Kilimo, Ufugaji na Uvuvi

Pata Ushauri wa Jinsi ya Kujiajiri katika Kilimo, Ufugaji na Uvuvi, n.k

JF Prefixes:

Habari zenu wa wadau,naulizia bei za incubators,na pia nataka kujua km naweza kutotolea mayai ya kienyeji,pls mwenye ufahamu juu ya ili afunguke,itasaidia sana.
0 Reactions
1 Replies
1K Views
This is unique opportunity for those who like to learn from winners and successful people in the Network Marketing , John E. FLP Africa Top Distributor is in Dar and tomorrow will give special...
0 Reactions
14 Replies
4K Views
HABARI WANAJAMVI? Leo napenda kuwashauri kuhusu kutumia cctv n surveilance. cctv and surveilance ni nini? Hii ni system inayounganisha security camers, na dvr ambapo mtu aneweza kuona maeneo...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Ndugu wanajamvi naomba kujuzwa taratibu za kukopa Katika taasisi zetu za kifedha upoje kwa dhamana ya title deed/hati ya Kiwanja.. 1: Je nahitaji kuwa na business plan ili nikopesheke? 2; Je...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Nia yangu ni kujaribu kujiinua kimaisha polepole, kwa anayejua naomba anisaidie 1) ningependa kujua bei ya kifaranga mmoja na wapi wanapatikana wazuri? 2) je ni mda gani mpaka kukua na kuuza...
1 Reactions
0 Replies
2K Views
Kuna rafikiyangu Mkongo anataka kuwa analeta raw gold tanzania ameshapata utaratibu wa wizara ya madini na TRA sasa yeye anahitaji masoko hapa nchi hana mtaji sana anataka wanunuzi serious,na je...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Salaam wakuu, Nina shamba Morogoro na ni mara ya kwanza nimeanza kulima seriously. Natarajia mwishoni mwa mwezi wa June 2013 nitavuna mahindi. Kwa mahesabu ya haraka haraka natarajia kuvuna...
0 Reactions
12 Replies
42K Views
Habari wadau! Nimejaribu kufuatilia kuhusiana na kilimo cha mizeituni, naona ni kama hakifanyiki kwa Tanzania, kwa mwenye ufahamu kuhusiana na kilimo hiki na soko lake Tanzania na Afrika Mashariki...
1 Reactions
10 Replies
10K Views
Nina Kheri Kumi Na Tano Za Ardhi Yenye Rutuba Ninamiliki Kupitia Hati Miliki Ya Kimila, Sasa Nataka Kulima Mahindi Na Alizeti, Je Kupitia Hati Miliki Yangu Ya Kimila Naweza Pata Mkopo Bank Yeyote?
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Mimi ni mama wa nyumbani nafanya biashara ndogo ndogo sasa kamtaji kangu kamekua kidogo nataka nifanye biashara ya catering services hapa Dar maana ni kitu ambacho nimekuwa nakitamani kukifanya...
0 Reactions
6 Replies
7K Views
Mm ni mjasiriamali kijana ninatengeneza vikoi vya batik vyenye maua mazuri kuliko hapaDar,tie&die pia batik print naomba mnisadie walipo wanunuzi au hata kwenu wadau kunichangia ntakuletea...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Mbeya. Baadhi ya wanawake wajasiriamali wadogo mkoani Mbeya, wameomba Serikali na asasi za fedha kuwapatia elimu ya mikopo ili kukopa na kuendeleza miradi. Wakizungumza mjini hapa jana, walisema...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Dar es Salaam. Askofu Mkuu wa Kanisa la Mennonite Tanzania, Stephen Mang’ana ametoa wito kwa Watanzania kuwekeza kwenye vikundi vya kuweka na kukopa (Vicoba), ambavyo alivitaja kama nguzo ya...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
hi friends,nina kiasi cha sh million 6.5 ninataka kufanya biashara bt cjajua ni biasha gani nifanye,bt kwa upande mwingene na kwautafiti niliofanya nilitaka kununua bajaji izunguke mjini,so wenye...
0 Reactions
22 Replies
9K Views
Kwanza nianze kwa kuwasalimu ndugu zangu.me kijana nimeitimu diploma.. Nimepata mtaji wa milioni 3 na naitaji kweli kuwa mkulima..ila sijajua niaze vp?wapi nitalima?kivipi nitavuna?wapi...
0 Reactions
8 Replies
3K Views
Habari wanajf Natumai mko fiti na mnaendelea na shughuli zenu Naitaji mnisaidie bei za vifaa hivi kwani nataka kuvinunua kwa ajili ya biashara yangu ambayo nataka kuifugua hivi karibuni sasa...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Waungwana me ninaishi na kufanyakazi China, lakini bado nataka kujishughulisha na business huko bongo, hivi ni business gani inalipa huko? Tatizo sijajua kama kuna business gani naweza kufanya...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
jamani wajasiria mali naitaji kukodi shamba hekari mbili mkoan dar or wilaya zilizo karibu na dar na zao gani liko kwenyemsim nikianza kulima saizi
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Habari wakuu, naomba mwenye kujua biashara ya kuuza na kusupply vitabu na vifaa vya maabara katika mashule mbalimbali anisaidie mwongozo kuhusuiana na biashara hii kwa yale anayoyajua. Natanguliza...
0 Reactions
0 Replies
925 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…