Kilimo, Ufugaji na Uvuvi

Pata Ushauri wa Jinsi ya Kujiajiri katika Kilimo, Ufugaji na Uvuvi, n.k

JF Prefixes:

Dragon fruit ni tunda ghari sana ingawa siku zote naamini kitu kikiuzwa ghari sana una exclude kundi kubwa sana kuto kununua. Majority ya watu ni wa viapato vya chini. Sasa ukiuza tunda sh...
6 Reactions
47 Replies
3K Views
Dragon cuttings ni moja ya matunda yenye faida nyingi sana mwilini na pia ni very expensive sio tu Bongo bali ni Dunia nzima. Ni wakati sasa kuwekeza sana kwenye hiki kilimo make watu wa kwanza...
2 Reactions
12 Replies
2K Views
Jitihada kadhaa zimeshafanyika bila mafanikio. Zilipoanza kutafuna nyasi za "garden", ilisemekana kukimwagiliziwa kila siku hilo tatizo litaisha. Hilo limekuwa likifanyika tokea mwaka Jana lakini...
0 Reactions
13 Replies
860 Views
Habarini wanajamvi, poleni na majukumu ya kujitafutia ridhki. Ninao bata Bukini wanaotarajia kutaga pair 2, yaani majike 2 na madume 2, na Bata mzinga 3 majike 2 na dume 1. Bata wote hawa nawauza...
0 Reactions
1 Replies
592 Views
Asparagus ni aina ya Mboga vijiti ambazo sana huliwa na watu wa daraja la juu pekee. Asparagus zinapendwa sana kwa sababu pia ni tiba ukiachana na kwamba ni mboga. Kuna vatieties nyingi sana za...
7 Reactions
26 Replies
2K Views
Wakuu salamu, Ninakifahamu kijiji kipo mbeya. Eneo linajoto maana ni karibu na kyela. Ardhi nzuri Kwa kila zao unalo lijua kama ufuta, Karanga, mpunga , mahindi, ndizi na kila zao unalo lijua...
9 Reactions
67 Replies
5K Views
Kuna kero kubwa ya Konokono kwa Msimu huu wa masika ukipanda mimea wanakula hasa bamia suluhisho sio kuwamwagia chumvi hutawamaliza kwa jinsi walivyo weng solution ni kumsaka malkia wake. Iko...
5 Reactions
24 Replies
2K Views
Haya Mwamba huyu hapa 👇 https://youtu.be/APD7ddDGLQ8?si=F87C0LQ7oY2A9oup
1 Reactions
3 Replies
871 Views
Kichwa cha habari chajieleza!Mwenye kuujua Ninaomba anijuze ni ugonjwa gani na unatibiwaje? Nimeshatumia dawa nyingi zote nikishauriwa na "wataalamu"!! Nina imani JF ni baba wa wataalamu...
2 Reactions
7 Replies
688 Views
Bonjour Wakuu nimepata idea ya kulima kilimo Cha mihogo kibiashara, ila nahitaji kufahamu vitu Ni maeneo gani naweza kupata shamba Aina ya mbegu inayo faa Kwa matokeo mazuri Gharama ya kununua...
3 Reactions
15 Replies
3K Views
1. Project ya Ng'ombe wa maziwa 2. Project ya Ng'ombe wa Nyama 3.Project ya Mbuzi wa nyama 4. Project ya Mbuzi wa Maziwa. 5.Project ya Kondoo wa nyama 5. Project ya Kuku wa Mayai 6.Project ya Kuku...
13 Reactions
52 Replies
5K Views
Hii imekua ikionekana dhahili kabisa vijan wengi wakion kua umeangukia katika kilimo wanakuona umeshafeli kabisa hauna maajabu wandai Na wamekua wakiona kazi ya kilimo ngumu saana Hapana hii sio...
2 Reactions
8 Replies
968 Views
Wakuu, Nipo halmashauri ya Bukoba. Nimegundua miembe yangu inapata kitu kama vumbi jeusi kwenye majani, maembe yanakuwa madogo yenye madoa meusi. Huu ni ugonjwa gani na dawa yake ni ipi...
1 Reactions
3 Replies
708 Views
Kauli Mbiu- “Changamkia Fursa, Ongeza Kasi ya Maendeleo ya Tasnia ya Chai Tanzania” Wilaya ya Ludewa kama wazalishaji wa Zao la Chai- tumeshiriki kikamilifu mkutano huu jijini Dodoma Wilaya ya...
0 Reactions
1 Replies
355 Views
Nimejaribu kufanya kilimo cha mahindi msimu huu wa kilimo and let me tell you something maina, kilimo is not for the weak[emoji1430][emoji1430]. Hamna rangi sija acha ona lakini as they say maji...
16 Reactions
81 Replies
5K Views
Habari zenu, Uchumi wa nchi yetu unategemea sana sekta ya kilimo na ufugaji hivyo nimeona sio vibaya kama tukisaidiana kuweka softcopy za vitabu mbalimbali vya kilimo na ufugaji ili kusaidia...
7 Reactions
33 Replies
3K Views
MBUNGE ENG. ULENGE: MAAFISA UGANI TOENI USHIRIKIANO KWA WAKULIMA Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Tanga Mhe. Eng. Mwanaisha Ulenge amekabidhi Mbegu Bora za Kilimo kwa Wanawake wa Mkoa wa Tanga...
0 Reactions
1 Replies
379 Views
(Dead in shell cases)😔⁉️ ▪️Hii ni changamoto kubwa ambayo, wafugaji wanaotumia viangulizi (Incubators) hukumbana nayo siku 21 baada ya kuweka mayai kwenye Incubators. ▪️Wafugaji na watumiaji...
1 Reactions
1 Replies
704 Views
Habari wana jamvi. Samahani nahitaji msaada, miti yangu ya parachichi inapukutisha maua. Pamoja na milimao. Je nitumie mbolea ipi kuzuia hiyo hali. Maana samadi huwa naweka kabla ya masika kuanza...
1 Reactions
8 Replies
1K Views
MHE. WANU HAFIDH (Mtoto wa Rais Samia) Awekeza Kuwainua Wanawake na Vijana Wakulima Kiuchumi Kupitia Zao la Mwani Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Kusini Unguja na Mwenyekiti wa Taasisi ya Mwanamke...
1 Reactions
5 Replies
731 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…