome hiyo kozi hapo juu UDSM kwa manufaa yangu binafsi kama mjasiriamali. Je, kuna ajira huwa zinatoka kwa cheti cha hiyo PGDEE? Binafsi...
Niko Dodoma karibu na chuo nataka kufungua saloon ya kike na msimamizi mzuri nitamleta. Nataka nipate uzoefu kwa waliofanya hii biashara ya saloon ukilinganisha na duka la cosmetics mauzo yake kwa...
Kwa wanafuga kuku dawa bora ya kukinga na kutibu kideli. Ng'ombe, mbuzi, nguruwe, na mifugo mingine yote zipo dawa za minyoo. Tibu mifugo yako.
Tuwasiliane wandugu 0763797853
Natumai wewe kama mfugaji ulisha kutana na ugonjwa huu gomboro kuku kushusha mabawa na kukonda ya pili kideri kuku hushusha mabawa na kukonda zingatia chanjo hizi wakati wakiwa vifaranga hutaona...
Jaman nahitaji wasichana watatu jobles na wenye elimu ya kidato ca nne kushuka chini.
Nategemea kufungua migahawa miwili hapa dar hivyo naowahitaji ni kwa ajili ya uhudumu!!
0755957515 sms or...
Habari za usiku wana JF naomba msaada kwa mtu yeyote ambae anaweza kujua ni kampuni gani inayo uza farmer's kit kwa bei nafuu. Natanguliza shukrani zangu za dhati
Tangazo hili linamhusu mwenye mtaji na nia ya kufanya biashara ya stationary maeneo ya Moro town. Ofisi iko eneo zuri kibiashara na inalipa kwa kweli.
Kwa upande wangu usimamizi umezingua baada...
Mfano wewe unaishi Dar es Salaam, na umewekeza shamba labda Morogoro au Iringa au Singida au Shinyanga, hii iko sawa au mpaka uwe na shamba lililo karibu na wewe??
Kuna baadhi ya marafiki zangu...
Baada ya kumaliza chuo niliamua kufungua biashara kutokana na changamoto za ajira,nikafungua biashara ya duka dogo kwa mtaji wa laki 3,nilianza na vitu vichache sana lakini muhimu kwa wateja kama...
Kwa mahitaji yako ya viranga vya sato tafadhali wasiliana nasi kupitia namba hii 0717314500. Tupo Dar es Salaam Cheka, njia ya kwenda Kimbiji Kilomita 24 kutoka Kigamboni Ferry. Vifaranga vipo vya...