Kwa wafugaji wa hivyo vitoweo mahali popote pale Tz tuwasiliane kwa pm
niko tayari nikufuate popote pale ulipo ili mradi tu unithibitishie kama naweza kuwapata wasiopungua mia tano ila nahitaji...
Nilikuwa sijui kama kuna ng'ombe mwenye thamani inayozidi milioni tano.
Lakini hii clip imenifungua macho! Ng'ombe wa maziwa anauzwa Tsh 12,000,000/=
Milioni kumi na mbili si bei ya IST used...
Wakuu nahitaji kulima mboga mboga hasa chinese na tembele kwenye uwanja wangu wenye ukubwa wa nusu eka, nimezunguusha fensi na nimechimba kisima kwa ajili ya maji ya kumwagilia.
Nahitaji...
Habari wapendwa.
Kutokana na kutafuta njia za kijikim na kupata kujiajiri mwenyewe,Nimefikia wakati ambapo nahitaji kuongeza nguvu na juhudi za kuweza kufanya uzalishaji uongezeke haraka kwa...
Uko Dar unataka kufanya kilimo cha mboga mboga na huna utaalam nione Kwa no 0625537380.
Kilimo chako kiwe kilimo cha kisasa, kilimo biashara yani kilimo cha kupata fedha.
Wana JF habari za uzima, natamani nifanye kilimo cha nyanya ifikapo masika, ila bado kuna mambo nashindwa kuyaelewa vizuri.
1-Nyanya inaitaji joto la wastani, lakini mimi nipo Pwani maeneo ya...
Habari JF,
Tupo mbioni kutafuta utajiri, utajiri upo shambani, alisikika bilionea mmoja akisema.
Wakuu, nina malengo baada ya kuhitimu Shahada Yangu ya Jinsia na Maendeleo (Bachelor Degree in...
Wakuu husikia kichwa habari hapo juu nilikuwa naomba muongozo wa ufugaji kuku wa mayai.
Idadi kuku mia tano wa mayai bajeti yake ipoje hadi kutaga wazoefu nipe msaada.
Nimesikia ukitaka kufuga samaki kibiashara watakiwa uwe na kibali maalum kinacho kuruhusu uweze kufanya huo ufugaji 1,je ni kweli au? . 2,kama ni hivyo je nitahasisi gani ina husika ...
Habari za muda wakuu,
Naomba kujua bei ya sasa kwa jumla sokoni kwa tikiti maji, Zinazotarajiwa kuvunwa shambani wiki ijayo,shamba liko Pemba Mnazi Kigamboni.
Naomba kuwasilisha.
Leo nilijisikia kutengeneza popcorn ili weekend iende vizuri, nikajivuta sokoni hapa Dar. Kwenye maduka ya nafaka. Naulizia mahindi ya popcorn naambiwa kilo moja 3500. Wananiambia mahindi ya...
Wakati wa kuzaa unapokaribia, jike atatafuta mawasiliano ya karibu na mwanamke mwingine katika kitengo cha familia yake kwa ajili ya ulinzi wakati wa leba.
Wakati mwingine familia nzima huzunguka...
Naitwa isaya mtewele kwa sasa napatikana ifakara najishughulisha nakupoint mchele kutoka hapa ifakara kwenda dar kwa mwenye uhitaji anaweza nicheki kwa namba 0719003163
Tuna tegemea kuwa na Kiwanda kidogo cha kuzalisha chakula cha mifugo aina mbalimbali, tunahitaji mwenye ujuzi na awe na uzoefu huo kwa kazi husika.
Kwa yeyote mwenye ujuzi huo namkaribisha
Pm...
"Natoa pole kwa Wananchi wa Jimbo la Kibiti na Jimbo la Rufiji kutokana na kadhia ya mafuriko, nawaomba wananchi waendelee kuwa na subira kwani Serikali ipo kazini inaendelea kuwashughulikia...
Habari wadau wa ufugaji. Kumekuwa na changamoto ya upatikanaji wa mbegu bora ya samaki. Zilizopo nizile ambazo hazikui sana kufikia kiasi cha Sato mkubwa, asilimia kubwa zinakuwa kama perege. Je...
Bei ya mahindi Kwa gunia la kilo 100 imeshuka ghafla Mikoa ya Nyanda za Juu kutoka wastani wa sh. 80,000 Hadi sh.65,000.
Serikali nayo imesitisha kununua mahindi Kwa Sababu imenunua Tani za...