Mayai ya kwale yanapatikana kwa wateja wa dar na mwanza kwa bei ya 20000 trey au 15000 kwa wateja wa jumla kuanzia trey 10 karibuni sana..
Mawasiliano 0715881870 au 0756933156
Habari wanajamvi wenzangu.
Naomba kujua nikitaka kufanya biashara ya kusafirisha mkaa kwenda kuuza nje ya nchi kuna utaratibu gani ambao napaswa kuufata.
Naomba wenye uzoefu au kusikia taarifa za...
Habari wana Jf,
Katika pita pita zangu za kutafuta biashara ya kufanya nilipita katika duka moja wanalouza bidhaa zilizotumika na kuona printer ndogo yenye uwezo wa kuscan, fax, kuprint picha na...
Wandugu habari zenu kama muonavyo kwenye picha ni viwanja viwili na kimoja kina nyumba imepangishwa ingine ndio tulikuwa tunajivuta tuimalizie lakini naona eneo hili ni zuri kama tungeviunganisha...
Habari zenu wakuu.
Naomba kama kuna mtu anajua namna ya kupata uzalishaji wa mwaka 2013/2014 na 2014/2015 wa zao la UFUTA , KARANGA NA CHOROKO. AU kama unahizo data.
Asanteni kazi njema.
Heshima mbele wakuu!
Nakuja kwenu kuomba ushauri ili niweze kufanya maamuzi yenye tija katika kuendeleza ujasiriamali wangu.
Iko hivi, mimi ninafanya biashara mbali mbali kwa kiwango changu sasa...
Hawa ni Hybreed kutoka India walio developiwa na Indbrow, hawa ni kati ya kuku wano kuwa very havy ambapo Jogoo wa miezi miwili hufikia kilo 2 huku mtetea akiwa na kilo moja na nusu, na wanaweza...
Habari zenu ndugu zangu,
Ninahitaji ng'ombe wadogo wa kisasa (chini ya mwaka 1 prefarably) kwa ajili ya kununua. Nipo Dar es Salaam, aliyenao naomba anipatie bei yake na yupo wapi. Kwa wale wa...
Natafuta watu wa nguvu kazi kufanya palizi na kuandaa shamba.
kwa waliotayari au anayeweza kunitafutiaa mikoani anijulishe kwa namba 0768942828 au ani pm hapa.
eneo la kazi ni mkoa wa pwani.
Wadau habari zenu!nakuja jukwaani kupata mawazo yenu juu ya fursa mbali mbali ambazo ni ngeni na zilizo zoeleka kwetu!nimepata tetesi kua mayai ya ndege aina ya KWALE yana soko kubwa sana kwa sasa...
Mistake kubwa inayo tukabili katika maisha ni kufuata Dream za watu wengine au kufuata njia za wanako pita wengine, watu wengi tumekuwa tunafuta mikumbo ilimuradi kitu tunacho fuata kinafanywa na...
Hello JF, Nipo tanga kwa sasa na nimeona kua huku samaki na dagaa wanapatikana kwa wingi hasa ukienda kununua baharini, ninafikiria kusafirisha na kwenda kuuza wilaya za tanga ambazo hazina bahari...
nimeichuja mwenyewe na kuipakinmwenyewe ina SEAL.haijachangwanywa na chochote na ni strait from mizinga kutokana na kwamba haijapitia mikononi mwa wachakachuaji kuna vinyori ndani yake...
PRESS RELEASE
Africas youngest entrepreneurs to win $75,000 by applying to 2015 Anzisha Prize
The Anzisha Prize is expanding, after initial success, to provide increased support to...
Kuna watu ambao wangetamani kuwa wajasiriamali. Wanapoona mafanikio ya wajasiriamali wakubwa wanatamani sana kama wangekuwa wao.
Haijalishi unatamani kiasi gani kuwa Mjasiriamali, tamaa yako...
Ndugu Wanajamii Na Thani Wazma Wa Buheri. Naombeni Ni Fahamishwe Jinsi Ya Kutengeza Sabuni Ya Unga Na Ya Mche. Ni Matilio Gani Yanahitajika? Nawasilisha Kweinu Ndugu Wanajami I Kwa Elimu,maarifa...
Natarajia kuingiza kitabu hicho sokoni muda wowote kuanzia sasa, nitakuwa pia nakiuza kama soft copy. Kitabu hicho kimefanya uchambuzi wa aina mbalimbali za mikopo, kimelinganisha na kufanya...
JIONGEZE
Ni kweli mazingira uliyokuzwa nilikuwa marufuku baba au mama akishaongea kitu alafu wewe nawe utoe mchango wako kwenye hilo jambo. Ukajikuta ukiambiwa safisha sebuleni wala huwezi...