wana jf naomben kujuzwa kuhusu noah, natafuta noah ya biashara je model gan ni nzur na vp kuhusu alaji wa mafuta? pia km kuna anayeuza tuwasiliane 0683427242
Wajasiliamali Wenzangu, Kuna Mzigo Mkubwa Sana Wa Viazi Kutoka Mwanza Geita Unatakiwa Kufika Dar. Najua Wengi Ni Mashahidi Kuwa Viazi Vitamu Ni Bidhaa Adimu Dar, Vinaposhushwa Kutoka Mikoani Kila...
Ndugu zangu niko Africa magharibi nchini Mali, nimeshangazwa na aina ya vitunguu vya huku ambavyo haviwashi, havina harufu kali na ni vikubwa, nawaza kuchukua mbegu kuleta tz. kwa wataalamu...
Wkuu habari za mwaka mpya
Wakuu samahani kwanza nimekuwa sionekani humu janvini kwa muda sasa hili linatokana na kutingwa na mambo mengi sana, kiasi kwamba huwa nachungulia humu mara chache sana...
Habari wakuu, niko Mwanza maeneo ya pasiansi nataka kufungua babyshop itakayouza vitu kama nguo,pampers,diapers,vyombo vya kuwalishia, basins, midoli, baby walker etc. Soko lipo. Naomba ushauri...
Natafuta mtu mwenye uzoefu wa kutengeneza mabango(digital billboards) hasa mwenye uwezo wa kuliwamba bango hadi liwake ili tushirikiane kibiashara.Niliwahi kufanya kazi hiyo maeneo fulani Dar...
Wakuu habari zenu na poleni na miangaiko,Happy new year,wadau natafuta sehemu ya kukodisha kwa ajili ya Car wash na tyre fitting,naangaika mwezi wa pili sasa,na pia kuna sehemu zingine rent ni za...
Linaukubwa wa eka 360 lipo wilaya ya Mpanda linahati miliki, linafaa kwa kupanda miti ya matumizi ya nguzo za umeme(milingoti) kwa mawasiliano.0653 4022 99/0757241118
A.alykum wana JF, nina mtaji wangu pia ninaona fursa kubwa juu ya hizi biashara za nafaka, nimeamua ku segment na kuchukua biashara ya mchele, masoko nayaona ila upatikanaji wake ndio imekuwa...
Hi Wanajamvi, hebu nipeni ushauri maana napata hasira,
Nina kampuni yangu kwahiyo kila nikiajiri huwa na train sana staff ili waelewe kazi kwa ufasaha kabisa na huwa na pia nina hire trainers wa...
Mwaka umeanza vyema kwa upande wangu, maana jana nilikuwa maskini lakini leo nimeamka tajiri kidogo kwa kupata TShs. 50M. Ingekuwa ni wewe ungezifanyia biashara gani? Ushauri wako ni muhimu
Sent...
Salaam ndugu zangu! Nimekusanya kusanya hatimaye nimefanikiwa kupata kiasi cha Shilingi million kumi (10,000,000) changamoto ni kwamba nataka kuhama mkoa kutokana na familly comflicts. Sasa mawazo...
Jamani mimi ni msichana mwenye miaka ya 20 na, nina wazo langu la kufungua shamba la kiti moto (kwa Imani yangu ) .ila nilikuwa naomba ushauri jee iringa mafinga Ama pwani? , asanteni na mungu awe...
Wana JF Naomba msaada kwa mwenye ufahamu khs brand gani inauzika zaidi ktk soko la vifaa vya ulainishaji mitambo ya pikipiki hasa hizi kama San LG ,Fekon,Bajaj na Boxer .Nisaidiwe kujua ni wp...
Habari za muda huu wandugu
Mm ni kijana mwnaume nina umri wa miaka 25 nafanya kazi kwenye shirika fulani la kitalii hapa mjini Moshi Kilimanjaro kazi yangu namshukuru Mungu inanilipa kwasasa nina...
Mahali: Mwasonga- kigamboni
umiliki: Kina hati ya serikali za mitaa
ukubwa: Nusu heka
bei: Sh m.6 maelewano kidogo yapo.
Umbali kutoka kigamboni: Km 23
umeme: Haujafika
nb
kipo nje ya eneo la...