Habari. Katika shughuli zangu za kiujasiriamali nilihitaji kwenda kununua dollar 20 ktk bureau de change moja hapa mjini Dar. Wakanipa dollar 20 ambayo baada ya kufika home nikagundua kuwa ilikuwa...
wadau naombeni msaada wa mahali ninakoweza kupata sodium nitrate n calcium cabonate. Hizini materials muhimu katika uzalishaji wa mkaa wabriquette. Nisaidieni jamani nijikwamue maana maisha...
Habari wadau,
Naomba kusaidiwa contact za mtu yeyote anaweza kunipatie miche ya apple.
Zote za kienyeji na zile za south africa. Na bei yake tafadhali. Asanteni.
Habari wakuu humu. Naamini mkopoa kabisa. Sasa wakuu wa kaya. Kijana wenu kutokana na maisha yanvyo zidi kupanda na kikazi changu cha bank ambacho mshahara wote unaisha kabla ya tarehe kukutana na...
Habari wana Jf.
Nahitaji kununua kuku wa kienyeji wa kufuga, at least mwenye umriwa miezi 4. Aina yeyote(Malawi, chotara....). Nita furahi niipata muuzaji aliepo Mkoani MWANZA ili iwe rahisi...
Je umekuwa ukihangaika katika mawazo yako na maswali mengi kuhusu greenhouse? Je umekuwa ukipata stress (msongo wa mawazo) kutokana na kutopata maelezo na mafunzo sahihi ya jinsi ya kufanya kilimo...
habari zenu wana JF
Mimi kama mjasiriamali nilitaka kujua kuhusu faida gani nazipata nikiwa mwanachama wa vikoba na riba kiasi gani pamoja na muda wa marejesho
ndugu zangu baada ya kutafiti soko la bamia,nimeamua kufanya kilimo chake,nmepata shamba pembezoni mwa mto maeneo ya dakawa.sasa naomba kujua aina ya mbegu ambayo ni nzuri, magonjwa yanayosumbua...
Hii wanajamiii Wajasiliamali wenzanguu..
Nina shida kidogo hapa kwa wale wanaofuga kuku wa kienyeji....
Nina Kuku wangu wanataga mayai ila awatotoi na kama wakitotoa ni kifaranga kamoja Kimoja...
Eti wana JF wapi naweza kuuza asali ya nyuki wakubwa kwa jumla kwa DAR ES SALAAM?
Na je naweza kuuza kwa bei gani?
Natanguliza shukrani zangu kwa wale watakaonisaidia
I am looking for business partner(s) that we can enter into supply business. I am located in Mbeya, Tanzania. I am thinking to export food stuffs (like onions, rice, maize, garlic, carrot, soya...
Habar wakuu samahan nataka kununua shamba ambalo halijawahi limwa hata mara moja ambalo ni pori naanza kufyeka naomba kujunzwa maeneo ambayo nitapata kununua kwa bei poa na taratibu za kufuata...
Sina nia ya kuwaharibia hawa jamaa biashara, ila natoa angalizo kwa mtu ambaye bado hajaingia kwenye huu mkenge wa kununua mashine yao ....apige hesabu Nzuri.
Kwanza kabisa napongeza jitihada...
Habari zenu wadau wa jukwaa hili, Naomba kufahamishwa kwa anayefahamu kuhusu virutubisho vinavyopatikana katika Uduvi kama ni sawa na vile vinavyo patikana katika Dagaa, Samaki.
Wana JF habari zenu,
Ni mwaka sasa toka nimemaliza shahada yangu na sijafanikiwa kupata kazi ya kuajiriwa moja kwa moja, binafsi ninaona muda si rafiki kwangu kutokana na malengo yangu.Hivyo...